Mkutano wa ACT - Wazalendo kuhusu Mgombea Urais, Prof Anna Mghwira kuwa mgombea

ACT si chama cha kukurupuka wala kuropoka mgombea atafahamika leo kesho utayapata ktk magazeti mkuu ila anafahamika kwani kuna thread hum imesha anzishwa japo alie anzisha amekosea muda bado

ni kweli hamna tabia ya kukurupuka ndiomaana mlienda kumchukulia form mtu ambaye hataki kuwania nafasi hiyo.
 
Mimi sio mwanasiasa na sipendi siasa maana siasa za Tanzania ziko bias sana Viongozi hawaongozwi na dhamira. bBy the way Jibu hoja kulikokuni attack mimi binafsi: "Kwa nini vyama vya Upinzani vinapenda sana kukumbatia makapi kutoka CCM tena wananchi wakiwa wamewachoka? Mbona Viongozi bora wa Upinzani hawajatoka kwenye makapi ya CCM mfano; Mnyika, Tundulissu, Mdee, Zitto Kabwe, Kafulila n.k

Kwahiyo ccm siyo chama cha siasa?Arfi alipokelewa na nani kama siyo ccm?na unajua alitokea chama gani? au alitoka mbinguni? hivi upo Tanzania hii au China?
 
ACT si chama cha kukurupuka wala kuropoka mgombea atafahamika leo kesho utayapata ktk magazeti mkuu ila anafahamika kwani kuna thread hum imesha anzishwa japo alie anzisha amekosea muda bado

Tunahitaji updates wacha porojo kama kimenuka tuelewe maana act ni zaidi ya pwagu na pwaguzi
 
Kwahiyo ccm siyo chama cha siasa?Arfi alipokelewa na nani kama siyo ccm?na unajua alitokea chama gani? au alitoka mbinguni? hivi upo Tanzania hii au China?

Nasikitika Mmawia umeshindwa kunielewa Watanzania wengi hawaipendi CCM KUBALI AU UKATAE. Wanapokosea CCM vyama vya upinzani ndio pakuchukua credit na sio kufanya makosa yaleyale ya CCM. kWA Mfano ulioutoa Arfi hajapewa nafasi ya kugombea Ubunge kwa tiketi ya ccm kapokelewa kaenda KURA za maoni kapihwa chini. Je CCM wamemsimamisha kugombea Ubunge? wakati CDM walioshindwa kwenye kura za maoni wamepitishwa kugombea huku wakiwa makapi ya ccm kama Bulaya, Mwingine Jimbo la Sikonge, Njeru kasaka na mwingine hakushiriki hata kura za maoni Msindai kateuliwa kugombea jimbo la Singida Mjini we huoni hayo makosa?
 
Vita iliyo mbele yetu ni kuiondoa ccm madarakani kwa aina yoyote ya askari na silaa,awe mgambo au sungusungu haijalishi
 
vita iliyo mbele yetu ni kuiondoa ccm madarakani kwa aina yoyote ya askari na silaa,awe mgambo au sungusungu haijalishi

lakini fisadi hakubaliki ni kirusi hatari sana ubunge, udiwani kama kawa cdm/ukawa ila uraisi no
 
Vita iliyo mbele yetu ni kuiondoa ccm madarakani kwa aina yoyote ya askari na silaa,awe mgambo au sungusungu haijalishi

Unaongea porojo tu na wala huna hoja.
CDM mmechemka, Bulaya pamoja na kuhonga kwenye kura ya maoni huko Bunda aliambulia nafasi ya 4, na sasa kateuliwa kuwa mgombea.

Pata picha siku Bulaya anapokelewa - akihama ccm kwenda cdm watu walikuwa kiasi chake pale stand ya zamani Bunda ila siku anachukua form ya ubunge wapambe wote wa Bunda walimuacha peke yake anajikongoja.
Hio ni ishara kuwa CDM Bunda wamerudi kwa Babu Wasira, utaniambia.
 
Bulaya bado kuapishwa tu
 
Back
Top Bottom