Unacheza namba ngapi mkuu.Cdm kigoma hii leo tunawabunge wangapi kigoma, kauli za maccm kujipa moyo tukutaneni uwanjani basi 2014-15
Wanalikuwa wanawita polisiccm leo wamekuwa polisichadema ha ha ha ha ha !
Mkuu, leo mods wana ajenda gani? Maana kirufe cha Like kimekuwa adimuSlaa angekuwa msikivu haya yote yasingempata. tumepoteza muda mwingi tukimshauri hapa aombe radhi lakini akapuuza. haya sikio la kufa halisikii dawa.
itakuwa ni mchumba wake.
Kauri zako zitakuponza hakuna atakayejuta jiandae kuzimia kama siyo kufa kabisa baada ya chama chako kufa.Kampeni za chaguzi ndogo january, mchezo mnao ufanya mtajuta...
Umati wa wananchi waliokusanyika kumsikiliza Katibu Mkuu, Dkt. Slaa leo mjini Kasulu Uwanja wa Kiganamo. Hapa ilikuwa kabla ya vijana wapatao 10-15 hivi kurusha mawe, baada ya wananchi kuwafukuza wakitaka kuwapiga, wakipinga kitendo cha vijana hao kupiga kelele ili mkutano usiendelee.
Mbinu ya kuhakikisha mkutano hauendelei kisha itokee vurugu, ambayo ingefuatiwa na mabomu ya machozi ili kujustify headlines ambazo tayari zimeshaandaliwa kuwa ''Dkt. Slaa aokolewa kwa mabomu...Dkt. Slaa ashindwa kuhutubia, Polisi wamwokoa Dkt. Slaa n.k', ilipangwa kutumika leo baada ya Dkt. Slaa kufanikiwa sana ku-counter issue ya vijana na mabango kwa kuwapatia fursa ya kukaa mbele katika mikutano iliyopita.
Tutawaletea maelezo ya kutosha juu ya mpango huo na mwingine unaoendelea kupangwa kwa ajili ya kufanyika Kigoma mjini na maeneo mengine. Tutajibu maswali na hoja za watu kuhusu tukio la leo.
ama ezeeka mbona una mimba yake....au unahasira nae kwa kuwa hajakuoa...Dr.Slaa tumia muda wako uliobaki hapa duniani vizuri. wewe sasa ni mzee. tulia ulee wajukuu.
Kamanda naona unapiga ngumi hewani watu wa kasulu hawapo kwa ajili ya kukufurahisha wewe.Teh teh teh ningefurahi sana kama vijanaa hao wangenyanyua mabango ya kukataa kodi ya simu,kupanda kwa bai ya umeme,elimu duni lakini maskini hawajijui kabisa na hao hao ndio jua linawachoma kila siku na wanayejidai ati wana mtete yeye anakula good time ndani ya gari kubwa Hammer kiyoyozi kikubwa na hao vijana hata kwenye magetho yao hawana hata Feni lol aibu sana kwa Tanzania ama kweli ni vigumu sana kujenga nchi hii chini ya vijana wenye akili mgando kama hawa.Isitoshe Mabango yameandikwa na mtu mmoja yaani nina maana hati ni ya mtu mmoja so hawa wanatumiwa tu kama kondom then kesho hawawatambui tena.Kwa ufupi ni kwamba hata wanyanyue mabango hadi kesho bila kushusha mikono chini Zitto hana chake tena ndani ya Chadema. Yaani ni aibu kijana kupewa ati 5000Tsh sasa hii ni hela nayo jamani??
Dr.Slaa pole sana kamanda, kila siku unasema hauna imani na jeshi la polisi leo ndiyo limekuokoa, usitukane mambo kabla haujavuka mto.
Kama intelijensia yenu ipo makini, imeshindwa vipi kujua kuwa kuna watu wamepanga kumpopoa na mawe Dr Slaa? Na hao Red Brigade wapo wapi mpaka wameshindwa kumlinda Dr Slaa asipigwe na mawe? Kama wameshindwa kuzuia mawe, je ingekuwa silaha za moto? Dr Slaa awashukuru sana polisi kwa kumuokoaHakukuwa na kuokolewa na polisi, Redbrigade iko makini na interejensia yake iko makini kama polisi wangekuwa makini watu hao wangekamatwa hata kabla hawajafika kigoma wakitokea mwanza...
Jeshi la polisi limemuokoa Slaa.
Hii imethibitisha kuwa jeshi la polisi ni la watu wote.
Slaa ameweka katika hifadhi salama na jeshi hilo kwa sasa.
Hongera jeshi la polisi kwa kazi nzuri ya kuhakikisha usalama wa raia.
Wewe ni mtu wa ajabu sana, ukizeeka lazima utakuwa mchawiMkutano umeisha salama licha ya jaribio la vijana wenye mabamgo kutaka kuvuruga,
Polisi walitaka kutumia nguvu kuwakamata vijana hao lakini Dr Slaa akawaomba wawache na wasogeebele watoe madukuduku yao,
Hakuna uvunjifu wa mkutano, umeisha salama kabisa!
Wewe umpe uwaziri,kwani wewe ndiye Rais wa Jamhuri ya muuangano wa TZ?!Hayo yanayomkumba Slaa Kigoma ni mwanzo tu, tutegemee hayo-hayo hata Mbowe atapokwenda Mwanza.
Chadema wakitaka salama yao wamfukuze Zitto, hii kumwacha hanging ina wa cost vibaya sana lakini hawajijui.
Mnangoja nini hamumfukuzi Zitto kwenye chama chenu cha kibaguzi? Sisi CCM tutamkaribisha na tutampa uwaziri.