Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,218
Kweli mwenyezi Mungu yupo upande wa chadema.Wenje anachana mawingu. Kasimu kangu hakana uwezo wa kutuma picha
wambie wakupe kiasi ktk pesa wanazo changisha ununue cm
Kweli mwenyezi Mungu yupo upande wa chadema.Wenje anachana mawingu. Kasimu kangu hakana uwezo wa kutuma picha
Wenje amemaliza kuzungumza. Amezungumzia hali halisi juu ya mafisadi wanavyo ifisadi nchi
CCM huu ni mwaka wa shida hadi 2015; hakuna kulala hata kidogo.
Kwa mwendo huu ccm mwisho wake mgumu kwani wananchi wamejaa sana na taarifa ninazozipata ccm wameitisha kikao cha dharura
Mtajinyea nyea sana mwaka huu na bado.Sema unaona aibu watoto wachache wa mtaani ndo wapo hapo.Eti simu yangu haina uwezo
Acha upumbavu angekosa kukuweka nape hapa mjini ungekua wapi leo hii?wambie wakupe kiasi ktk pesa wanazo changisha ununue cm
...nyinyi ndo wale mtakao dai picha ata siku mkiambiawa Yesu amerundi...
Wananchi wa njombe wamechangia laki saba m4c
Bungeni kuna habari kuwa wakuu ndani ya CCM na Bunge wanamlaumu Ndugai kwa kukurupuka kuwafungia wabunge wa Chadema siku tano kwa jazba zake bila hata kupewa maelekezo kama ilivyo kawaida yao.
Habari zinasema kuwafungia kumesababisha damage kubwa sana kuliko kama wangekuwa Bungeni, na majeraha wanayoyapata matibabu yake ni gharama kubwa sana. Na kwamba hata propaganda ya ugaidi imefunikwa na maamuzi ya Ndugai.
I wish ningeona picha ili nijiridhishe na idadi ya watu waliohudhuria, maana Njombe ni moja ya mikoa ya nyanda za juu kusini inayosuasua sana katika mageuzi.Wananchi wa njombe wamechangia laki saba m4c
wambie wakupe kiasi ktk pesa wanazo changisha ununue cm
Wananchi wa njombe wamechangia laki saba m4c
mkuu hebu funguka kidogo hapo kwa lema anasema ilikuwa je? Sms ya rc ilikuwa inasema je?.
sms aliyotumiwa lema
"umeruka kihunzi cha kwanza ,
nitakuonyesha kuwa mimi
ni serikali ulikojificha
nitakupata na nitakupa
kesi ninayotaka mimi"
Wanataka wampe kama ya Rwakatale? Maana sasa viongozi wa serikali wanakupa kesi "kama wanavyotaka wao"sms aliyotumiwa lema
"umeruka kihunzi cha kwanza ,
nitakuonyesha kuwa mimi
ni serikali ulikojificha
nitakupata na nitakupa
kesi ninayotaka mimi"
chanzo cha habari ?