Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC: Watanzania hawataki mtu atakayeuza madini yao kwa wageni nje

watawala wameshapanic sana, Magu keshalegea kulegea sana, Bashiru anawatisha tu wanaCCM, PolePole anavurumisha matusi, Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi ameingia kupiga kampeni
Lissu kamatia hapo hapo, endelea kupiga spana tu.
 
Bora huyu tobo Lissu akalishwe na aonywe. Tunataka sera sio matusi nakashfa.
Amevumiliwa sana mpuuzi huyu! Km vp arudishwe kwao ubelgiji.
Mijitu ya chadema km imekatwa vichwa yanataka kuuzwa yenyewe yanakenua tu.
Unabambiwa ww
 
Huo Moto wa Kanda ya ziwa si wa kitoto aise ngoja tuone kipindi cha pili Sasa, CCM wamepoteana na tume yao. Hoja za kitoto kabisa eti wataiba madini yao zero kabisa huyu kibraka ana elimu gani reasoning yake ipo down Sana.
You are right brother. His reasoning capacity is very close to zero.
 
kama ilivyo hali halisi inavyojionyesha nchini tanzania katiba ni ya ccm watawala ni ccm wateuliwa wote ni ccm sasa serikali inaposema uchaguzi huru hamuoni kabisa ni kudanganyana .

nianze kwa kusema kuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ni mwanaccm kindakindaki na hata uteuzi wake unajulikana kwa viongozi wote ni mtu wao kabisa hivi kwa style hii mtu ambaye tiyari mwanachama utegemee atoe haki ipi kwa watanzanzania zaidi ya kuegemea upande uliomteua

ameshakua hadi mkuregenzi kupitia uteuzi wa ccm atoe haki kwa vyama vingine ,hivi watanzania kwanini tusiamke tudai katiba mpya ambayo itaondoa huu mfumo unaonyima haki wananchi.?

kwa kauli za huyu mkt wa nec haoni kuwa kusema mgombea mwingine akipewa urais atauza madini kwa wazungu inamwondolea hata sifa ya kuwa mwenyekiti maana yeye tiyari ameshakuwa na mtu wake
pili kauli za kutoka kwa wateule wake kuwa wanadola kutoka madarakani ni uzembe haoni kuwa wangemwita na kumwajibisha aliesema kwa nafasi yake aliyonayo.
mgombea wa ccm kusema maneno hadharani kuwa hakujenga miundo mbini mahala kwa sababu walichagua asiye wa ccm haoni kuwa ni dhahiri shahiri ni kosa kubwa la kukemea
mwisho naona huo uteuzi utamharibia heshima na dhihaka mbele ya umma wa watanzania na lawama kubwa maishani mwake ni mtego mbaya sana katika maisha bora hata angekuwa na umri unaoishia
 
Zero brain
kusema kwamba mgombea inabidi atetee rasilimali za nchi na awe mzalendo sio kua neutral? Kwamba kwa kusema hivyo basi wanampigia kampeni mgombea wa CCM? Ukiona mtu ana react kwenye hili ujue mgombea wake sio mzalendo wala mtetea rasilimali za nchi.
 
Yaani mkurugenzi mzima wa NEC haoni hata aibu kuonesha mahaba kwa CCM na hapo hapo kuonesha chuki zake dhidi ya Lissu.

Tume ya uchaguzi haina mamlaka wala wajibu wa kuwapangia wagombea watoa sera gani au kutusemea sisi watanzania tunataka nini kutokea kwa wagombea. Waache wagombea waseme yao na watuache sisi wananchi tuwasilikize, mwisho tutaamua. Pilipili iko shambani yawawashia nini?
Lambda bado wanaamini kuwa wananzania ni wajinga.
 
Yani mnatetea mtu anaetaka kuweka rehani ardhi yetu? Unajidai upo deep kumbe umejaza manyoya tu kichwani. Mkiona hamuwezi kuisapoti CCM bora mkae kimya kuliko kutetea uovu.
Shule yako itakua ndogo au laa hauna ufahamu WA kutosha🤣😂,,Hebu jiulize sasa hivi Mgodi wa Bulyanghulu anachimba baba ako?. North mara Anachimba Bibi yako?.. hiyo. vita ya wakulima na wafugaji ambayo inasababishwa na ardhi KUBWA ambayo ni productive kuhoziwa na watu imesababishwa na Nani?..Ardhi ishapigwa bei kitambo ,,,,ACHA WOGA na kukaririshwa tumia hilo bichwa KUBWA ulopewa kufikiri
 
Kwa kweli huyu mkurugenzi hakupaswa kuongea hayo maneno,hapaswi kuwapangia wagombea maneno ya kuongea kwenye kampeni zao,Mi sina chama ila nimemshangaa sana huyu.there is no integrity in this NEC man,He can not be trusted anymore, style up Mr mahera you will burn this peaceful loved Nation just for the sake of temporal worldly material,"maendeleo hayana chama"
 
Mahera anasoma huku akitetemeka why mwanaume unakuwa dhaifu hivyo, kutumika hovyo hovyo na mwanaume mwenzako.
 
Kati ya wakurugenzi wa tume ya uchaguzi niliowafahamu (Kiravu, Kailima na huyu), kwa mujibu wa katiba, naona huyu hajakidhi vigezo kabisa kwani ameegemea upande wa CCM wazi wazi kwa kunadi ilani ya CCM. Pia, hiki ni kiashiria na ushahidi kuwa tume sio huru.
 
Tunaposema Lissu ni hatari ndio muelewe. Mkurugenzi wa uchaguzi kachanganyikiwa na kuanza kunadi sera kama kichaa. Sasa kama kibaraka hofu yake ni dhahiri namna hii ‘bosi’ wake ana hali gani?

Hii sio aibu, ni fedheha!

Halafu iweje atusemee watanzania wakati sisi ndio tuna mamlaka ya kusema tutakacho kupitia sanduku la kura? Wakiambiwa tume sio huru hawaelewi.
 
BARRICK, ACCACIA, TANZANITE ONE, WILLIAMSON DIAMOND ni WACHAGGA EEH, nyie endeleeni kufanya watu misukule kwa kuwanyima elimu.

Mnawafanya misukule kama ya Gwajima.

Hapa ndani nani ananunua mdini?
Ile mikataba uliyoingia kuhusu kusafirisha makinikia yalikuwa yanapelekwa Chato na Koromije?
 
Nipende kuchukua fursa hii kumpongeza Mwenyekiti Nec.
miaka hii watanzania wnahitaji kuona aliyefanya vitu vitavyowasaidia kwenye maisha ya kila siku.
hatutak agents
 
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, amesema watanzania wanataka Afya iliyoimarika, barabara nzuri, miradi ya umeme, elimu bora hawataki blah! Blah!

Amesema watanzania hawataki viongozi watakaochukua madini yao na kwenda kuyauza kwa wageni nje, watanzania wanataka viongozi watakaotetea madini yao

Ameyasema hayo alipokuwa anazungumza kumuandikia barua Tundu Lissu ili kutoa maelezo dhidi ya tuhuma za uongo anazotuhumiwa kuzitoa

Amesema Tundu Lissu amekuwa akitangaza matusi, tuhuma na kudanganya wafanyakazi badala ya kutangaza sera


==
YALIYOZUNGUMZWA KWENYE VIDEO YA MKURUGENZI WA UCHAGUZI NEC

Kwa mamlaka ya kisheria Tume iliyonayo, tayari imemuandikia Barua Mh. Tundu Lissu ya kumuita katika Kamati ya Maadili ya Kitaifa ili aje kutoa maelezo na ushahidi wa kile alichokisema katika mkutano wake huko Musoma.

Kwa mara nyengine tena Tume inawasihi Wagombea wa Vyama vyote kufuata sheria, kanuni na taratibu za nchi ili kulinda amani ya nchi yetu, katika kipindi cha kampeni kilichobaki kwa kujali muda wa kampeni, ratiba za kampeni na kuepuka matusi, sababu unatumia muda mwingi kutangaza matusi badala ya kutangaza sera, unatumia muda mwingi kutangaza tuhuma badala ya kutangaza sera, unatumia muda mwingi kuwadanganya Watanzania na wafanyakazi badala ya kutangaza sera.

Watanzania sasa hivi wanataka Afya iliyoimarika, Watanzania sasa hivi wanataka barabara nzuri, Watanzania sasa hivi wanataka miradi ya umeme, Watanzania sasa hivi wanataka elimu bora, Watanzania hawataki bra bra. Watanzania sasa hivi wanataka viongozi ambao watalinda madini yao, sio viongozi watakaokuja kuchukua madini yao na kupeleka kwa wageni nje.
Mkurugenzi wa NEC na madin kwan vnahusianaje ameanza kujxahau ameanza kunadi wagombea......... watanzania tumeamka kwaz kwao
 
Back
Top Bottom