Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC: Watanzania hawataki mtu atakayeuza madini yao kwa wageni nje

Isingekuwa video nisingeamini alichosema lakini pamoja na video bado kama siamini, ila kwa ukweli kabisa sote tunajuwa yeye ni nani na mapenzi yake yako wapi ila kwa hili kakosea sana alitakiwa ajiuzulu haraka anaweza kutuletea msiba katika nchi hii ni kauli hatari sana.

Naomba tu uchaguzi upite kwa amani ila mabadiliko ni lazima. Tukiwa na mfumo huru hii italeta changamoto kwa watawala kufanya juhudi kuwatumikia wananchi ili maendeleo tupate kama taifa badala ya kikundi fulani kuona wana madaraka juu ya wengine.

Siku zote tunasema ilituwe na ligi bora ni kuwa na marefa bora haki itendeke na kuwa na nchi bora ni kuwa na haki katika maamuzi ya wananchi hapo ndio tutaona ushindani wa kimaendeleo.
 
Mzee Meko pumzi ndogo, ameshashindwa kuchana freestyles kwenye beats za Lissu mpaka anasaidiwa na tume live bila kificho maskini CCM inatia huruma na aibu ya karne...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amesema wapi kuwa anataka kuweka Ardhi rehani? Ndio mlivyoshikwa akili na makalio hadi NEC kujichanganya kiasi hiki.
AIBU!
Hata kama kasema sawa tu wananchi wataamua si sera zake ila sio yeye kuja kuwasemea watu.
 
Should resign maana tayari kaonyesha dhahili kwamba ni CCM na anatete chama tawala cha mteule wake anaye MPA ugali. Maana Si kwa kumfanyia kampeni hivi ya waziwazi.

LISSU KAWASHIKA PABAYA SANA HATA TUME YENYEWE INA WEWESEKA NA KUANZA KUJIONYESHA MASIMAMO WAKE WAZIWAZI.
 
Utumwa ni kazi sana.
October watz wameamua kulitumbua jiwe na kulisagasaga kulitupa ziwani na mafrustion yake ili lisitese Tena watu.Maana kwa hasira hizi Safari hii Kanda ya ziwa mjiandae kubomolewa nyumba zenu Nani amekuambieni mjae kwa Lisu salama pekee pigieni kura ya hapana kubwa la sivyo atawashulikieni keshaapa msipomchagulia awatakao mmekwishaa.
 
Yani mnatetea mtu anaetaka kuweka rehani ardhi yetu? Unajidai upo deep kumbe umejaza manyoya tu kichwani. Mkiona hamuwezi kuisapoti CCM bora mkae kimya kuliko kutetea uovu.
mkuu unaweza kutuambia ni ukurasa wa ngapi wa ilani unaosema wataweka rehani ardhi? au umemsikia polepole akisema na ulivyokuwa zuzu na wewe ukalichukua lilivyo bila kushirikisha halmashauri ya kichwa chako?
 
Nadhani kuna haja ya kuitisha maandamano ya amani kumtaka huyu mtu ajiuzulu. Sijui alikuwa anawaza nini! Jaji Kaijage Semistocles alishiriki katika kuandaa hiyo press release kweli? Mbona ni fedheha kubwa kwa tume? Nini kimemtokea huyu mtu?

Hili sio la kuachwa lipite hivi hivi. Huyu lazima aondoke! Lazima kelele ipigwe aondoke huyu! Hama tena miral authority ya kuwa mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa sababu ameonesha upendeleo wa waziwazi bila aibu! Aondoke huyu. Ameiabisha Tume na nchi kwa ujumla. Watanzania tutaonekana mburula, mapoyoyo kama huyu ataachwa aendelee kibaki kuwa mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi!

Kampeni ya kumwondoa ianze sasa kwa kutumia njia zote! La sivyo ataliingiza Taifa kweny matatizo!

#Maheramustgo#
 
Should resign maana tayari kaonyesha dhahili kwamba ni CCM na anatete chama tawala cha mteule wake anaye MPA ugali. Maana Si kwa kumfanyia kampeni hivi ya waziwazi.

LISSU KAWASHIKA PABAYA SANA HATA TUME YENYEWE INA WEWESEKA NA KUANZA KUJIONYESHA MASIMAMO WAKE WAZIWAZI.
Huyu inabidi aachie ngazi. Anafanyaje kampeni wakati yeye ni msimamizi wa sheria na kanuni za uchaguzi
 
Yani mnatetea mtu anaetaka kuweka rehani ardhi yetu? Unajidai upo deep kumbe umejaza manyoya tu kichwani. Mkiona hamuwezi kuisapoti CCM bora mkae kimya kuliko kutetea uovu.
Duuh!

Aahaa! Kumbe jana ilikuwa jumapili, ndiyo maana bado mambo fulani yako kwa mkichwa. Siyo kwa upupu huu!

Yaani kama hatuwezi kuisapoti CCM kama mkurugenzi wa NEC alivyofanya tukae kimya?

Utasubiri sana, tutakaa kimya tukifa.
 
Ndo tunaona picha halisi ya ccm na wateule wake wote. Suluhu nikuwatoa maana hata katiba mpya kwa sasa hawaitaki wanataka kufurahi na madara makubwa ambayo katiba inawapa.

Kama kina Kabudi na Polepole waingia ccm na kukaa kimya wakati awali walikua mstari wambele kupigania HAKI ya upatikanaji wa katiba mpya.

Wote wawili Magu akawaona vihele akawaweja ndani ya chama chake nakuwaziba midomo wasiongelee tena swala la katiba mpya.
Leo nikama hawa sikii wala hawaoni kilio cha watanzamia kuhusu katiba mpya baada yakutumia mabilioni ya walipa kodi. Yaani wametulia nakua watete wakubwa wa ccm a uongozi wake, kisa na wao ni wanufaika wakubwa.

KAMA NI UONEVU CCM NI CHAMA KINACHOONEA WANANCHI SANA.

SUBIRINI MUONE WATAVYO RUDISHA HELA ZA WAMACHINGA
 
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, amesema watanzania wanataka Afya iliyoimarika, barabara nzuri, miradi ya umeme, elimu bora hawataki blah! Blah!
Mkurugenzi weka ratiba yako ya kampeni tuje tukusikilize na wewe ulivyokuja kuongeza nguvu baada ya mwenyewe kuona jahazi linazama akaamua kuongeza majeshi ya akiba kutokea bench 🤣🤣🤣
 
Msukuma mwenzake huyo mahela
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, amesema watanzania wanataka Afya iliyoimarika, barabara nzuri, miradi ya umeme, elimu bora hawataki blah! Blah!

Amesema watanzania hawataki viongozi watakaochukua madini yao na kwenda kuyauza kwa wageni nje, watanzania wanataka viongozi watakaotetea madini yao...

Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom