Mkutano wa ACT - Wazalendo kuhusu Mgombea Urais, Prof Anna Mghwira kuwa mgombea

babatovu

JF-Expert Member
May 5, 2014
2,745
2,000
Wasaalam wanaJF,

Leo saa kumi kamili jioni kile chama mwana ACT-Wazalendo kitakuwa na mkutano wa kuweka msimamo wa kuthibisha wagombea wao wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar.

===============

Update:
Chama cha Upinzani cha ACT-Wazalendo kupitia Prof. Kitila Mkumbo kimemtangaza Mwenyekiti wake Mama Anna Elisha Mghwira kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kwa tiketi ya chama hicho katika mkutano mkuu unaoendelea jioni hii, huku mgombea mwenza akiwa ni Hamad Mussa Yusuph, mzawa wa Visiwani Zanzibar.

ACT-Wazalendo kinakuwa ni chama cha kwanza nchini Tanzania kusimamisha mgombea urais mwanamke katika historia ya siasa.

babatovu

JF-Expert Member
May 5, 2014
2,745
2,000
hivi kumthibitisha mwigamba kugombea urais ni habari kweli ?

Binafsi naona hiyo nafasi wangeiacha wazi kwanza mpaka suprime leader afikishe umri unaotakiwa kikatiba. Kumuweka Mwigamba ni sawa na kukipoteza kabisa chama kwenye ramani ya siasa za Bongo.
 
Noncommited

JF-Expert Member
Jun 22, 2012
1,125
1,500
Profesa Kitila kawatosa magazeti ya leo yameandika ni Kigogo kutoka CCM. Yale yale ya CHADEMA hivi leo hakuna watanzania wasiokuwa mafisadi ya ccm wenye uwezo na sifa za wa kuogmbea? Kama hamna basi ccm iendelee lee tu kututesa maana hamna namna vyama vyote ni matatizo tu sijui Tanzania tumerogwa na nani tunashindwa hata ku-copy na kupaste siasa za mbele. Kazi yetu ku-copy ya kukaa uchi na Mlegezo.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
95,840

Kwanini husinge kwenda wewe ukagombee urais ndani ya act?
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,296

Mwigamba ni kigogo wa CCM?
 
MOTOCHINI

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
25,955
2,000
tupe updates za taarifa mnayoitoa kuhusiana na mgombea urais wenu
ACT si chama cha kukurupuka wala kuropoka mgombea atafahamika leo kesho utayapata ktk magazeti mkuu ila anafahamika kwani kuna thread hum imesha anzishwa japo alie anzisha amekosea muda bado
 
Noncommited

JF-Expert Member
Jun 22, 2012
1,125
1,500
Mwigamba ni kigogo wa CCM?

Nimesema kuna gazeti limeripoti, nimesikia kipindi cha kutoka magazetini Radio Free Afrika bahati mbaya sijasikia jina. Ila Samsoni Mwigamba si alipitishwa kugombea Ubunge Ubungo? kabadilishiwa gia angani?
 
Noncommited

JF-Expert Member
Jun 22, 2012
1,125
1,500
Kwanini husinge kwenda wewe ukagombee urais ndani ya act?

Mimi sio mwanasiasa na sipendi siasa maana siasa za Tanzania ziko bias sana Viongozi hawaongozwi na dhamira. bBy the way Jibu hoja kulikokuni attack mimi binafsi: "Kwa nini vyama vya Upinzani vinapenda sana kukumbatia makapi kutoka CCM tena wananchi wakiwa wamewachoka? Mbona Viongozi bora wa Upinzani hawajatoka kwenye makapi ya CCM mfano; Mnyika, Tundulissu, Mdee, Zitto Kabwe, Kafulila n.k
 
MOTOCHINI

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
25,955
2,000
Cdm ndio kimbilio la kila mtanzania,ukikataa kujiunga cdm basi wewe ni chumia tumbo
Sikweli wanao kimbilia cdm hasa ni aina 2 moja wasaka tonge, pili vichaa fuata mkumbo hata umuulize kubwa nini cdm hajui makelele kama kichaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom