Mkutano wa CCM sanawari Arusha.Watu walikuwa wakiombea viti hata wapumzike tuu.

Hakuwa mkutano wa ccm bali ulikuwa mkutano wa Mizigo.

Palikuwa na wagosi waliochukua kutwa yao..wakiwa na CCM chini ,kichwani wana kapelo la Safari Lager..nadhani walifaulishwa sehmu waka[ita part time faster.Wagosi walikuwa wakiimba na kunengua huku wakicheka tuu....
 
Arusha toka uhuru had xaxa imeongozwa na chadema na ndio maana kuna maendeleo mnayoyaona!!!!! Teh teh teh very interestng story, mnaongozwa na chuki 2 ilyopandkzwa juu yenu..2015 chadema ishke dola jaman mbona mtafurah wenyewe.. kwny taasisi ndogo kama chama imeshndkana, kwny nch kubwa kama Tz ambao hawana destur ya kushukuru hata kwa kdogo klchopo itaweza lazima.
 
Arusha toka uhuru had xaxa imeongozwa na chadema na ndio maana kuna maendeleo mnayoyaona!!!!! Teh teh teh very interestng story, mnaongozwa na chuki 2 ilyopandkzwa juu yenu..2015 chadema ishke dola jaman mbona mtafurah wenyewe.. kwny taasisi ndogo kama chama imeshndkana, kwny nch kubwa kama Tz ambao hawana destur ya kushukuru hata kwa kdogo klchopo itaweza lazima.

unaelekea umotoka ktk uncivilized society ,ambayo ktk mawindo yao wakikuta mtu asiyefanana na wao,basi humtega na kuanza mfanyia mizaha huku wakishangilia km vile wameshika mnyama mbaya.

Maendeleo ya nchi na CDM kushika dla haihitaji mawazo mfu, au ruhusa yako na mizigo wengine.Km CCM ndio waliojenga Arusha kwnini wasijenga na mikoa mingine?Mbona bado leo penye maendeleo hakuna CCM?MBona CCM inapiga vita wenye maendeleo kikabila,kidini na kikanda..?Seems hujagundua hata element za maendeleo ndio maana nakuambia maendeleo ya Arusha hayawezi husishiwa na CCM,sana sana bila CCM Arusha ingekuwa mbali Zaidi.HAta Kiliamnjaro km si CCM Moshi ingekuwa mbalia sana...Hujuma mlianza tangu mkiwa chama pekee sasa hivi hamna mashiko tena.Moshi sasa inalipuka upya,skyscraper zinajengwa, supermarkets kubwa zinajengwa..katikati ya hujuma zenu halfu msema tena nyie ndio mlijenga..wahujumu Uchumi na maendeleo.
 
Haha..jamani CCM imekufa vibaya arusha.Kuna taarifa CCM walikuwa na mkutano sanawari wakiwa na mahema mawili madogo kabisa na viti chini ya 50.Ila walikuwa wakiomba watu waje kukaa ktk viti hata kupumzika tuu.Bdo watu walichomoa.

Mwenye picture ktk huo mkutano tunaomba aziweke.

Ngoja nikachukue gomba mtaa wa Bondeni kisha nikapumzikie hapo huku nikichanja taratiiibu!
 
Ngoja nikachukue gomba mtaa wa Bondeni kisha nikapumzikie hapo huku nikichanja taratiiibu!

ilikuwa ni majuzi..ungeweza saga..si unajua wao ndio wanamiliki biashara ya gomba...eti wanadaia kuwa ilikuwa ni mkutano wa UVCCM wakati waliona wanasema ni vijizee ndivyo vilisogea....
 
Sio rahisi kuelewa wala kuelimika,tatizo lako ni "mind rigidity", achia mind iwe "flexible" kwa akili ya Kawaida unaweza kumlinganisha Lema na Wabunge wako wa CCM? Mungu akufungue kutoka kifungoni uwe huru. Sina Mda tena wa kujibishana na Wewe maana unaonesha wazi kua Mind yako inahitaji General re-structuring, anza kujisomea inspiration books kama "The Power of Positive Thinking,Think Big Become Reach etc ili ukomboke kifikra.
HAAHAAAAAHAAAA TEHEHEEEEEE KWEKWEEEEE,
unasoma vitabu vya wasanii halafu unavileta hapa kama reference??????
huyo aliyeandika ''THINK BIG AND BECOME RICH"" mpaka hivi sasa bado ni maskini.. imagine!!!!
ungepewa 1/100 ya akili zangu ukoo wenu wangekuita NABII.
 
Back
Top Bottom