Natamani sana wamtangaze ZZK.
Wasaalam wanaJF,
Leo saa kumi kamili jioni kile chama mwana ACT-Wazalendo kitakuwa na mkutano wa kuweka msimamo wa kuthibisha wagombea wao wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar.
===============
Update:
Kwa gari itakuwa shida, askari wa barabani wa na tochi ya Kupima mwendo kasi. Vinginevyo aombe king'ora cha police.Ni rahisi sana kwani hapa Dar, Pwani, Tanga, Dodoma (kwa gari ni chini ya masaa 6) self drive na moja toka MZA kwa ndege kesho alfajiri SI LAZIMA aende yeye mbona mgombea wenu ndani ya masaa 24 alipata wadhamini 1,600,000 ama umesahau! Z'bar dk 90 amefika
ni kweli hamna tabia ya kukurupuka ndiomaana mlienda kumchukulia form mtu ambaye hataki kuwania nafasi hiyo.
Anna Senkoro naye aligombea2005kwa PPT-MAENDELEO kwa SASA yupo ccm.wanawake wakimpigia kura woooooooote kuanzia madam speaker hadi Mdee,huyu Ana wa ACT atakuwa "RAIS"
Mradi wa Pwagu na Pwaguzi huo!!
Hivi unakumbuka kuna kuzipeleka hizo fomu Mahakama kuu? Kesho ni Ijumaa, Keshokutwa ni Jumamosi (hatufanyi kazi), Keshokeshokutwa ni Jumapili (hatufanyi kazi) muda utakuwa umeisha. NEC kuturudishia hizo fomu itakuwa Jumatatu (muda umeisha) hatupokei hizo fomu. Huu ni mradi wa kufanywa na mataahira tu!! Ila kitu kizuri kwa huyu mama atakuwa amepata uthibitisho wa kuwaonesha wajukuu zake kwamba alikuwaga na nia ya kugombea u-Rais mwaka 2015!
Kwa hiyo ulitaka asimame nani?
kwamba huyu ndio anakuwa mwanamke wa kwanza kugombea urais ni uongo , mbona Anna senkoro aliwahi kugombea APPT - maendeleo ? ( kama niko sahihi )Wasaalam wanaJF,
Leo saa kumi kamili jioni kile chama mwana ACT-Wazalendo kitakuwa na mkutano wa kuweka msimamo wa kuthibisha wagombea wao wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar.
===============
Update:
Wamsimamishe seleman msindi
kwamba huyu ndio anakuwa mwanamke wa kwanza kugombea urais ni uongo , mbona Anna senkoro aliwahi kugombea APPT - maendeleo ? ( kama niko sahihi )

wewe mtoto wewe, fanya utafiti kabla hujaandika. mwanamke wa kwanza akigombea urais Tanzania mwaka 2005. huyo sio mwingine ni Anna Senkoro.Wasaalam wanaJF,
Leo saa kumi kamili jioni kile chama mwana ACT-Wazalendo kitakuwa na mkutano wa kuweka msimamo wa kuthibisha wagombea wao wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar.
===============
Update:
hili ni tatizo la kukurupuka kwenye siasa...pia ni tatizo la kuwa na wanasiasa vijana wasio na historia njema ya taifa lao.
wewe mtoto wewe, fanya utafiti kabla hujaandika. mwanamke wa kwanza akigombea urais Tanzania mwaka 2005. huyo sio mwingine ni Anna Senkoro.