Dkt. Slaa: Sina mpango wa kurejea CHADEMA, mimi ni mtu huru sitaki kufungwafungwa na vyama, sijaacha " Mayai" huko!

Huyu mgombea urasi kibaraka wa diaspora sauti ya waTanzania jeuri sana 🤣 Yaani anapewa platform chadema halafu tena anainanga 🐒
 
Dhuluma aliyofanyiwa na chadema haikuwa ndogo aisee ,hata kama ni wewe sio rahisi kusahau hata kidogo.Mzee Mbowe na genge lake walimsliti sana huyu mzee.
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu ataacha kuinanga chadema
Yes,
ni kwasababu inanangika kirahisi 🐒

asali ikiwa mdomoni wanaobserve table mannares 🐒

Ladha ikiisha tu mdomoni wanaanza kubwekabweka na maandamano juu 🤣
 
Dhuluma aliyofanyiwa na chadema haikuwa ndogo aisee ,hata kama ni wewe sio rahisi kusahau hata kidogo.Mzee Mbowe na genge lake walimsliti sana huyu mzee.
Chadema ndio waliomzawadia Ubalozi siyo???
 
Back
Top Bottom