figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,052
- 64,177
mtiririko wa kutangaza kwa kuanzia kura chache hadi aliye shinda. yaani wa kwanza anakua wa mwisho. hizo ndo kanuni za uchaguzi wa ccm. mia
Matokeo yanatangazwa sasa na Anne Makinda.
Matokeo yanatangazwa sasa na Anne Makinda.
ile kufuatilia tuu mkutano wa CCM, ni uthibitisho tosha kuwa "unajali" regardless ya mapenzi yako yako wapi!.mimi nafuatilia kusikiliza kama mkongo'oto umeanza au la.sina mapenzi na ccm!
Sijui kwa nini Makinda anatumia neno mheshimiwa kuwataja waliokuwa wagombea. Au anadhani yuko bungeni?Matokeo yanatangazwa sasa na Anne Makinda.
Ssebo, mazuri ya JK kila siku tunayaimba humu! mpaka tumeyanzishia thread hii Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour" na ilikuwa stiky kwa muda mrefu!....Pia nafikiri kuna mazuri ya JK ambayo hayasemwi! Haiwezekani akawa kiongozi wa nchi na chama kama hana mazuri anayofanya! Kila mtu ana uzuri na upungufu wake lakini tukizumza mabaya tu tunakuwa hatutendi haki
Ssebo, mazuri ya JK kila siku tunayaimba humu! mpaka tumeyanzishia thread hii Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour" na ilikuwa stiky kwa muda mrefu!.