Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

david matayo 1414
benard membe 1455
willium lukuvi 1805
shigella 1824
mwigulu nchemba 2012
january makamba 2093
stephene wasira 2135. hao walikuwa wajumbe kutoka bara. wanachukuliwa kumi wa mwisho. mia
 
matokeo ya nafasi ya makamu mwenyekiti chama cha mapinduzi. tutaanza na zenji tutafuatia na bara by anna makinda. mia
 
Kura za makamu wenyeviti wa Ccm na bila shaka za Mwenyekiti ni za itifaki kwani haiwezekani watu zaidi ya elfu mbili apige kura na isiharibike hata moja , hizi ni kura za matokeo yaliyopangwa ilik kumfanya Jk apate zake zote za maruhani wanazipotezea .........
 
Mbona huyu mtoto kibonge wa malecela kila siku anashindwa kwenye kila uchaguzi?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Lowasa jembe. Amecheza karata kali sana. Inahitaji utulivu wa juu sana kujua hii strategy yake
 
Hongera JK hii inaonesha Wanachama wote wana IMANI na wewe
 
Back
Top Bottom