Mkutano wa CHADEMA Arusha - Nov 29, 2013

Mkutano wa CHADEMA Arusha - Nov 29, 2013

Kosa kubwa walilolifanya ARUSHA ni kuchagua mbunge MJINGA NA ASIEJITAMBUA KAMA LEMA,

LEMA NI M.PU.MBA,VU SANA,ANAHAMASIHA MAANDAMANO NA KUCHANGISHA PESA WALALAHOI,KISHA ANAKIMBIA NAZO ANAKOJUA YEYE,BAADA YA HAPO ANAKIMBILIA BUNGENI KUDAI POSHO,HUYO NI MBUNGE AU BALAA??
 
bananga anasema kama tuko kwenye mtungi halafu mwenzetu kwa kuwa ana kiu anaamua kutoboa mtumbwi ili amwenye maji, uki maliza maji si mtubwi utazama sasa sisi hatukubali atazama mwenyewe..

hivi brother huna majukumu ya kufanya unashinda kuelezea wanaume wenzako wakati wanapalilia kibarua chao amka jitambue ndio maana tunailalamikia ccm kuwa haitusaidii bt fursa zpo unashnda kwenye mikutano apo ikute huna ata kiwanja..nyumba au kazi nzur bt stil ur busy kwenye mikutano tujtambue vjana diwan atakusaidia nini au mbunge kwenye family matters si bure mnaambiwa mnapewa vroba cz hii si akili ya kawaida unajaza thread update
 
Pesa wapewe madiwani wa Chadema, hapo hakuna mradi umeisha uliza pesa za Sabodo zipo wapi.

Ok, nadhani una jibu hebu tueleze wewe Sabodo alitoa kiasi gani na kilitumika kiasi gani kikabaki kiasi gani na kiko wapi??
Then tupe michanganuo ya misaada inayoletwa na wazungu kwa Serikali yako inayoongozwa na Chama SIKIVU.
 
Hawa Chadema ni mbulula kabisaaa! Haiwezekani tukaendelea kuhubiri watu kwamba wasichangie maendeleo yao, yaani wanachi wazae tu, serikali isomeshe, iondoe karo, michango, daftari itoe bure, peni bure! After all what is serikali km si kila mwanachi? Huu ni uenda wazimu, dhana ya shule za umma sio kwamba serikali itoe bure kila kitu hii nikuwafanya wanaopewa elimu wasiwe na moyo wa kuipenda elimu, make si wanaona ni vya bure! Haiwezekani kabisa huu ni utoto! Chadema achaeni kutengeneza " the irresponsible society" Cheap popularity!

Nadhani u miongoni mwaway viumbe ambao akili yao haijakomaa wanakamasi kichwani hawajaintegrate ujuzi wao na hali halisi.
 
Kikwete alishindana na nano kuwania uenyekiti Ccm Taifa?

Ninyi watu kama wakati mwingine mnakosa majibu ni bora mkanyamaza,hivi mnataka na sisi tuige visivyo faa?mboe ajiandae kwakura,kamwe hatosalimika lazma atang'oka
 
Zimepatika ngapi leo zote zinaenda Njiro kumalizia ujenzi, hakuna kulala mpaka kieleweke.

atapelekaje huko kwenu msoga wakati mmezoea kula mihogo na kashata kwa gahawa?!!!

mswahili na maendeleo wapi na wapi?!!
majungu na umbeya pembeni mpe gahawa atakupa mpaka ya chumbani mwake, hiyo ndo jadi yenu.

muache apeleke njiro kwa wanaojua nini maana ya maendeleo.

njiro vs msoga............

ha ha ha ha ha ha!!!!
 
Zimepatika ngapi leo zote zinaenda Njiro kumalizia ujenzi, hakuna kulala mpaka kieleweke.

atapelekaje huko kwenu msoga wakati mmezoea kula mihogo na kashata kwa gahawa?!!!

mswahili na maendeleo wapi na wapi?!!
majungu na umbeya pembeni mpe gahawa atakupa mpaka ya chumbani mwake, hiyo ndo jadi yenu.

muache apeleke njiro kwa wanaojua nini maana ya maendeleo.

njiro vs msoga............

ha ha ha ha ha ha!!!!
 
Kosa kubwa walilolifanya ARUSHA ni kuchagua mbunge MJINGA NA ASIEJITAMBUA KAMA LEMA,

LEMA NI M.PU.MBA,VU SANA,ANAHAMASIHA MAANDAMANO NA KUCHANGISHA PESA WALALAHOI,KISHA ANAKIMBIA NAZO ANAKOJUA YEYE,BAADA YA HAPO ANAKIMBILIA BUNGENI KUDAI POSHO,HUYO NI MBUNGE AU BALAA??

ujinga wa mama yako na upumvavu alionao umekuathiri..
 
Kosa kubwa walilolifanya ARUSHA ni kuchagua mbunge MJINGA NA ASIEJITAMBUA KAMA LEMA,

LEMA NI M.PU.MBA,VU SANA,ANAHAMASIHA MAANDAMANO NA KUCHANGISHA PESA WALALAHOI,KISHA ANAKIMBIA NAZO ANAKOJUA YEYE,BAADA YA HAPO ANAKIMBILIA BUNGENI KUDAI POSHO,HUYO NI MBUNGE AU BALAA??

Hata sisi huku bukoba vijijini mbunge wetu hatumwoni, alipopata ubunge akarudi dar kwenye mishemishe zake!
 
atapelekaje huko kwenu msoga wakati mmezoea kula mihogo na kashata kwa gahawa?!!!

mswahili na maendeleo wapi na wapi?!!
majungu na umbeya pembeni mpe gahawa atakupa mpaka ya chumbani mwake, hiyo ndo jadi yenu.

muache apeleke njiro kwa wanaojua nini maana ya maendeleo.

njiro vs msoga............

ha ha ha ha ha ha!!!!

mbinguni na aridhi..
 
Godbless J Lema anadaiwa kwenye maduka ya vifaa vya ujenzi kuliko serikali, Nadhani hizi juhudi zote za kufanya mikutano kila siku ni harakati za kulipa madeni katika hadware mabalimbali mjini Arusha ikiwemo KITONGA HARDWARE NJIRO.

Hivi lile deni la Stanib bank(CCM+Serikali) mmelipa?
 
Last edited by a moderator:
Makosa ya usaliti anayofanya Zitto ni makubwa sana sio tu anasitahili kuvuliwa nyadhifa bali kufukuzwa uanachama
 
Mwanangu anatumika. Shida ( mama mzazi wa zitto kabwe alivyolalamika kuhusu magazeti ya mafisadi
 
Kosa kubwa walilolifanya ARUSHA ni kuchagua mbunge MJINGA NA ASIEJITAMBUA KAMA LEMA,

LEMA NI M.PU.MBA,VU SANA,ANAHAMASIHA MAANDAMANO NA KUCHANGISHA PESA WALALAHOI,KISHA ANAKIMBIA NAZO ANAKOJUA YEYE,BAADA YA HAPO ANAKIMBILIA BUNGENI KUDAI POSHO,HUYO NI MBUNGE AU BALAA??

Mkuu sio mbunge mjinga tu na ambae ana tabia chafu mbunge gani anakubali kirahisi kushikishwa ukuta?!,kwa nn tusiamini kwamba ndio biashara yake siku zote?!

Katika akili ya kawaida tu mtu una bastola halafu unashikishwa ukuta kirahisi tu,hivi kwa namna anavyofahamika huyu jamaa si angeua mtu?!
 
Watu kila siku wanachangia harusi halafu anakuja mwanasiasa anawakataza kuchagia elimu!

Hivi elimu na harusi kipi muhimu?

Chadema sifuri kabisa...

Lakini watu wanaofunga ndoa hapa kwetu hawapati fungu toka serikali kama ilivyokuwa kwa gadafi.
 
Back
Top Bottom