Mkutano wa CHADEMA Kasulu mjini wafanyika, lakini...

Mkutano wa CHADEMA Kasulu mjini wafanyika, lakini...

Kauri zako zitakuponza hakuna atakayejuta jiandae kuzimia kama siyo kufa kabisa baada ya chama chako kufa.

Kama unajipa moyo kuwa ukimuua Mbowe, Dr Slaa, Lisu, Lema ndiyo chadema itakufa unajidanganya chadema iko kwenye moyo wa watanzania mfano mdogo ni leo watu baada ya kuulizwa wangapi wanataka kusikiliza mkutano wote wakanyosha mkono sikupokuwa hawa vidampa wa CCM...
 
Josephine huweka signature ya jina lake mwishoni katika mabandiko yake....................T.i.ba huweka signature katika mabandiko yake mwishoni......Ti,ba kasifiwa na JUA LA UTOSI kwamba kaumbika DR.W.SLAA akaLike...............Just connecting dots wakuu hii ID ya mzee inatumiwa na tiBA ambaye ndio huyohuyo FirstLady wa makamanda.


CC sixgates
 
ama ezeeka mbona una mimba yake....au unahasira nae kwa kuwa hajakuoa...
Marusi hayoooo yameanza kuporomoshwa. Bavicha bana, wakizodiwa na hoja wanakimbilia matusi tu. pole sana mkuu. Jaribu kuvumilia maumivu
 

Umati wa wananchi waliokusanyika kumsikiliza Katibu Mkuu, Dkt. Slaa leo mjini Kasulu Uwanja wa Kiganamo. Hapa ilikuwa kabla ya vijana wapatao 10-15 hivi kurusha mawe, baada ya wananchi kuwafukuza wakitaka kuwapiga, wakipinga kitendo cha vijana hao kupiga kelele ili mkutano usiendelee.

Mbinu ya kuhakikisha mkutano hauendelei kisha itokee vurugu, ambayo ingefuatiwa na mabomu ya machozi ili kujustify headlines ambazo tayari zimeshaandaliwa kuwa ''Dkt. Slaa aokolewa kwa mabomu...Dkt. Slaa ashindwa kuhutubia, Polisi wamwokoa Dkt. Slaa n.k', ilipangwa kutumika leo baada ya Dkt. Slaa kufanikiwa sana ku-counter issue ya vijana na mabango kwa kuwapatia fursa ya kukaa mbele katika mikutano iliyopita.

Tutawaletea maelezo ya kutosha juu ya mpango huo na mwingine unaoendelea kupangwa kwa ajili ya kufanyika Kigoma mjini na maeneo mengine. Tutajibu maswali na hoja za watu kuhusu tukio la leo.

Hao vijana wamekamatwa? Ni kwanini tusijipange kwa red briged kuwadhibiti, tutangazieni wengine tutasimamisha hata masomo kwa muda ili kumwonyesha zito na wahuni wenzake kwamba hatutaki utani na maisha yetu
 
Asante kwa Taarifa.
Muda mfupi hapa kuna watu wameandika uzi ukisema mkutano umevunjika na Dr Slaa amepigwa mawe sana.

Tunaomba update zaidi, mkutano ulifikia mwisho?? hao vijana wamekamatwa na polisi?? je ni wenyeji wa Kasulu au ni wageni walokuja kufanya fujo??
Ulijaribu kuwauliza wananchi wa kawaida Kasulu ukapata mawazo yao??

PAMOJA TUTASHINDA


Hali si shwari. Read between the lines utaelewa ujumbe uliotolewa.

Leo ID ya Slaa inatumiwa na Josephine kutoa likes wakati mwenzake yuko matatani!
 
Last edited by a moderator:
Dawa ya vurugu hizi ni kuwakabidhi kadi ya uanachama ya bwana Zito wanayempigania ili wajue pa kuipeleka kule kwa wakubwa zake akina Mwigulu.
 
Teh teh teh ningefurahi sana kama vijanaa hao wangenyanyua mabango ya kukataa kodi ya simu,kupanda kwa bai ya umeme,elimu duni lakini maskini hawajijui kabisa na hao hao ndio jua linawachoma kila siku na wanayejidai ati wana mtete yeye anakula good time ndani ya gari kubwa Hammer kiyoyozi kikubwa na hao vijana hata kwenye magetho yao hawana hata Feni lol aibu sana kwa Tanzania ama kweli ni vigumu sana kujenga nchi hii chini ya vijana wenye akili mgando kama hawa.Isitoshe Mabango yameandikwa na mtu mmoja yaani nina maana hati ni ya mtu mmoja so hawa wanatumiwa tu kama kondom then kesho hawawatambui tena.Kwa ufupi ni kwamba hata wanyanyue mabango hadi kesho bila kushusha mikono chini Zitto hana chake tena ndani ya Chadema. Yaani ni aibu kijana kupewa ati 5000Tsh sasa hii ni hela nayo jamani??

Njaa Bwana haina adabu kabisa.
Mtu anateswa hana hata malapa lakini akiona sinia la pilao na nyama au mandondo anasahau shida ya miaka 10. Mungu, hunywi uji wala huli ugali, wasaidie tu hawa wadanganyika. Dhiki zao zimewapofusha macho kiasi cha kutouona ukombozi wao.
Kweli Siisiieem imewafanya watu ndondocha kabisa.
 
na CCM ni chama kinachoendeshwa kwa misingi ya KIFISADI,RUSHWA, WIZI WA MALI ZA UMMA,PEMBE ZA NDOVU, KUBEBANA,NA WIZI WA KURA...

Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...
 
Magwanda wa JF hawakupenda nyuzi iliyoletwa na Taswira inayowaumbuwa kuwa mkutano umevunjika na Slaa kala mkong'oto na pilisisiem wamemuokoa. Wameihamisha kuileta huku.

Mnasikitisha sana magwanda.
 
Last edited by a moderator:
Kama intelijensia yenu ipo makini, imeshindwa vipi kujua kuwa kuna watu wamepanga kumpopoa na mawe Dr Slaa? Na hao Red Brigade wapo wapi mpaka wameshindwa kumlinda Dr Slaa asipigwe na mawe? Kama wameshindwa kuzuia mawe, je ingekuwa silaha za moto? Dr Slaa awashukuru sana polisi kwa kumuokoa
Leo kuna thread zaidi ya nne zilielezea ujio wa vijana hao kutoka mwanza mpka namba za simu zimewekwa halafu una leta uhalo hapa....au ulitaka tuanze kuwakamata sisi....
 
Nimeongea na jamaa zangu kutoka Kasulu, wamesema polisi ilibidi wamuweke Dr.Slaa kati na kutokomea nae kusipojulika huku wengine wakipiga mabomu ya machozi kumuokoa.

Cc: gombesugu THE BIG SHOW
 
Last edited by a moderator:
Magwanda wa JF hawakupenda nyuzi iliyoletwa na Taswira inayowaumbuwa kuwa mkutano umevunjika na Slaa kala mkong'oto na pilisisiem wamemuokoa. Wameihamisha kuileta huku.

Mnasikitisha sana magwanda.
Siyo kosa lako ni la huyo mzazi wako aliekuzalia kwenye mbio za mwenge na ndivyo ulivyo ubongo wako....
 
Nani kakwambia kigoma hamuikubali ccm na wabunge kibao wa ccm , akija mtu wa pemba akisema hawaikubali ccm stajitokeza kumpinga maana wao wanatenda kupitia cuf na si porojo za kigoma hakuna ccm wakati wabunge kibao wa ccm

Kigoma ndio mkoa peke Tanzania Bara wenye Wabunge wengi wa Upinzani kuliko wa CCM.

Kati ya Wabunge 7 wa mkoa wa Kigoma, Wabunge Watano(5) ni wa Upinzani na CCM ina wawili(2) tu.
 
Ni haki ya Kidemokrasia kwa vijana hawa kutoa na kuonyesha hisia zao kupitia mabango juu ya kile wanchoshauri au kuamini.
Hata hivyo mabango hayo yanaonyesha yameandikwa na mtu mmoja,naanza kuwa na wasiwasi kuwa hivi kweli hicho kilichoandikwa hapo kinawakilisha mawazo yao....??? Au wanatumiwa tu na wapinzani wa Chadema kwa ujira wa aibu na kwa maslahi ya hao waliowatuma....???

Vijana ndio tegemeo kubwa katika ujezi wa Taifa hili,hivyo basi inabidi wajitambue na wasitumiwe kisiasa kwa ajili ya ujira wa aibu.
Waone picha kubwa ya fursa za kisiasa na kiuchumi kwa ajili ya kujenga siasa za ushindani zenye tija ya kusukuma maendeleo ya Taifa hili mbele, na si kwa ajili ya ushabiki tu wa vyama na ujira wa kuganga njaa kama huu ambao yamkini hawajui utaleta tija ua mchango gani katika kuleta maendeleo kwa wanainchi wa Tanzania.

Mwisho nawaomba Watanzania wote tufanye Siasa za kistaarabu kwa manufaa ya Taifa hili na sio siasa za fujo na chuki ambazo zitatuletea mifarakano na kutowesha Amani katika Taifa letu.
 
Mtei mwenye nyumba
Mbowe mtoto wa mwenye nyumba
Slaa mpangaji
Lissu mchumia tumbo
Lema mini kabang
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Bado kigoma mjini tutasikia Mengi na kuona mengi
 
Back
Top Bottom