Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

Vipi JK anaendelea kwenye nafasi ya uwenyekiti?? coz nilisikia eti hawataki raisi awe mwenyekiti!!
 
Tukisema tbc ccm watu wananuna. Je ccm wamelipia kwa tbc kwa kurusha matangazo? Je ungekuwa ni mkutano mkuu wa cdm tbc wangerusha? Hii ndo tanzania ambayo akina nape wanataka tuisifie na kufananisha na demokrasia ya marekani? We must make changes soon!
 
Naona wajumbe wanajipepea kwa scarf kutokana na joto lililopo ukumbuni.
 
Tot wapo jukwaani anaimba '2ungane 2we ki2 ki1 2vunje makundi'
 
Kwani Edward Lowassa naye atakuwepo?
Huyu leo hatatia mguu kabisa na sababu ipo
Ila hapo sio Chimwaga (ipo kule UDOM) hapo ni Kizota yalipo Magodown ya Hifadhi ya chakula ta Taifa
 
Naomba ufafanuzi hawa wajumbe wanaohudhuria mkutano ni wanapatikanaje?
 
I hope sumaye atakuwepo kwenye kinyang'anyiro
 
Nyimbo hazisaidii kuwaunganisha,makundi ndo yatazidi kuwa makubwa maana kuna kundi litakaloshindwa hapo nalo litaendeleza mtandao wa makundi.
 
Hii mifisadi imeamua kuonesha jeuri ya hela...sasa inawamwagia mihela hao mabinti wanaosoma ngonjera kama njugu vile...
 
Wakati Kapteni John Komba alipowataka wajumbe wote wa Mkutano Mkuu wa CCM wasimame kwa ajili ya kuimba wimbo wa Taifa, wajumbe wote, akiwamo Amani Karume walisimama, lakini Karume hakuimba japo neno moja. Hii ina maana gani?

Angalizo: Hii inathibitisha fununu kwamba Karume ni mmoja wa walio nyuma ya Uamsho. Lengo kuu la Uamsho ni kutoutambua Muungano wa Tanzania.
 
Kuna watu wanaangalia kumbe?!! Poleni hamna kazi za kufanya?
 
I hope sumaye atakuwepo kwenye kinyang'anyiro
Kuna mazee yamevimba matumbo ****** makubwa yaani mpaka wanatia kinyaa, wanaume wana mawowo yaani harufu ya rushwa na ufisadi kwenda mbele!
 
ukiangalia ukumbi ulivyopendeza,wanavyon'gaa hao wanaccm,kama matendo yao yangekua hivyo basi tungelikua mbali kama taifa.
 
Mwanangu wa kwanza ananichekesha baada ya kuona rangi za kijani zilivyotamalaki anasema "Migomba yote ina rangi gani???? Kijaniiiii" Nashangaa kumbe bado anakumbuka upumbavu wa Lusinde!!
 
Back
Top Bottom