MSHINO
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,070
- 726
Katika uchaguzi uliopita km si ccm kuchakachua majimbo yote yangekuwa upinzani hata hivyo kati ya wabunge 6 ni 2 tu wa ccm kgm mjini matokeo yalitangazwa saa 8 usiku na ksl magharibi obama alishinda kwa kula 1. Kgm ni waasisi wa mageuzi. Mbunge wa kwanza ktk cdm dr kabour. Itawa cost cdm kwa kukurupuka kutoa maamzi.