Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC: Watanzania hawataki mtu atakayeuza madini yao kwa wageni nje

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, amesema watanzania wanataka Afya iliyoimarika, barabara nzuri, miradi ya umeme, elimu bora hawataki blah! Blah!

Amesema watanzania hawataki viongozi watakaochukua madini yao na kwenda kuyauza kwa wageni nje, watanzania wanataka viongozi watakaotetea madini yao

Ameyasema hayo alipokuwa anazungumza kumuandikia barua Tundu Lissu ili kutoa maelezo dhidi ya tuhuma za uongo anazotuhumiwa kuzitoa

Amesema Tundu Lissu amekuwa akitangaza matusi, tuhuma na kudanganya wafanyakazi badala ya kutangaza sera


==
YALIYOZUNGUMZWA KWENYE VIDEO YA MKURUGENZI WA UCHAGUZI NEC

Kwa mamlaka ya kisheria Tume iliyonayo, tayari imemuandikia Barua Mh. Tundu Lissu ya kumuita katika Kamati ya Maadili ya Kitaifa ili aje kutoa maelezo na ushahidi wa kile alichokisema katika mkutano wake huko Musoma.

Kwa mara nyengine tena Tume inawasihi Wagombea wa Vyama vyote kufuata sheria, kanuni na taratibu za nchi ili kulinda amani ya nchi yetu, katika kipindi cha kampeni kilichobaki kwa kujali muda wa kampeni, ratiba za kampeni na kuepuka matusi, sababu unatumia muda mwingi kutangaza matusi badala ya kutangaza sera, unatumia muda mwingi kutangaza tuhuma badala ya kutangaza sera, unatumia muda mwingi kuwadanganya Watanzania na wafanyakazi badala ya kutangaza sera.

Watanzania sasa hivi wanataka Afya iliyoimarika, Watanzania sasa hivi wanataka barabara nzuri, Watanzania sasa hivi wanataka miradi ya umeme, Watanzania sasa hivi wanataka elimu bora, Watanzania hawataki bra bra. Watanzania sasa hivi wanataka viongozi ambao watalinda madini yao, sio viongozi watakaokuja kuchukua madini yao na kupeleka kwa wageni nje.
Dr Mahera usisahau kuwa wewe ni refa na mwamuzi. Wewe siyo kuwasemea wapiga kura wanachokitaka au siyo wewe unayeshauri vyama vya siasa viwe na sera zipi?
 
Shule yako itakua ndogo au laa hauna ufahamu WA kutosha🤣😂,,Hebu jiulize sasa hivi Mgodi wa Bulyanghulu anachimba baba ako?. North mara Anachimba Bibi yako?.. hiyo. vita ya wakulima na wafugaji ambayo inasababishwa na ardhi KUBWA ambayo ni productive kuhoziwa na watu imesababishwa na Nani?..Ardhi ishapigwa bei kitambo ,,,,ACHA WOGA na kukaririshwa tumia hilo bichwa KUBWA ulopewa kufikiri
sheria kuu ya ardhi ya Tanzania inasema ardhi yote inamilikiwa na serikali ya jamhuri. Kuongezea hapo mtu anaeweza kumiliki ardhi nchini lazima awe mtanzania, anachotaka kufanya huyo bwana ni kuibadilisha sera hii na kuruhusu wageni kuwa na uhalali wa kumiliki ardhi na hili lipo kuanzia kwenye ilani ya CDM ya 2010. Hao wachimbaji wadogo ni raia wa nchi gani? Ni kama ambavyo total amewekeza kwenye mafuta lakini mmiliki wa mafuta ni mganda.
 
Kwani sasa hayo madini yanauzwa wapi ?
Wamunuzi na wachimbaji ni Mabeberu.
Wawe wa magharibi au machina.
Kuna siku Zimbabwe au cuba kaja kununua ?
Ujinga wa huyu Mahare ni kiwango cha udaktari wake feki.
 
Mkurugenzi waTume ya uchaguzi hawezi kutusemea watanzania, eti Watanzania hawamtaki mtu atakayeuza madini yetu nje...... alikutana wapi na hao Watanzania?

Unajua nini?
Hapa ndipo inapo dhihirisha kuwa hii siyo Tume Huru ya Uchaguzi. Mkurugenzi huyu yuko pale kumfanyia Kampeni Magufuli na Chama chao CCM....nothing else!!
 
Bora huyu tobo Lissu akalishwe na aonywe. Tunataka sera sio matusi nakashfa.
Amevumiliwa sana mpuuzi huyu! Km vp arudishwe kwao ubelgiji.
Mijitu ya chadema km imekatwa vichwa yanataka kuuzwa yenyewe yanakenua tu.
We pimbi, hiko kikundi chenu ni kidogo mno. Usijisahau.
Bila wizi TAL ndo Rais wako
 
Back
Top Bottom