Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,361
Baada ya uchaguzi utasikia uchaguzi haukuwa huru na haki wakati walikuwa wanasherekea.
Kweli kabisa le mutuz ana mkosi.Ndiyo atajua CCM ina wenyewe na wenyewe siye yeye.
ndo hao wawili waliosema hapana, JK hakuweza kushinda kwa 100%Hivi wale waliotoa vipeperushi vya kumpinga JK hawajapiga kura?
Baada ya huu uchaguzi tutaskia mengi sana.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
99.92% watu wawili wapinga. Can't believe this.kuitetea CCM inahitaji uwe na akili ya maiti.? WHAT>?
JK 99.99999999999999999%
Inashangaza sana wale jamaa waliokuwa wanajigamba kupiga kura ya waruhani sijui wamepotelea wapi!!!
99.92% watu wawili wapinga. Can't believe this.
99.92% watu wawili wapinga. Can't believe this.
Hapo sasa, ina maana kura ya Bashe na Lowasa tu ndiyo zimesema hapana???? Yaani nimeamini CCM ni full unafiki.