Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

anasema kabla hajasitafu na kumkabidhi mwanaccm mwingine atakuwa ameanza kujenga reli ya kati
 
Ni kweli yupo na ukifatilia kama we ni greatthinker utagundua kuwa mwenyekiti akisema kitu cha kumfagilia EL ukumbi unalipuka kwa shangwee lkn akiongelea swala la kama anamsema EL ukumbi unakaa kimyaa ..,mfano ni pale aliposema wajumbe wachukie rushwaa na matumizi ya fedha mkumbi ulikuwa kimyaaa..lkn mwenyekiti aliposema watu waaache kumchukia watu kwa kuwa hawakuchaguliwa wao...au hawakuwaunga mkono wao ukumbi ulilipuuka..mark hapa EL ndio aliyeshinda kwa asilimia kubwa ktk chaguzi zilizopita.

Ngoma inogile na mwenyekiti mjanja ameshindwa kuji-commit kuwa kambi yeyote kasoma ukumbi..big-up mwenye kitu siasa unaijua
 
anasema 97% ya wanafunzi wameandikishwa kwa kuanza suke wamebakiza 3% tu kukamilisha malengo ya millenium
 
Ismail Aden Rage anaandaliwa kuwa next prime minister .... duh
 
anasema japo kunatatizo la walimu lakini wanameshajipanga miaka 2 tu upungufu wa elimu utakuwa umekwisha
 
Wamechota fedha zote kutoka HAZINA kwenda kugharamia MIPASHO hapo DODOMA,
 
swaiba wake amemponda sana yani muangalieni amelowa kama kanyeshewa mvua

Amempiga vijembe vifuatavyo: 1. hakuna tishio la Vita mpaka wa Malawi 2. Tusichague mgombea ambaye atakuwa ni mzigo kumnadi
 
anawambia baada ya miaka 3 walio na shaada ya elimu watakuwa wanafundisha primary maana watakuwa na walimu wakutosheleza kweli mdomo haupingwi
 
Huu ni mkutano wa CCM au? Mbona kama hotuba ya JK imejaa sana nini serikali ilichofanya au ndio kujipa ujiko...
Hapana...............Anawaeleza wajumbe wa Mkutano mkuu utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010.......

Kumbuka CCM ni chama kilicho madarakani na Ilani inayotekelezwa ni ile ya CCM ya mwaka 2010.......
 
Amempiga vijembe vifuatavyo: 1. hakuna tishio la Vita mpaka wa Malawi 2. Tusichague mgombea ambaye atakuwa ni mzigo kumnadi

yaani kamziba mdomo naona Membe safari ya urais imekaribia kwa ccm
 
anasema zanzibar haina malaria ilishafuwa na dawa zinapoletwa huletwa bara
 
JK anatiririka na data tupu kazama kwenye afya saizi anazama kwenye nishati.
 
Back
Top Bottom