Mkutano wa CCM Mbeya

Mkutano wa CCM Mbeya

CCM hawana jipya, wako hoi. wameishiwa mbinu zote. wote ni mafisadi, kuanzia rais mpaka balozi wa nyumba kumi. ccm iliwatenga vijana ili waitafune nchi peke yao, hatuwezi kuwasamehe hiyo dhambi, vijana wanapaswa kufany mapinduzi, wajitwalie nchi yao. tusikubali tena hadaa za ccm.
 
Nilikuwepo kwenye mkutano wa leo, nilikuwepo na ule wa Chadema Mwezi Mei. Hakika kwa idadi ya watu, mwitikio na hamasa, CCM na CDM ni kama Mbingu na ardhi. CCM hawakufikisha hata nusu ya uwanja wa Ruanda Nzovwe. Ikumbukwe mkutano wa CDM ulikuwa wa Jimbo/Wilaya ya Mbeya mjini wakti huu wa CCM ulikuwa wa Mkoa mzima. Walikuwepo wana CCM toka wilaya zote za Mkoa wa Mbeya. Labda kwa upande wa sare na tu ndio CCM walifunika kwani wanachama wao walipendeza kwa kijani na njano. Nusu ya watu waliohudhuria hata hivyo walikuwa wanaguna tu kwa kila kinachosemwa pale japo Nape kajitahidi kuvutia na kurudisha imani kwa wana CCM wenzie

Katika tundiko lake la facebook Edger Mwankuga an aeleza:


Wanafunzi wa shule za Sangu, Meta na Ivumwe zinazomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi mkoani Mbeya, wamelalamikia hatua ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani hapa kuwalazimisha kuhudhuria maandamano ya chama hicho yanayotarajiwa kufanyika leo jijini Mbeya. Wakizu...ngumza na gazeti hili kwa sharti la kutotajwa majina yao, wanafunzi hao wamedai kuwa viongozi wa CCM wamekwenda kwenye shule zao na kuwaamuru walimu wawashinikize wanafunzi kuhudhuria maandamano hayo. Walisema viongozi hao wa CCM wameahidi kuwapelekea magari yatakayowabeba kutoka kwenye shule zao kwenda mahali pa kuanzia maandamano na kisha kuwarejesha shuleni baada ya maandamano kumalizika. Walisema kitendo hicho cha kuwalazimisha sio kizuri kwa kuwa na wao wanayo hiyari ya kwenda au kutokwenda kwenye maandamano hayo.(NIPASHE) Maandamano ya CCM yamefanyika leo katika Jiji la Mbeya,huku CCM wakilazimika kutumia magari kuwabeba wanachama wake kutoka kila wilaya ili kufanikisha maandamo hayo.
 
CCM hawana jipya, wako hoi. wameishiwa mbinu zote. wote ni mafisadi, kuanzia rais mpaka balozi wa nyumba kumi. ccm iliwatenga vijana ili waitafune nchi peke yao, hatuwezi kuwasamehe hiyo dhambi, vijana wanapaswa kufany mapinduzi, wajitwalie nchi yao. tusikubali tena hadaa za ccm.
Ulitaka watafune nchi na vijana? Kama ndivyo ndugu yangu ni hatari, lengo la wanamageuzi ni kuikomboa nchi na rasilimali zake ziwe za manufaa kwa wote na sio ya kuliwa na vijana na wazee
 
watu 1200 hao kulingana na manazi wa chadema hapa jf.
4.+Nape+akihutubia+maelfu+ya+wananchi+katika+Uwanja+wa+Rwandanzovwe+mjini+Mbeya.JPG
 
Tatizo ni upeo mdogo wa kufikiri alionao Nape tumuombee mungu ili ajirekebishe
 
...Vip wajameni?

Hivi nani hapa asiyeju kuwa kwa katiba yetu wananchi uchagua chama kuunda serikali, na kwa sasa serikali imeundwa na CCM?

Actually, mfano ulikuwa MWENYE DUKA(aliyeingia mkataba wa kutoa huduma kwa wanunuzi aka wananchi ni CCM), na MUUZA DUKA(anayewajibika kuwahudumia wananchi ni serikali kupitia viongozi wake), na kama WAUZA DUKA(viongozi wa serikali) wataharibu, na hivyo kuwakera WANUNUZI(wananchi), WANUNUZI watamchukia MWENYE DUKA(CCM) na kutokwenda tena dukani kwake(KUCHAGUA CHAMA KINGINE).

Kwa mantiki kuwa, wananchi wameichagua CCM iongoze serikali kwa terms zilizoahinishwa kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM, 2010/15, hivyo ni wajibu wa viongozi wa CCM kuisimamia serikali kwa ukaribu sana katika kuhakikisha inatekeleza ahadi zake kwa wananchi, pale wanapomuona kiongozi yeyote wa serikali asiyetimiza wajibu wake na kuitumia nafasi yake serikalini kujinufaisha binafsi na kuwaonea wananchi wasimuonee haya, wachukue hatua stahiki za kutoa taarifa ili aondolewe haraka, wasipofanya hivyo na kuwaacha viongozi wa serikali wasiowajibika kwa wananchi,wananchi wataichukia CCM na kuihukumu katika uchaguzi, hivyo kabla CCM haijawajibishwa na wananchi, itawawajibisha viongozi hao wa serikali kupitia serikali yake, na hivyo kuendela kubeba imani ya wananchi kama chama kinachoweza kuwaletea maendelea na mtetezi wa kweli wa wanyonge.

Sioni tatizo lolote hapa hapa..
 
A4.JPG
m
mwenyekiti wa chadema mbozi akivua magwanda na kuvaa magamba
 
Ma CCM bwana wanasema tu kila watakacho kiburi na dharau zimewajaa .Wacha tuone kasi zao hizi .
 
A5.JPG

mwenyekiti mtandao wa wanataaluma chadema mbeya akivua magwanda na kuvaa magamba
 
Mapicha haya Jenifa yametuletea umeme ? Umasikini wa Mtanzania umeisha ? Faida gani sasa kuweka mapicha yote haya hapa .Nilidhani wataongelea shida za Watanzania kumbe ni kununua wapinzani uchwara ? Now here comes huu ni mkutano wa mkoa mzima ina maana Mbeya nzima ndiyo ina watu hao ? Somba somba ile nayeo imekuwaje ? Shame on you nani asiyewajua CCM una ulaghai ?Watu huwa kwa Chadema huwa ni wa kitongoji na si Wilaya .
 
jenny - wa kubebwa na kusombwa hao!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mapicha haya Jenifa yametuletea umeme ? Umasikini wa Mtanzania umeisha ? Faida gani sasa kuweka mapicha yote haya hapa .Nilidhani wataongelea shida za Watanzania kumbe ni kununua wapinzani uchwara ? Now here comes huu ni mkutano wa mkoa mzima ina maana Mbeya nzima ndiyo ina watu hao ? Somba somba ile nayeo imekuwaje ? Shame on you nani asiyewajua CCM una ulaghai ?Watu huwa kwa Chadema huwa ni wa kitongoji na si Wilaya .

ule umati wa chadema umeleta umeme kiasi gani. mbeya wamempa sugu je amewaletea umeme.

sishabikii upumbavu wa ccm ila chadema mnaudhi kwa propaganda zenu za kitoto. eti watu 1000. wanafunzi tu hao. ndio maana nimejiunga na ccm ya hap jf kukabiliana na nyie wana magwanda na propaganda zenu.
 
Habari za kumsifia boyfreind wako Dr slaa kila jambo una aibisha sana nahisi hata mambo ya chumbani siku moja utaweka hapa JF! Wewe uliwahi kusema Rostam hawezi kujiudhuru leo una sema hongera kwa slaa! Upuuuuuzi huu
 
maskini akipata ****** ulia mbwata........huyu nape naona anaelekea kubaya sasa.
 
Back
Top Bottom