Mkutano wa CCM sanawari Arusha.Watu walikuwa wakiombea viti hata wapumzike tuu.

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,268
2,000
Haha..jamani CCM imekufa vibaya arusha.Kuna taarifa CCM walikuwa na mkutano sanawari wakiwa na mahema mawili madogo kabisa na viti chini ya 50.Ila walikuwa wakiomba watu waje kukaa ktk viti hata kupumzika tuu.Bdo watu walichomoa.

Mwenye picture ktk huo mkutano tunaomba aziweke.
 
Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,979
2,000
Viti vilivyokaliwa vilikuwa havizidi 20.
Nilidhani ni kikao cha familia.... Kumbe mkutano wa ccm!!!
Haha..jamani CCM imekufa vibaya arusha.Kuna taarifa CCM walikuwa na mkutano sanawari wakiwa na mahema mawili madogo kabisa na viti chini ya 50.Ila walikuwa wakiomba watu waje kukaa ktk viti hata kupumzika tuu.Bdo watu walichomoa.

Mwenye picture ktk huo mkutano tunaomba aziweke.
 
magohe

JF-Expert Member
May 21, 2011
728
195
kaaazi kwelikweli......
mizigo chakavu yashindwa kupata soko arusha.

kama vipi pelekeni dampo hiyo ishakuwa bidhaa haramu.

yaani ndg zao mnaua halafu mnajifanya kuwafuata waliobaki ili na wao mmalizie kabisa.

wamemishitukieni....
safi sana arusha.
 
Pagija

JF-Expert Member
Dec 6, 2013
380
0
Haha..jamani CCM imekufa vibaya arusha.Kuna taarifa CCM walikuwa na mkutano sanawari wakiwa na mahema mawili madogo kabisa na viti chini ya 50.Ila walikuwa wakiomba watu waje kukaa ktk viti hata kupumzika tuu.Bdo watu walichomoa.

Mwenye picture ktk huo mkutano tunaomba aziweke.
Hili ndio tatizo lenu mnaanzisha mada bila ushahidi, Ndio maana hata Slaaa alidanganya kwamba CCM imemfanyia fujo kigoma leo ngozi wa wilaya Kasulu wanaukuzana.......ngumu sana CDM kushika Dola dogo kwa kuongea uongo.
 
Sawana

Senior Member
Dec 19, 2013
130
0
Maisha yamekuwa magumu sana siku hizi kwahiyo watu hawana muda wa kupoteza kwenda kwenye mikutano ya ccm kusikia uongo usio na nyuma wala mbele
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom