Ritz najua wewe umeshaingiza fungu na wewe kale kama wenzako mkutane saa 10 jioniAnadanganya vipi wakati hata watu wa Zanzibar hujaongea nao.
Ritz najua wewe umeshaingiza fungu na wewe kale kama wenzako mkutane saa 10 jioniAnadanganya vipi wakati hata watu wa Zanzibar hujaongea nao.
Atumie neno lipi na yeye alistaafu mwenyewe. Hajang'atuka huyo.
wanaenda kugonga NOAH
Hapana...............Anawaeleza wajumbe wa Mkutano mkuu utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010.......
Kumbuka CCM ni chama kilicho madarakani na Ilani inayotekelezwa ni ile ya CCM ya mwaka 2010.......
jibu la maswali yako ni mafisadi kama EL, Sumayi, chenge, nawengine wenye mawzo ya kutumia hela kuatawala nchiMimi kwanza naomba kuchukua fursa hii, kuwapongeza CCM kwa mkutano wao mkuu ambao tumepata fursa ya kuungalia live kupitia runinga.
Nimeguswa sana na kauli hii ya Mwenyekiti wa CCM kuwa "Ndani ya CCM, kuna nyoka mwenye ndimi mbili!", na kusisitiza huwezi kuona ndani kuna nyoka na wewe ukamuachia tuu!.
Swali kwa wana CCM, wapenzi na washabiki wao,
- "jee nyoka huyu mwenye ndimi mbili ni nani?!.
- "Jee ni lini CCM, iligundua kuwa inafuga nyoka ndani ya nyumba yake?!.
- "Tangu walipogundua kuwa ndani nyumba kuna nyoka, walifanya nini kumuangamiza nyoka huyo?!.
- "Jee kama ni kweli nyoka huyo yupo, na ikitokea ameisha totoa vitoto kibao, sasa CCM itafanya nini?!.
Na swali la mwisho, hili ni kwa wengine wote wenye matumaini ya mabadiliko 2015, leo ni 2012, CCM imeishamshtukia nyoka ndani ya chama chao, wanaanza kujipanga kumuangamiza, hivyo kuisafisha nyumba yake, hivyo kufikia 2015, nyumba ya CCM itakuwa ni safi iliyotakata!, bado 2015, mna matumaini ya mabadiliko?!.
Nawatakia ufuatiliaji mwema wa Mkutano Mkuu wa CCM.
Pasco.
waziri mkuu aliyejiuzulu baada ya kashfa.
hakunga'tuka!
hakustaafu!
Zamu ya Komba sasa anaimba.
Ngoja nami nikuulize kabla sijakujibu......Kama ipi?Chifu, naomba nikuulize swali; hivi zile ahadi alizokuwa akitoa JK wakati wa kampeni, nazo zimo ndani ya ilani?
Hakujiudhuru kwa kashfa yoyote ile alistaafu.
Kungekuwa na kashfa Dowans wangeshinda kesi? tena ki Mataifa? Alistaafu kupisha uchunguzi wa kina na hakuna shutuma yeyote dhidi yake iliyoonekana ina ukweli.
komba ndani ya kikao anatumbuiza
Hakujiudhuru kwa kashfa yoyote ile alistaafu.
Kungekuwa na kashfa Dowans wangeshinda kesi? tena ki Mataifa? Alistaafu kupisha uchunguzi wa kina na hakuna shutuma yeyote dhidi yake iliyoonekana ina ukweli.
hivi usalama wa taifa ni sehemu ya ccm????