Mkutano wa CHADEMA Njombe na Matukio yake

Mkutano wa CHADEMA Njombe na Matukio yake

Wewe! Lucifer anakusubiri hapo lumumba akupe posho ya buku 7 na kukulamba t.i.g.o.
Criminal psychologist wamebainisha kuwa kumjua mwizi lazima uwe kama mwizi.

Kama unafahamu yote haya basi hata wewe ulishalambwa kwanza t.i.g.o yako na kupata posho.
 
You're taking Tanzanian for granted. Come November 2015, mtakuja na kauri zile zile za kutomtambua Rais halafu kesho yake mnakwenda ikulu kunywa chai na juice ya matunda.

Zidumu sauti za viongozi 'mashuhuri' zinazosema, Hatumtambui Rais lakini tunaitambua serikali yake!!.

Nendeni kwanza mkajifunze sayansi ya siasa ili mpate mwanga wa siasa ya Tanzania.

Anna Makinda hata ubunge hagombei tena 2015 halafu eti wanaenda kuwambia watu wamkatae? when and for what?

Hizi siasa za zimamoto zikiongozwa na kuku aliyekatwa kichwa.

Serukamba yuuuuuuu...

Mambo ya Njombe tunayajua sisi wewe endelea kuwa msemaji wa Mwigulu Chemba mshirikina mwenzio. Anna Makinda alisema hatagombea mwaka 2000 uchaguzi ulipofika akachukua form na kutishia kuwaloga wapinzani wake, hivyo hivyo mwaka 2005 na 2010. Ghilba kuwa hatagombea tena tumezizoea na sasa tunacho chama mbadala agombee asigombee hatumpi mwana magamba Njombe. Mjinga (Mwana Njombe) akibumburuka mwerevu (MaCCM) hana chake
 
Inapendeza kuona mtikio mkubwa wa watu namna hiyo, big up wananchi wa Tanzania kwa kuamka na kuipigania nchi yenu ili kuikomboa toka kwa makucha ya mkolono mweusi ccm.

Hakuna kulala mpaka kieleweke.
 
Serukamba yuuuuuuu...

Mambo ya Njombe tunayajua sisi wewe endelea kuwa msemaji wa Mwigulu Chemba mshirikina mwenzio. Anna Makinda alisema hatagombea mwaka 2000 uchaguzi ulipofika akachukua form na kutishia kuwaloga wapinzani wake, hivyo hivyo mwaka 2005 na 2010. Ghilba kuwa hatagombea tena tumezizoea na sasa tunacho chama mbadala agombee asigombee hatumpi mwana magamba Njombe. Mjinga (Mwana Njombe) akibumburuka mwerevu (MaCCM) hana chake
Longo longo kibao za nini kama siyo kujaza maneno yasiyokuwa na maana yoyote. si ungeandika tu hayo maneno matatu kama hapo kwenye RED na ukaeleweka vizuri.

Halafu acha kujipa madaraka ya kuwa msemaji wa wana njombe wengi. usipende kuwaweka watu wote kwenye box la fikra zako. Kama unataka kuwa msemaji wao katika maendeleo, kagombee ubunge 2015 kuliko kujipa matumaini ya hisia ambazo zimejaa kwa watu waliobarikiwa fikra finyu.
 
You're taking Tanzanian for granted. Come November 2015, mtakuja na kauri zile zile za kutomtambua Rais halafu kesho yake mnakwenda ikulu kunywa chai na juice ya matunda.

Zidumu sauti za viongozi 'mashuhuri' zinazosema, Hatumtambui Rais lakini tunaitambua serikali yake!!.

Nendeni kwanza mkajifunze sayansi ya siasa ili mpate mwanga wa siasa ya Tanzania.

Anna Makinda hata ubunge hagombei tena 2015 halafu eti wanaenda kuwambia watu wamkatae? when and for what?

Hizi siasa za zimamoto zikiongozwa na kuku aliyekatwa kichwa.

Acha makelele wewe, hamna nyimbo CCM, umeishiwa kabisaaa, mmebaikiwa na umahiri wa kubambikizia kesi viongozi wa chadema tumesha washinda kwa hoja!
 
Preasure inapanda preasure inashuka.
Hii ndiyo komesha yao. Waendelee kuwatoa bungeni ili wapate muda wa kuwafikia wananchi wengi zaidi.
 
Longo longo kibao za nini kama siyo kujaza maneno yasiyokuwa na maana yoyote. si ungeandika tu hayo maneno matatu kama hapo kwenye RED na ukaeleweka vizuri.

Halafu acha kujipa madaraka ya kuwa msemaji wa wana njombe wengi. usipende kuwaweka watu wote kwenye box la fikra zako. Kama unataka kuwa msemaji wao katika maendeleo, kagombee ubunge 2015 kuliko kujipa matumaini ya hisia ambazo zimejaa kwa watu waliobarikiwa fikra finyu.

Mbona wewe hujasema hayo maneno Matatu ukaeleweka? Acha ushabiki usio na maana. Njombe ndo hivyo, kinanuka! Tusubiri tuone.
 
Mbona wewe hujasema hayo maneno Matatu ukaeleweka? Acha ushabiki usio na maana. Njombe ndo hivyo, kinanuka! Tusubiri tuone.
Hata fisi naye alikuwa na subira kama yako. Wewe endelea kusubiri kama zilivyo siasa zenu za matukio wakati CCM wanatekeleza ilani yao ya Uchaguzi.
 
Hata fisi naye alikuwa na subira kama yako. Wewe endelea kusubiri kama zilivyo siasa zenu za matukio wakati CCM wanatekeleza ilani yao ya Uchaguzi.
Ilani ya kutenga bil29 za kuwarudisha madarakani huku wakiwaacha wananch wakitaabika kukosa maji.
 
Bahati mbaya hili somo si jipya. Akihutubia mkutano huko Njombe jana (juzi?) kawaeleza ccm ukweli kuwa kwa nini wasishughulike na kero za wananchi hadi waone chadema ndio kero? Kwamba hata umati unaoonekana kwenye mikutano ya cdm isingekuwa mikubwa hivi. Hapa kuna somo kubwa sana kwamba ccm haijui matatizo ya wananchi wake tangu enzi na enzi. Ccm inapigana vita isiyoijua. Ccm inahangaika na matawi badala ya kugundua kuwa mizizi ndio tatizo.

Haya yameanza tangu vyama vingi viliporudishwa tena 1992. Nccr walisambaratishwa na ccm. Cuf wakafuatia, sasa ccm inahangaika kukisambaratisha chadema. Yaliyoko kwenye ilani ya ccm ni danganya toto maana wanasema wametekeleza ahadi wakati kila siku hali ni mbovu. Hawana vipaumbele. Hawajui ni wakati gani washike maji au barabara au kilimo. Mwisho wa siku wanaharibu na kuona adui yao ni vyama vya upinzani. Ccm haitaki kumaliza kero za wananchi kwa kuwa wanajua kero ndio mtaji wao kinapofika kipindi cha uchaguzi. Hata wakimaliza kero zote bado kuna tabia ya binadamu kupenda kitu tofauti. Sasa hawataki kumaliza kero za wananchi wala kutoka madarakani.

Kauli ya Dk Slaa inaonyesha ni jinsi gani chadema imechoka na kusumbiliwa na vyombo vya Dola hadi kuamua kuusema ukweli rasmi. Pamoja na ukweli huu bado ccm hawawezi kuuona ukweli kwa kuwa Mungu keshaifanya mioyo yao kuwa migumu.

Na wananchi muamke! Nini msichokijua kuhusu ccm? Ni chama adui wa demokrasia. Ni chama adui wa maendeleo. Ni chama adui wa changamoto. Ni chama adui wa mabadiliko. Adui wa ccm ni watendaji wake kama kina Maghembe ambao wanaleta Bungeni mifumo ya proposal zao za kuombea fedha za miradi kutoka kwa wazungu wakidhani itapita tu.
 
Back
Top Bottom