Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Mkuu ubaguzi hautakuacha salama maishani mwako sisi ni watanzania Maendeleo ya Kilimanjaro ndio Maendeleo ya watanzania,
Umaskini wa Lindi ni umaskini wa Tanzania.
Nyie ndio maana raisi hata toka kwenu never

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaona wivu Kilimanjaro kuwa na shule nyingi? Umeambiwa asilimia 60 ni za private? Kwanini kwenu msijenge wenyewe? Pia tambua hata wanafunzi wanaosoma Kilimanjaro wanatika mikoa mingine pia. Pia tambua mkoa wa Kilimajaro sio mkubwa kama mikoa mingine kwa hiyo tukipewa km 100 za lami zina cover sehemu nyingi tofauti na mbeya au Mwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 1994 Kilimanjaro ilikuwa na shule za sekondari 104 ,dar zilikuwepo 10, barabara ya lami ya kwenda machame ilijengwa miaka ya sabini, lakini hadi sasa hivi kutoka tabora kwenda katavi barabara haina lami.

Project ya maji ya kutoka machame ni kubwa ina uwezo wa kusambaza maji hadi Jimbo la Simanjiro ambaye mbunge wake alikuwa ccm na ambaye sasa ni mkuu wa mkoa wa Njombe lakini aliogopa kuomba kuunganishiwa maji kwa kuona aibu kuwa atampaisha Mbowe,hivyo akaacha wananchi wake wateseke.

Ukiacha biashara ya kuunga mkono juhudi za rais, mkoa mzima ulikuwa na mbunge mmoja tu wa ccm. (Nayo ilitokana na cuf na chadema kuweka wagombea ila idadi yao ya kura ilizidi zile za ccm ).

Ni mkoa pekee ambao baada ya shughuli za mwaka mzima, wenyeji wake wengi hurudi kwao kusalimia ndugu,jamaa na marafiki katika sikukuu za mwisho wa mwaka.

Ni mkoa ambao una mlima mrefu wa volkano kuliko yote duniani.

Wenyeji wa mkoa huu ni wachaga,wapare na wamasai.

MUNGU IBARIKI KILIMANJARO

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa mungu ibariki Kilimanjaro ina maana sisi tunaoshi nje ya Kilimanjaro hatufai kubarikiwa sasa ni hivi, huu uzi unawahusu wana Kilimanjaro me nafanya kupita[emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asanteee kwa kutoa ushuhuda wengi wana wivu wenyewe kwa wenyewe ndio maana wanazidi kubaki maskini
instanbul

Yes ni kweli

Niiongeze pia Kilimanjaro ina hospital nyingi na bora sana sana hata kushinda Arusha ,,Pia hospital za Kilimanjaro zinabeba wagonjwa wanatoka Arusha na Kenya maeneo ya Taveta mpaka Voi .Hakuna mgonjwa anayetoka Moshi kwenda kutibiwa Arusha ,ila wa Arusha wanakuja kutibiwa Moshi hasa hasa KCMC

Baadhi ya hospital ni hizo hapo chini zina huduma nzur za (mortuary, X-ray ,ultrasound ,malazi, madaktari wa kutosha, dawa na pia zinafika kiurahisi )
1.Huruma hospital (rombo )
2. Marangu hospital ,kitemboni (Moshi vijini
3. Kilema Hospital (Moshi vijini )
4. Mawenz hospital (Moshi mjini )
5 . KCMC (Moshi mjini )
6. Kibosho hospital

Hizo ni baadhi ya hospital tu

Jambo lingine ,,kwenye usafiri wa ndani ya mkoa tuko nyuma kidogo ukilinganisha na mkoa kama Mbeya ambao usafiri wa mjini Costa znatumika zaid ya haice ,,Moshi kiukweli vi-haice ni vingi sana ,Noah .Kwenda marangu ,machame ,rombo,holili na sehemu nyingine kunatakiwa kuwe na usafiri wa Costa sio haice

Nawapa Hongera sana Mbeya kwenye usafir wa ndani ya mjini wako vizuri pia hata usafiri wa kwenda Tunduma ,Tukuyu ,Kyela Mbaruku ni Costa hamna haice , Arusha na Dodoma hazijafikia ubora wa usafiri wa Mbeya mjini (kila sehemu nimeishi zaid ya miaka mitano naongea nachokijua ).
 
Mkuu unaona wivu Kilimanjaro kuwa na shule nyingi? Umeambiwa asilimia 60 ni za private? Kwanini kwenu msijenge wenyewe? Pia tambua hata wanafunzi wanaosoma Kilimanjaro wanatika mikoa mingine pia. Pia tambua mkoa wa Kilimajaro sio mkubwa kama mikoa mingine kwa hiyo tukipewa km 100 za lami zina cover sehemu nyingi tofauti na mbeya au Mwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
wacha wapasuke kwa wivu, mikoa yao mikuubwa wanashindwa kuiendeleza wanakuja hapa kutoa povu wapuuz
 
Mwanga imeendelea kuliko Chato.
Unafahamu kuwa ukitoka Mwanga kwenda Usangi barabara yake ni ya Lami? Ndani ya wilaya...
Na Mkoa wa Mwanza na Geita bado hazijaunganishwa kwa Lami.
Tembea usizungumze vitu kama mtu aliefufuka hivi leo baada ya kufa mingi iliopita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanga imeendelea kuliko Chato.
Unafahamu kuwa ukitoka Mwanga kwenda Usangi barabara yake ni ya Lami? Ndani ya wilaya...
Na Mkoa wa Mwanza na Geita bado hazijaunganishwa kwa Lami.
Rami inaanza mkoa wa mara hadi mwanza, mwanza hadi geita, geita had chato, chato hadi bukoba, bukoba hadi mtukura, sasa unawezaje kuwa na ujasiri wa kuzungumza pumba kama hizi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes ni kweli

Niiongeze pia Kilimanjaro ina hospital nyingi na bora sana sana hata kushinda Arusha ,,Pia hospital za Kilimanjaro zinabeba wagonjwa wanatoka Arusha na Kenya maeneo ya Taveta mpaka Voi .Hakuna mgonjwa anayetoka Moshi kwenda kutibiwa Arusha ,ila wa Arusha wanakuja kutibiwa Moshi hasa hasa KCMC

Baadhi ya hospital ni hizo hapo chini zina huduma nzur za (mortuary, X-ray ,ultrasound ,malazi, madaktari wa kutosha, dawa na pia zinafika kiurahisi )
1.Huruma hospital (rombo )
2. Marangu hospital ,kitemboni (Moshi vijini
3. Kilema Hospital (Moshi vijini )
4. Mawenz hospital (Moshi mjini )
5 . KCMC (Moshi mjini )
6. Kibosho hospital

Hizo ni baadhi ya hospital tu

Jambo lingine ,,kwenye usafiri wa ndani ya mkoa tuko nyuma kidogo ukilinganisha na mkoa kama Mbeya ambao usafiri wa mjini Costa znatumika zaid ya haice ,,Moshi kiukweli vi-haice ni vingi sana ,Noah .Kwenda marangu ,machame ,rombo,holili na sehemu nyingine kunatakiwa kuwe na usafiri wa Costa sio haice

Nawapa Hongera sana Mbeya kwenye usafir wa ndani ya mjini wako vizuri pia hata usafiri wa kwenda Tunduma ,Tukuyu ,Kyela Mbaruku ni Costa hamna haice , Arusha na Dodoma hazijafikia ubora wa usafiri wa Mbeya mjini (kila sehemu nimeishi zaid ya miaka mitano naongea nachokijua ).
hata mm nimeishi mbeya miaka 10
uyole,nane nane,sae,ilomba,ccm,mama John,Soweto,kabwe, mwanjelwa,mafiati,sinde,iyunga,tazara,nk ni kweli usafir mbeya jiji wameshafuta hiace,moshi Manispaa waige mpango huo haraka maana mapesa moshi ndio kwenyewe hawatashindwa kununua Coster(Rosa) za usafir wa daladala ndan ya Manispaa,ikiwa kampuni za mabasi tz 50% zinamilikiwa na watu wa Kilimanjaro tutashindwaje vi coaster?
ni jukumu la Manispaa kuwa wabunifu
 
Chato ni main road tu ndio lami, mwanga hadi kule vichochoroni usangi,Lomwe kuna lami, Chato vie centre tu ndio vimechangamka include mganza
 
Yes ni kweli

Niiongeze pia Kilimanjaro ina hospital nyingi na bora sana sana hata kushinda Arusha ,,Pia hospital za Kilimanjaro zinabeba wagonjwa wanatoka Arusha na Kenya maeneo ya Taveta mpaka Voi .Hakuna mgonjwa anayetoka Moshi kwenda kutibiwa Arusha ,ila wa Arusha wanakuja kutibiwa Moshi hasa hasa KCMC

Baadhi ya hospital ni hizo hapo chini zina huduma nzur za (mortuary, X-ray ,ultrasound ,malazi, madaktari wa kutosha, dawa na pia zinafika kiurahisi )
1.Huruma hospital (rombo )
2. Marangu hospital ,kitemboni (Moshi vijini
3. Kilema Hospital (Moshi vijini )
4. Mawenz hospital (Moshi mjini )
5 . KCMC (Moshi mjini )
6. Kibosho hospital

Hizo ni baadhi ya hospital tu

Jambo lingine ,,kwenye usafiri wa ndani ya mkoa tuko nyuma kidogo ukilinganisha na mkoa kama Mbeya ambao usafiri wa mjini Costa znatumika zaid ya haice ,,Moshi kiukweli vi-haice ni vingi sana ,Noah .Kwenda marangu ,machame ,rombo,holili na sehemu nyingine kunatakiwa kuwe na usafiri wa Costa sio haice

Nawapa Hongera sana Mbeya kwenye usafir wa ndani ya mjini wako vizuri pia hata usafiri wa kwenda Tunduma ,Tukuyu ,Kyela Mbaruku ni Costa hamna haice , Arusha na Dodoma hazijafikia ubora wa usafiri wa Mbeya mjini (kila sehemu nimeishi zaid ya miaka mitano naongea nachokijua ).
Hamko peke yenu mkoa wa kagera hasa uhayani kuna hospital zifuatazo
1.Ndolage hospital kamachumu
2.Rubya hospital Rubya
3.kagondo hospital kagondo bukoba vijijini
4.Mugana hospital misenyi
5.kajunguti hospital misenyi
6.izimbya hospital bukoba vijijini
7.Government hospital bukoba mjini
8.Nshambya hospital bukoba mjini
9.Rulenge ngara hospital
10. Biharamulo hospital
11.karagwe hospital na nyingine nyingi
Ni kawaida pia mkoa wa kagera kukuta wilaya moja ina hospital tatu mfano muleba 3, bukoba 4,misenyi 2 nk

umesahau na ngoyoni hospital IPO rombo,minja hospital ipo himo nk zote hizo ulizotaja ni hospital binafsi ndio maana Kilimandjaro tumekamilika kimiundombnu kwa 95%
 
Hatuwachafulii Uzi wenu Kama mnavyofanyaga kwa kagera . hongereni na endeleeni na moyo uleule kujisifia mlichonacho sio uongouongo ingekuwa vyema mkaanzisha gallery ya mkoa huu ili kudhibitisha mkisemacho na pia kukuza utalii

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisema nisipokuona kwenye huu Uzi naaga rasmi JF....,

Ila vipi kuhusu matokeo ya form 4 ya 2018 kimkoa...?????
K'njaro na Kagera nani bingwa...????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata mm nimeishi mbeya miaka 10
uyole,nane nane,sae,ilomba,ccm,mama John,Soweto,kabwe, mwanjelwa,mafiati,sinde,iyunga,tazara,nk ni kweli usafir mbeya jiji wameshafuta hiace,moshi Manispaa waige mpango huo haraka maana mapesa moshi ndio kwenyewe hawatashindwa kununua Coster(Rosa) za usafir wa daladala ndan ya Manispaa,ikiwa kampuni za mabasi tz 50% zinamilikiwa na watu wa Kilimanjaro tutashindwaje vi coaster?
ni jukumu la Manispaa kuwa wabunifu
Mbona hata bukoba coster zipo tena za wilayani mfano kutoka bukoba Hadi mtukula, bukoba kayanga,na bukoba biharamulo,na nyakanazi,.ingawa na daladala zipo bado tena nyingi . imagine kamachumu Tu bukoba kuna Zaid ya daladala 50

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata mm nimeishi mbeya miaka 10
uyole,nane nane,sae,ilomba,ccm,mama John,Soweto,kabwe, mwanjelwa,mafiati,sinde,iyunga,tazara,nk ni kweli usafir mbeya jiji wameshafuta hiace,moshi Manispaa waige mpango huo haraka maana mapesa moshi ndio kwenyewe hawatashindwa kununua Coster(Rosa) za usafir wa daladala ndan ya Manispaa,ikiwa kampuni za mabasi tz 50% zinamilikiwa na watu wa Kilimanjaro tutashindwaje vi coaster?
ni jukumu la Manispaa kuwa wabunifu

Mkuu bado usafiri wa haice upo upo pale Mbeya lakini nadhani hawatoi vibali tena ,na usafiri wa haice mwingi upo Mwanjelwa kwenda Tazara na sinai

Ni vizuri sana na halmashauri ya moshi ikaiga huu utaratibu wa Mbeya jiji

Nimefurahi sana tukijadili pia na udhaifu wetu ili watu wa mmamlaka husika kama wanasoma huku JF watapata mawazo ya wadau

Pia ubora wa nyumba za kwetu Moshi vijijini ni mzuri sana sana tofauti na sehemu nyingi Tanzania kwa wilaya ya Rungwe Mbeya nako wana makazi bora sana kama ilivo Moshi vijini sio haba (Hongeren sana Wanyaki ), ila washaurini wenzenu wasafwa na Wandali vitu mbalimbali katika maisha.
 
Nilisema nisipokuona kwenye huu Uzi naaga rasmi JF....,

Ila vipi kuhusu matokeo ya form 4 ya 2018 kimkoa...?????
K'njaro na Kagera nani bingwa...????

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka huu mkoa umekuwa wa nane,lakini wilaya ya bukoba imekuwa ya pili kitaifa,zero ni chache kulinganisha na Kilimanjaro na pia teni best wahaya ni watano.haya the most intelligent people in Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamko peke yenu mkoa wa kagera hasa uhayani kuna hospital zifuatazo
1.Ndolage hospital kamachumu
2.Rubya hospital Rubya
3.kagondo hospital kagondo bukoba vijijini
4.Mugana hospital misenyi
5.kajunguti hospital misenyi
6.izimbya hospital bukoba vijijini
7.Government hospital bukoba mjini
8.Nshambya hospital bukoba mjini
9.Rulenge ngara hospital
10. Biharamulo hospital
11.karagwe hospital na nyingine nyingi
Ni kawaida pia mkoa wa kagera kukuta wilaya moja ina hospital tatu mfano muleba 3, bukoba 4,misenyi 2 nk

Sent using Jamii Forums mobile app
kumbuka hapo kataja za binafsi tu hajataja za government,wilaya ya Moshi pekee Ina hospitali 6
1-kcmc
2_mawenzi hospital
3_kibosho hospital
4_kilema hospital
5_marangu hospital
6_Minja hospital
ukija rombo zipo 3
huruma hospital
ngoyoni hospital
karume hospital (ya wilaya)
ukija siha zipo 2
siha hospital
kibongoto hospital
ukija hai
zipo 2
machame hospital
 
Hapo hospital ya serikali ni moja Tu hiyo government hospital Tu ya bukoba nyingine ni binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom