Mkutano wa CCM Mbeya

Mkutano wa CCM Mbeya

watu 1200 hao kulingana na manazi wa chadema hapa jf.
4.+Nape+akihutubia+maelfu+ya+wananchi+katika+Uwanja+wa+Rwandanzovwe+mjini+Mbeya.JPG
Mbona huzungumzi waliobebwa na mabasi/malori kuhudhuria mkutano? Au hujui maandamano ya chama tawala yalipaswa kufurika watu toka mbeya mjini pasipo kupatiwa tip wala usafiri?
 
ule umati wa chadema umeleta umeme kiasi gani. mbeya wamempa sugu je amewaletea umeme.sishabikii upumbavu wa ccm ila chadema mnaudhi kwa propaganda zenu za kitoto. eti watu 1000. wanafunzi tu hao. ndio maana nimejiunga na ccm ya hap jf kukabiliana na nyie wana magwanda na propaganda zenu.
Sasa Jenifa wewe na wanamageuzi nani ana hoja/propaganda za kitoto? Maendeleo huletwa na serikali kwa kutekeleza sera za chama tawala sasa ulitarajia umeme uletwe kwa cdm kuandamana? Kama unafikiri magwanda ndio bora basi shida ya umeme ilipaswa isiwepo wala kuzungumziwa kabisa, kuna mmoja wetu alisema kuishabikia magamba ni tatizo la mtindio wa akili sasa kazi kwako
 
sendekabwana eti Rais na mtoto wakewamezushiwa kashfa zauongo, haya na hilo la gazeti ladira la tapeli anayekula namkuu wa kaya nalo pia nakusingiziwa? JF wamehongwakutoa hiyo story aibu sanasana sana kwenu wakina maxe Sasa mutoto wa rahisi anatuhusu nini?
 
Jambo mojawapo linalosumbua katika suala zima la uchumba/mahusiano hivi sasa, ni iwapo wanaume bado wanathamini au kuzingatia ubikira wa mwanamke, kama ilivyokua katika jamii nyingi zamani.
Katika dunia hii ambamo ngono kimekuwa kitu cha kawaida na kujilinda kumekuwa nadra miongoni mwa vijana wa kiume na kike, bikira kimekuwa kitu adimu sana-na hata imefikia wakati si wengi wanaolifuatilia jambo hilo.
Pengine sababu kubwa kwa wanaume wengi kudai hawazingatii suala la ubikira ktk zama hizi ni kutokana na ukweli kuwa sisi ndio waharibifu wakubwa wa bikira za wasichana, kwahiyo matarajio ya kuwakuta wasichana wenye bikira katika jamii hii iliyopotoka kimaadili ni mdogo. LAKINI pamoja na hayo kuna ushahidi wa kutosha unaooneshe kuwa wanaume huwataka wanawake waaminifu na aliyejitahidi kujitunza katika usichana wake, wanapokuwa wanawatafuta mtu wa kuisha nae kama mama ya watoto wake. HATAHIVYO kwa kuwa imebainishwa hapa kuwa mambo yamekiharibikia kizazi cha sasa hata ngono imekuwa jambo la kawaida, inafikia mahali wanaume wanakubaliana kuwa kumsaka mwanamke bikira si jambo jepesi. Lakini kutokana na zoezi lenyewe la kumtaka mweza lilivyo na thamani kwa wanaume HISTORIA za mwanawake/wachumba limekuwa likipewa kipaumbele sana. HAPA NDIPO SWALI LIJAPO:1. JE NI KWELI WANAUME HUPENDA BIKIRA? 2. UZURI NA UBAYA WA mwanamke ASIYE NA BIKIRA NI UPI? 3. UZURI NA UBAYA WA BIKIRA NI UPI?
Ndugu wana MMU, Nawasilisha!
 
...Vip wajameni?Hivi nani hapa asiyeju kuwa kwa katiba yetu wananchi uchagua chama kuunda serikali, na kwa sasa serikali imeundwa na CCM? Actually, mfano ulikuwa MWENYE DUKA(aliyeingia mkataba wa kutoa huduma kwa wanunuzi aka wananchi ni CCM), na MUUZA DUKA(anayewajibika kuwahudumia wananchi ni serikali kupitia viongozi wake), na kama WAUZA DUKA(viongozi wa serikali) wataharibu, na hivyo kuwakera WANUNUZI(wananchi), WANUNUZI watamchukia MWENYE DUKA(CCM) na kutokwenda tena dukani kwake(KUCHAGUA CHAMA KINGINE).Kwa mantiki kuwa, wananchi wameichagua CCM iongoze serikali kwa terms zilizoahinishwa kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM, 2010/15, hivyo ni wajibu wa viongozi wa CCM kuisimamia serikali kwa ukaribu sana katika kuhakikisha inatekeleza ahadi zake kwa wananchi, pale wanapomuona kiongozi yeyote wa serikali asiyetimiza wajibu wake na kuitumia nafasi yake serikalini kujinufaisha binafsi na kuwaonea wananchi wasimuonee haya, wachukue hatua stahiki za kutoa taarifa ili aondolewe haraka, wasipofanya hivyo na kuwaacha viongozi wa serikali wasiowajibika kwa wananchi,wananchi wataichukia CCM na kuihukumu katika uchaguzi, hivyo kabla CCM haijawajibishwa na wananchi, itawawajibisha viongozi hao wa serikali kupitia serikali yake, na hivyo kuendela kubeba imani ya wananchi kama chama kinachoweza kuwaletea maendelea na mtetezi wa kweli wa wanyonge.Sioni tatizo lolote hapa hapa..
Huoni tatizo kwa sababu umeizua akili yako kufikiri. Hebu jiulize maswali kadha wa kadha ktk ulichoandika utapata jawabu. Pili, kwa jinsi ulivyofafanua na kujitahidi kueleza naona ni zaidi kilichoandikwa kwenye gazeti. Je! Wewe ni Nape?
 
Sijui kwa nini..
Bado mwaiongelea hizi bikira
Kama ndio uhai wa binadamu..
 
ka mchumba wako anaona bikra ni big deal, nenda kainunue sa hivi ziko nyingi tu za mchina na kwa waganga wa jadi tena kitu inakuwa tight mbaya hadi yeye atachoka
 
Bado ina dili. Ukiipata ni sifa ila siku hizi mtu akiipata moja tu basi yatosha anaendelea kutafuta mke. Ila Kwa mwanaume mwenye maadili na kumwogopa mungu amupatapo mwanamke wa namna hiyo basi kwake ni baraka maishani mwake, maana bado mke anakuwa safi kimwili na kiroho no contamination hana majonzi hajui shubiri ya mwanaume kila apatacho ajua ndio mwisho ulivyo, hawezi linganisha na mwisho ndoa yadumu ''VISE VERSA''. Tumekimbilia uharibifu na kupofushwa macho kabisa wala hatuoni hasara ya kutotunza miili yetu hata miiko na mafundisho tumeona hayafai tumefuata akili zetu, UPENDO ndicho kitu pekee ambacho binadamu amepewa kama dhamana apotezapo ladha yake basi maisha huwa machungu na hawezi kukirejesha tena.
 
Wanaume mwenyewe hata wakiikuta pia wanasema "Ah hiyo ya ki China,wengine wanasema huwezi kununua kiatu bila kupima size yako manake uk wana size zao China wana size zao,mie kwa upande wangu naona chamsingi nikumuomba mungu akupe mke mwenye maelewano mtifu na muelewa,Bikra sioni kama ni jambo kubwa sana sababu baada ya kutoka bikra nini kinafata?
 
ATAKA WALIOSABISHA MGAWO WAWAJIBISHWE
Brandy Nelson na Hawa Mathias,Mbeya
SUALA la mgawo wa umeme unaoendelea nchini kote linazidi kuchukua sura mpya baada ya Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta kutaka wote waliofikisha nchi kwenye mgawo huo wawajibishwe.
Sitta alisema haitoshi kwa watu hao kuomba msamaha pekee kwa kulingiza taifa katika makali na kadhia ya mgawo huo unaoendelea kuporomosha uchumi wa nchi.

Kauli ya Sitta imekuja wakati wabunge mjini Dodoma wakiwa wamebana Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja wakitaka aeleze jinsi atakavyomaliza mgawo huo nchini baada ya kuwasilisha bajeti ya wizara yake juzi, vinginevyo hawataipitisha.

Sitta akizungumza na Vijana wa CCM kutoka vyuo vikuu mkoani Mbeya jana alisema: “Ni lazima tuwaombe radhi Watanzania kwa kuwapo kwa mgawo wa umeme kwani hii siyo nchi ya kupata mgawo.”

“Tunazo rasilimali nyingi ambazo zinaifanya Tanzania kuwa na umeme wa kuuza na siyo mgawo,” aliongeza Sitta.

“Haitoshi kuwaomba radhi Watanzania lazima waliotufikisha kwenye mgawo wawajibishwe, hili lazima tutalishughulikia tunawaahidi lazima nchi yetu ibaki kuwa na heshima aliyoiacha Baba wa Taifa (Mwalimu Julius Nyerere), ”alisema Sitta.

Sitta ambaye ameongozana na Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk Harrison Mwakyembe (ambaye ni Mbunge wa Kyela), Mbunge wa Simanjiro, Christopher ole Sendeka, Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela, alisema ili nchi iweze kurejea katika hadhi yake iliyokuwa nayo lazima utaratibu wa kuwajibishana urejewe.

Wengine waliohudhuria kongamano hilo ni Naibu Waziri wa Viwanda Biashara na Masoko ambaye pia ni Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu, Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mary Mwanjelwa, Mbunge wa Mbozi Mashariki, Godfrey Zambi na Mbunge wa Mbarali, Dickson Kilufi.

Katika kongamano hilo pia, Sitta ambaye alikuwa Spika wa Bunge la Tisa alizungumzia jaribio la kutaka kuvuliwa uanachama wa CCM mwaka 2009, akisema kuwa kundi la watu wachache wenye fedha walitaka kutumia fedha zao kumng’oa na kumvua uanachama.

“Nataka kuwaeleza haya matukio yapo ya kutaka kufukuzwa kwenye chama, kwani hata mimi nilitaka kufukuzwa na watu wenye fedha, lakini walishindwa, tunamshukuru Rais Jakaya Kikwete aligundua kuwa kuna ulazima wa kuvua gamba katika chama chetu,”alisema.

“Nawapa matumaini katika chama chetu kuwa sisi mnaotuona hapa ndio tunaotumia akili siyo tumbo katika kufikiri, hivyo chama chetu kitakwenda vizuri,”aliongeza Sitta.

Alisema kuna baadhi ya viongozi wa Serikali na wanachama wa CCM wanatanguliza ubinafsi, kwani hivi karibuni walidiriki hata kusafirisha wanyama na kuwapeleka nje ya nchi.

“Hivi karibuni kuna wenzetu walisafirisha wanyama wetu aina ya twiga wapatao130 kuwapeleka Uarabuni, hii hali hatutaweza kukubaliana nayo, lazima tupambane,” alisema.

Akijibu maswali ya wanafunzi hao, Sitta alisema kuhusu soko la ajira katika Jumuia ya Afrika Mashariki, vijana wategemee kuwapo kwa ajira hizo na kwamba watapimwa uwezo huku akiwahakikishia kuwa wapo watakaoajiriwa na kufanya kazi Kenya.

Kuhusu ubinafsishaji wa shamba la Kapunga, wilayani Mbarali, Sitta alisema kuna uwezekano mkubwa kuwa baadhi ya viongozi wa Serikali wana mikono yao kwa wawekezaji na kwamba atahakikisha wakulima wanarudishiwa mashamba yao na wale waliohamishwa katika maeneo yao ili waendelee kujikita zaidi katika kilimo.

Waziri Sitta alisisitiza kuwa hawezi kuvumilia viongozi wanaowalangua wananchi na anashangaa kuwekeza wakulima wakubwa

“Huu ni upuuzi na hata sintoafiki ardhi yetu kuingiliwa kwa kuwanufaisha wachache na wenye nayo kuishi maisha duni,” alisema.

Sitta na wenzake wapo mkoani Mbeya kwa ajili ya kukisafisha chama (CCM) na kujibu hoja mbalimbali ambazo zimekuwa zikitolewa na wapinzani kwa siku za karibuni.

Katika hatua nyingine Katibu wa Itikadi,Siasa na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM), Nape Nauye amesema sumu ya nyoka aliyejivua gamba kazi yake ni kuwajibisha watendaji wote serikalini ambao kazi yao ni kushughulikia matumbo yao badala ya maendeleo ya Wananchi.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Luanda Nzovwe jijini Mbeya alisema kumekuwepo na watendaji ambao wamekuwa wakitumia vibaya madaraka waliyonayo kwa kushughulikia matumbo yao na familia zao badala ya kufanya shughuli za umma.

Alisema wananchi masikini ndiyo wamekuwa wakiumia kwa kuwa na maisha magumu huku CCM na serikali ikiwa imekamatwa na watu wachache ambao wamekuwa wakifuja mali za wananchi.

“Misingi ya CCM inataka kukosoa na kukosoana bila unafiki hivyo ni lazima wale wote ambao wanafanya kazi kinyume na matakwa ya Watanzania na kusababisha wananchi wetu kuwa masikini, wawajibishwe.”

“Walioko Serikalini atakayefanya vibaya tutamshughulikia kwani sisi tunataka kutatua kero za Wananchi hivyo tutawashughulikia kabla ya wananchi kutushughulikia sisi na chama chetu cha mapinduzi,”alisema.

Kuhusu mgao wa umeme Nape alisema ni lazima Serikali ikiri “Tunaiagiza Serikali tunataka tatizo la umeme liishe kwani nchi kuwa gizani ni suala la aibu,”alisema.

Naye Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara na Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu alisema saa imefika ya kurudisha viwanda na mashamba yaliyobinafsishwa kwa Wananchi ili waweze kunufaika na rasilimali zao.

Alisema kuna viwanda na mashamba ambayo yamechukuliwa na wawekezaji, lakini wananchi wenye mali hizo hawanufaiki na rasilimali hizo huku wakishuhudia zikiwanufaisha watu wachache.
 
Huoni tatizo kwa sababu umeizua akili yako kufikiri. Hebu jiulize maswali kadha wa kadha ktk ulichoandika utapata jawabu. Pili, kwa jinsi ulivyofafanua na kujitahidi kueleza naona ni zaidi kilichoandikwa kwenye gazeti. Je! Wewe ni Nape?

Nadhani unapaswa ufikiri kwa bidii zaidi!!

Hivi wananchi waliingia na nani mkataba wa kuongoza serikali? kama ni chama kupitia uchaguzi, kwanini terms of reference za utendaji kazi wa serikali zisitolewe na chama?na kama ni hivyo kupitia ilani ya uchaguzi, kwanini viongozi wa chama wasiwe watchdogs kuhakikisha viongozi wa serikali wanatimiza kikamilifu yale ambayo chama kilikubaliana na wananchi kuyafanya?

Kutoka: Gazeti la Mwananchi la leo..

..................Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Luanda Nzovwe jijini Mbeya, Nape alisema kumekuwepo na watendaji ambao wamekuwa wakitumia vibaya madaraka waliyonayo kwa kushughulikia matumbo yao na familia zao badala ya kufanya shughuli za umma.

Alisema wananchi masikini ndiyo wamekuwa wakiumia kwa kuwa na maisha magumu huku CCM na serikali ikiwa imekamatwa na watu wachache ambao wamekuwa wakifuja mali za wananchi.

"Misingi ya CCM inataka kukosoa na kukosoana bila unafiki hivyo ni lazima wale wote ambao wanafanya kazi kinyume na matakwa ya Watanzania na kusababisha wananchi wetu kuwa masikini, wawajibishwe."

"Walioko Serikalini atakayefanya vibaya tutamshughulikia kwani sisi tunataka kutatua kero za Wananchi hivyo tutawashughulikia kabla ya wananchi kutushughulikia sisi na chama chetu cha mapinduzi,"alisema.
 
Obsession!!!! imeshakaa kwenye mind za wanaume kwamba ukikata utepe demu hakusahau, eti mkikutana hata akiwa ameolewa ni rahisi kukupa tena!!! sijui maneno haya yana ukweli au vipi. Mimi niliyemdungua hata hamu naye sina tena ingawa huwa tunaonana mara chache chache ni salamu na story za hapa na pale basi!
 
Sijui kwa nini..Bado mwaiongelea hizi bikiraKama ndio uhai wa binadamu..
Hahahahaaa afro, we hujui tu, sie wanaume twachunguza sana na hii ni agenda ya vijana wengi vijiweni. Uifanya uchunguzi kwa sasa miongoni mwa wanaume, hasa wale wa mjini na waliosoma, na ukiwauliza iwapo wanapenda mchumba mwenye bikira au asiye na bikira, utabaini kuwa nusu ya wanaume hao au zaidi watasema kama mwenye bikira yupo basi ndiye anafaa. Hapa ndio chimbuko la mjadala lianzapo!
 
ka mchumba wako anaona bikra ni big deal, nenda kainunue sa hivi ziko nyingi tu za mchina na kwa waganga wa jadi tena kitu inakuwa tight mbaya hadi yeye atachoka
Kuna maswali mengine hapo ya kujibu, kama vile uzuri na ubaya wa bikira ni upi?
 
Watanzania hasa wana ccm tuwe makini na huyu msanii sitta kwani alipokuwa ika wa bunge letu alizima hoja ya richmond kiaina Ili wahusika wasichuku
Iiwe hatua leo hii huyu babu anataka kutudanganya kuwa ana uchungu
 
ATAKA WALIOSABISHA MGAWO WAWAJIBISHWE
Brandy Nelson na Hawa Mathias,Mbeya
SUALA la mgawo wa umeme unaoendelea nchini kote linazidi kuchukua sura mpya baada ya Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta kutaka wote waliofikisha nchi kwenye mgawo huo wawajibishwe.
Sitta alisema haitoshi kwa watu hao kuomba msamaha pekee kwa kulingiza taifa katika makali na kadhia ya mgawo huo unaoendelea kuporomosha uchumi wa nchi.

Kauli ya Sitta imekuja wakati wabunge mjini Dodoma wakiwa wamebana Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja wakitaka aeleze jinsi atakavyomaliza mgawo huo nchini baada ya kuwasilisha bajeti ya wizara yake juzi, vinginevyo hawataipitisha.

Sitta akizungumza na Vijana wa CCM kutoka vyuo vikuu mkoani Mbeya jana alisema: "Ni lazima tuwaombe radhi Watanzania kwa kuwapo kwa mgawo wa umeme kwani hii siyo nchi ya kupata mgawo."

"Tunazo rasilimali nyingi ambazo zinaifanya Tanzania kuwa na umeme wa kuuza na siyo mgawo," aliongeza Sitta.

"Haitoshi kuwaomba radhi Watanzania lazima waliotufikisha kwenye mgawo wawajibishwe, hili lazima tutalishughulikia tunawaahidi lazima nchi yetu ibaki kuwa na heshima aliyoiacha Baba wa Taifa (Mwalimu Julius Nyerere), "alisema Sitta.

Sitta ambaye ameongozana na Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk Harrison Mwakyembe (ambaye ni Mbunge wa Kyela), Mbunge wa Simanjiro, Christopher ole Sendeka, Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela, alisema ili nchi iweze kurejea katika hadhi yake iliyokuwa nayo lazima utaratibu wa kuwajibishana urejewe.

Wengine waliohudhuria kongamano hilo ni Naibu Waziri wa Viwanda Biashara na Masoko ambaye pia ni Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu, Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mary Mwanjelwa, Mbunge wa Mbozi Mashariki, Godfrey Zambi na Mbunge wa Mbarali, Dickson Kilufi.

Katika kongamano hilo pia, Sitta ambaye alikuwa Spika wa Bunge la Tisa alizungumzia jaribio la kutaka kuvuliwa uanachama wa CCM mwaka 2009, akisema kuwa kundi la watu wachache wenye fedha walitaka kutumia fedha zao kumng'oa na kumvua uanachama.

"Nataka kuwaeleza haya matukio yapo ya kutaka kufukuzwa kwenye chama, kwani hata mimi nilitaka kufukuzwa na watu wenye fedha, lakini walishindwa, tunamshukuru Rais Jakaya Kikwete aligundua kuwa kuna ulazima wa kuvua gamba katika chama chetu,"alisema.

"Nawapa matumaini katika chama chetu kuwa sisi mnaotuona hapa ndio tunaotumia akili siyo tumbo katika kufikiri, hivyo chama chetu kitakwenda vizuri,"aliongeza Sitta.

Alisema kuna baadhi ya viongozi wa Serikali na wanachama wa CCM wanatanguliza ubinafsi, kwani hivi karibuni walidiriki hata kusafirisha wanyama na kuwapeleka nje ya nchi.

"Hivi karibuni kuna wenzetu walisafirisha wanyama wetu aina ya twiga wapatao130 kuwapeleka Uarabuni, hii hali hatutaweza kukubaliana nayo, lazima tupambane," alisema.

Akijibu maswali ya wanafunzi hao, Sitta alisema kuhusu soko la ajira katika Jumuia ya Afrika Mashariki, vijana wategemee kuwapo kwa ajira hizo na kwamba watapimwa uwezo huku akiwahakikishia kuwa wapo watakaoajiriwa na kufanya kazi Kenya.

Kuhusu ubinafsishaji wa shamba la Kapunga, wilayani Mbarali, Sitta alisema kuna uwezekano mkubwa kuwa baadhi ya viongozi wa Serikali wana mikono yao kwa wawekezaji na kwamba atahakikisha wakulima wanarudishiwa mashamba yao na wale waliohamishwa katika maeneo yao ili waendelee kujikita zaidi katika kilimo.

Waziri Sitta alisisitiza kuwa hawezi kuvumilia viongozi wanaowalangua wananchi na anashangaa kuwekeza wakulima wakubwa

"Huu ni upuuzi na hata sintoafiki ardhi yetu kuingiliwa kwa kuwanufaisha wachache na wenye nayo kuishi maisha duni," alisema.

Sitta na wenzake wapo mkoani Mbeya kwa ajili ya kukisafisha chama (CCM) na kujibu hoja mbalimbali ambazo zimekuwa zikitolewa na wapinzani kwa siku za karibuni.

Katika hatua nyingine Katibu wa Itikadi,Siasa na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM), Nape Nauye amesema sumu ya nyoka aliyejivua gamba kazi yake ni kuwajibisha watendaji wote serikalini ambao kazi yao ni kushughulikia matumbo yao badala ya maendeleo ya Wananchi.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Luanda Nzovwe jijini Mbeya alisema kumekuwepo na watendaji ambao wamekuwa wakitumia vibaya madaraka waliyonayo kwa kushughulikia matumbo yao na familia zao badala ya kufanya shughuli za umma.

Alisema wananchi masikini ndiyo wamekuwa wakiumia kwa kuwa na maisha magumu huku CCM na serikali ikiwa imekamatwa na watu wachache ambao wamekuwa wakifuja mali za wananchi.

"Misingi ya CCM inataka kukosoa na kukosoana bila unafiki hivyo ni lazima wale wote ambao wanafanya kazi kinyume na matakwa ya Watanzania na kusababisha wananchi wetu kuwa masikini, wawajibishwe."

"Walioko Serikalini atakayefanya vibaya tutamshughulikia kwani sisi tunataka kutatua kero za Wananchi hivyo tutawashughulikia kabla ya wananchi kutushughulikia sisi na chama chetu cha mapinduzi,"alisema.

Kuhusu mgao wa umeme Nape alisema ni lazima Serikali ikiri "Tunaiagiza Serikali tunataka tatizo la umeme liishe kwani nchi kuwa gizani ni suala la aibu,"alisema.

Naye Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara na Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu alisema saa imefika ya kurudisha viwanda na mashamba yaliyobinafsishwa kwa Wananchi ili waweze kunufaika na rasilimali zao.

Alisema kuna viwanda na mashamba ambayo yamechukuliwa na wawekezaji, lakini wananchi wenye mali hizo hawanufaiki na rasilimali hizo huku wakishuhudia zikiwanufaisha watu wachache.

Opportunist haya mbona hayasemi Bungeni ila anawaita wanao sema ukweli kwamba ni wanafiki .Huyu mjinga sana ila kesha jimaliza .Aaseme kule bungeni aingie kwenye hansard na si kusemea pembeni huko .NI tabia yao kusemea off records watu wa CCM .
 
Hahahahaaa afro, we hujui tu, sie wanaume twachunguza sana na hii ni agenda ya vijana wengi vijiweni. Uifanya uchunguzi kwa sasa miongoni mwa wanaume, hasa wale wa mjini na waliosoma, na ukiwauliza iwapo wanapenda mchumba mwenye bikira au asiye na bikira, utabaini kuwa nusu ya wanaume hao au zaidi watasema kama mwenye bikira yupo basi ndiye anafaa. Hapa ndio chimbuko la mjadala lianzapo!
Hongera kama utanpata Mwenye halisi .. wengi sikuhizi mnapewa Toyota unaona umeopoa BM..Kazi kweli kweli...
 
Back
Top Bottom