Mkutano wa CHADEMA Arusha - Nov 29, 2013

MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA), ameeleza kushangazwa na jitihada za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutaka Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe asichukuliwe hatua zaidi kwa madai ya kukinusuru chama kisisambaratike.

Lema alitoa kauli hiyo juzi wakati akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Kilombero.

Alisema kuwa CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani kinachowanyima CCM usingizi, walipaswa kufurahia kusambaratika kwao, lakini cha kushangaza viongozi wa chama tawala wamekuwa wakiwaasa wasimfukuze Zitto.

“Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Mwigulu Nchemba, Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye wanalia wakitaka tupatane. Mbunge wao wa Kigoma Mjini, Peter Serukamba naye analia kuwa CHADEMA tumefanya vibaya, tumrudishe Zitto.

“Sisi tunawauliza tukifanya vibaya ni faida kwao, kwanini wanalia. CCM wanalalamika CHADEMA hatuna demokrasia, ni chama cha kibabe, tumemwonea Zito, kwamba tutapasuka. Hivi tukipasuka wao wataimarika sasa wanalia nini badala ya kufurahi?” alihoji Lema.

Naye Mwenyekiti wa madiwani wa Jiji la Arusha, Doita Isaya alikemea tabia ya baadhi ya walimu kuacha kufundisha ipasavyo muda wa kazi ili baadaye wafanye hivyo kwenye masomo ya ziada ya kujiingizia kipato.

Mwenyekiti wa Wilaya ya Arusha, Ephata Nanyaro alisema kipaumbele cha kwanza cha CHADEMA ni elimu, ndiyo sababu kwa kipindi cha miaka mitatu walichoongoza halmashauri wameisimamia ipasavyo na kuhakikisha madarasa 51 yanajengwa. chanzo.
Tanzania Daima – Lema aishangaa CCM
 
"Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Mwigulu Nchemba, Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye wanalia wakitaka tupatane. Mbunge wao wa Kigoma Mjini, Peter Serukamba naye analia kuwa CHADEMA tumefanya vibaya, tumrudishe Zitto.

"Sisi tunawauliza tukifanya vibaya ni faida kwao, kwanini wanalia. CCM wanalalamika CHADEMA hatuna demokrasia, ni chama cha kibabe, tumemwonea Zito, kwamba tutapasuka. Hivi tukipasuka wao wataimarika sasa wanalia nini badala ya kufurahi?" alihoji Lema.

Huyu hana adabu hata kwa Katibu Mkuu wake ambae ametangaza kuwa kaufunga rasmi mjadala wa Zitto.
hana nidhamu hata chembe kwa viongozi wake.
 
Maccm hayataki zito afukuzwe chadema maana akifukuzwa hawatakuwa na pandikizi litakalo wasaidia kuibomoa chadema ndio maana magamba wanapiga kelele.
 
Hivi mtu kama lema anaweza akaongea kitu cha maana ambacho ni cha ujenzi kwa taifa hili zaidi ya kupigana?

Simiyu hivi huna kazi nyingine zaidi ya hii ya buku 7??? Nkoo nikuwajiri uwe dereva wa truck langu tupate tenda za kusomba watu kwenye mikutano ya magamba. ..nitakulipa poa unasemaje?
 
MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA), ameeleza kushangazwa na jitihada za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutaka Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe asichukuliwe hatua zaidi kwa madai ya kukinusuru chama kisisambaratike.

Lema alitoa kauli hiyo juzi wakati akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Kilombero.

Alisema kuwa CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani kinachowanyima CCM usingizi, walipaswa kufurahia kusambaratika kwao, lakini cha kushangaza viongozi wa chama tawala wamekuwa wakiwaasa wasimfukuze Zitto.

"Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Mwigulu Nchemba, Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye wanalia wakitaka tupatane. Mbunge wao wa Kigoma Mjini, Peter Serukamba naye analia kuwa CHADEMA tumefanya vibaya, tumrudishe Zitto.

"Sisi tunawauliza tukifanya vibaya ni faida kwao, kwanini wanalia. CCM wanalalamika CHADEMA hatuna demokrasia, ni chama cha kibabe, tumemwonea Zito, kwamba tutapasuka. Hivi tukipasuka wao wataimarika sasa wanalia nini badala ya kufurahi?" alihoji Lema.

Naye Mwenyekiti wa madiwani wa Jiji la Arusha, Doita Isaya alikemea tabia ya baadhi ya walimu kuacha kufundisha ipasavyo muda wa kazi ili baadaye wafanye hivyo kwenye masomo ya ziada ya kujiingizia kipato.

Mwenyekiti wa Wilaya ya Arusha, Ephata Nanyaro alisema kipaumbele cha kwanza cha CHADEMA ni elimu, ndiyo sababu kwa kipindi cha miaka mitatu walichoongoza halmashauri wameisimamia ipasavyo na kuhakikisha madarasa 51 yanajengwa. chanzo.
Tanzania Daima – Lema aishangaa CCM
Mhe. Huyu Lema si tumeambiwa wananchi wa arusha chadema wameandamana na tumeona bango kuwa aende Shule yeye ni janga
 
Simiyu hivi huna kazi nyingine zaidi ya hii ya buku 7??? Nkoo nikuwajiri uwe dereva wa truck langu tupate tenda za kusomba watu kwenye mikutano ya magamba. ..nitakulipa poa unasemaje?

Achana naye Coz Uhalisia wa Matokeo ya Arusha tu... hana Usingizi...
 
Eti! Leo Simba wafukuze beki wao halafu Yanga ndo waumie na kulalamika eti "Simba itadhoofika, jamani Simba msimfukuze, mtapoteza ubingwa, mtafungwa ovyo, yamalizeni!!!
 
Kwa hili la CCM kuilaani CHADEMA kwa kumfukuza Zito huku kuna fununu na maandiko kuwa amekuwa akitumiwa na CCM inadhihirisha wazi kuwa ni kweli CCM walikuwa wanamtumia Zito kwa hiyo sasa wana hofu kubwa hasa katika mpango wao wa kuhujumu katiba.
 
Hata mimi nashangaa sana ukoona magazeti ys serikali na ccm yanavyomsaidia Zitto. . RAI, UHURU, JAMBO LEO, NA DENIS MSAKI
 
Ushauri una kukubaliwa na kukataliwa sasa kelele za nini waungwana???!!!!
Kataeni kama ushauri mbaya sasa kelele za nini tena????!!
 
Habari wana JF

Nashindwa kuelewa wanachama wote wa CCM na vijana wake hasa kama CCM ilivyo na mitandao yake kuanzia ngazi ya mashina hadi Ikilu.

Bwana Nape alikuwa anazunguka na Kinana huku hakishutumu kwanini CDM hawafanyi uchaguzi na analalamika kwanini mbowe haaachii uenyekiti wakati waliomtangulia walikaa miaka mitano mitano lakini hakusema kwa upande wake wa chama viongozi wake toka Mwalimu hadi Jk walikaa miaka mingapi mingapi na hakizingumzia CUF, TLP wala chama kingine chochote cha upinzani.

Mara baada ya kamati kuu kuwavua nuazifa wakona Zitto na Kitika na viongozi wengine wa CDM chama cha Mapinduzi kimekomaa na zitto tuuu lakini wengine waliovuliwa hawazungumzwi.

Lakini cha kushangaza wanalalamika huku wakitaka kuonyesha kuwa ZITTO ndo CDM na hawataki afukuzwe CDM je kuna ajenda gani ya siti kwa wapinzani wakubwa kutaka mchezaji anayetolewa na timu pinzani walalamr wao badala ya wahusika wenyewe??

Sasa kama Zitto ni mzuri kiasi hicho kwanini CCM wasimchukue akawadaidie??
 
Lema aishangaa CCM

Na Grace Macha, Arusha

Godbless LemaMBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA), ameeleza kushangazwa na jitihada za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutaka Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe asichukuliwe hatua zaidi kwa madai ya kukinusuru chama kisisambaratike.

Lema alitoa kauli hiyo juzi wakati akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Kilombero.

Alisema kuwa CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani kinachowanyima CCM usingizi, walipaswa kufurahia kusambaratika kwao, lakini cha kushangaza viongozi wa chama tawala wamekuwa wakiwaasa wasimfukuze Zitto.

“Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Mwigulu Nchemba, Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye wanalia wakitaka tupatane. Mbunge wao wa Kigoma Mjini, Peter Serukamba naye analia kuwa CHADEMA tumefanya vibaya, tumrudishe Zitto.

“Sisi tunawauliza tukifanya vibaya ni faida kwao, kwanini wanalia. CCM wanalalamika CHADEMA hatuna demokrasia, ni chama cha kibabe, tumemwonea Zito, kwamba tutapasuka. Hivi tukipasuka wao wataimarika sasa wanalia nini badala ya kufurahi?” alihoji Lema.

Chanzo: T Daima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom