Alaa sasa kama JK hajui nyoka wote wana ndimi mbili ikiwa ni pamoja na yeye mwenyewe ulitegemea atajua vipi ilihali yeye hataki kutazama kinywani mwake..Mkuu Mkandara, swali ni nyoka huyo ni yupi?. (nani), jibu lako lingefiti kama swali lingekuwa "jee ni nyoka yupi mwenye ndimi mbili?!"
anasema zanzibar haina malaria ilishafuwa na dawa zinapoletwa huletwa bara
sijui kama anajua asemalo,unless mbu wa kule wamepewa kinga.
Zamu ya Komba sasa anaimba.sijui kama anajua asemalo,unless mbu wa kule wamepewa kinga.
CHADEMA hizo ni mvua za rasha rasha, masika bado, CCM inazaliwa upya na kuja kikamilifu tayari kwa uchaguzi serikali za mitaa mwakani na uchaguzi mkuu 2015
ndivyo alivyosema naona anadanganya live naomba walioko zanzibar watuanbie kama ni kweli