Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Natamani na kagera ingekua hivi; kutoka na umashuhuri wa mkoa wao!!

Sent using Jamii Forums mobile app
ni maarufu kwa mbwembwe tu vitendo ni zéro,akiwa na milion 5 atajiita bilionea wakati mchaga milion 5 ni héla ya bia na Wala haongei,kwenye biashara mabilionea wazawa tz ukitoa waarabu ni wachaga kina mengi,panone, précision air,kina David mosha,mbowe nk
wao wana mmoja tu mafuruki
 
hahaha hiyo sio solution mbona wilaya zingine kama kyerwa,karagwe ndio Bush haswa? Pia muleba ni maeneo machache yamechangamka mengi ni maskini wa kutupwa,mfano muleba maeneo mazuri n nshamba,kamachumu,angalau maeneo mengine ni bush hatari Hakuna hata barabara Kuna kata inaitwa ngenge utadhan upo Sudan kusini limkoa limekaa hovyo hovyo ma milima,mapori ni mengi kuliko makaz,same na mwanga zimeizidi Mara 400 kyerwa na karagwe
Tembelea Uzi wa bukoba gallery utazame migheto huko vijijini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachaga waliopata fursa serikalin waliipa kipaumbele ndio maana kunaonekana kuna maendeleo, isingekuwa hivyo ingekuwa kama mikoa mingine tu
akili mufilisi
tz mabilionea wengi wazawa ni wachaga
wamiliki wa kampuni za mabasi 50% ni wa Kilimandjaro hadi précision air
kwenye elimu ndio usiseme
kujituma ndio chanzo chá maendeleo hayo
je na hayo maendeleo kila kukicha ni viongoz wameyachepushia? vile vile kwan Kilimandjaro hawalipi Kodi hadi maendeleo ya serikali yasiende? endelea na majungu sisi maendeleo tu
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Tembelea Uzi wa bukoba gallery utazame migheto huko vijijini

Sent using Jamii Forums mobile app
hayo mageto ni 0.003% ya makaz yote maana limkoa lenu likubwa mno Yan wilaya ya muleba utamaliza cku 5 ndio.uizunguke yote ndio chanzo Cha umaskini,hayo mageto ya maana huko uhayan n asilimia ndogo mno ndio maana ripoti ya makaz Bora hampo manake wanaangalia uwiano wa makaz Bora na mabovu, Kilimanjaro ikaibuka ya 2 baada ya dar manake makaz ya kisasa Kilimanjaro ni mengi kuliko yasiyo ta ubora
 
hahaha hiyo sio solution mbona wilaya zingine kama kyerwa,karagwe ndio Bush haswa? Pia muleba ni maeneo machache yamechangamka mengi ni maskini wa kutupwa,mfano muleba maeneo mazuri n nshamba,kamachumu,angalau maeneo mengine ni bush hatari Hakuna hata barabara Kuna kata inaitwa ngenge utadhan upo Sudan kusini limkoa limekaa hovyo hovyo ma milima,mapori ni mengi kuliko makaz,same na mwanga zimeizidi Mara 400 kyerwa na karagwe
Tena wilaya ya karagwe sio ya kusema kabisa wanyambo ndo kabila pekee nchini linaloweza kushindana na wahaya kujenga vijijini sio nyie.ni sehemu pekee kagera inayozalisha kahawA Kwa wingi .kyerwa ina madini ya Bati ambapo tz yanapatikana huko pekeeee.muleba ina maeneo mengi yaliyoendelea mfano kagondo,kishanda,rubya huko ndo mpaka basi kama ulaya vile .wilaya ina hospital 5 huku tatu zikiwa za binafsi ndolage, rubya , kagondo,ndo wilaya yenye wanafunzi wengi mashuleni tazama matokeo ulinganishe.ndo wilaya yenye shule nyingi za msingi nchini mfano kijiji cha Rutabo kamachumu kina shule Tisa tena zote zipo sehemu moja kama rutabo A,b,mseto ,ibuga, nk kijiji cha rubya kina shule za msingi Saba na secondary 4 za kata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hayo mageto ni 0.003% ya makaz yote maana limkoa lenu likubwa mno Yan wilaya ya muleba utamaliza cku 5 ndio.uizunguke yote ndio chanzo Cha umaskini,hayo mageto ya maana huko uhayan n asilimia ndogo mno ndio maana ripoti ya makaz Bora hampo manake wanaangalia uwiano wa makaz Bora na mabovu, Kilimanjaro ikaibuka ya 2 baada ya dar manake makaz ya kisasa Kilimanjaro ni mengi kuliko yasiyo ta ubora
Kumbe unafahamu fika kwaninj takwimu zinakuwa hivyo halafu unabisha bisha hapa .subiri wazitoe hizo wilaya mbovu biharamulo na ngara uone kama dar haitapitwa mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena wilaya ya karagwe sio ya kusema kabisa wanyambo ndo kabila pekee nchini linaloweza kushindana na wahaya kujenga vijijini sio nyie.ni sehemu pekee kagera inayozalisha kahawA Kwa wingi .kyerwa ina madini ya Bati ambapo tz yanapatikana huko pekeeee.muleba ina maeneo mengi yaliyoendelea mfano kagondo,kishanda,rubya huko ndo mpaka basi kama ulaya vile .wilaya ina hospital 5 huku tatu zikiwa za binafsi ndolage, rubya , kagondo,ndo wilaya yenye wanafunzi wengi mashuleni tazama matokeo ulinganishe.ndo wilaya yenye shule nyingi za msingi nchini mfano kijiji cha Rutabo kamachumu kina shule Tisa tena zote zipo sehemu moja kama rutabo A,b,mseto ,ibuga, nk kijiji cha rubya kina shule za msingi Saba na secondary 4 za kata

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha jamaa unafurahisha.. Bukoba haijaizidi Kilimanjaro kwa chochote..

Kodi tu inayokusanywa na wilaya ya Hai (sio Moshi Mjini) ni zaidi ya kodi yote ya mkoa wa Kagera..

Acha kujipa sifa usizostahili, Bukoba na Kagera kwa ujumla haitakaa ifikie Kilimanjaro hata Kilimanjaro ikisimama kufanya chochote kwa miaka 20.

Kwenye haya maeneo; Uchumi, Biashara, Purchasing Power, Afya, Maji Safi na salama, Miundombinu, Makazi, Umeme, Ubora wa maisha Kagera haifikii Kilimanjaro hata robo..

Hapo elimu nimeiweka kando maana kidogo mnaweza mkaongea ingawa nako Kilimanjaro ni kinara wenu..

hata wakizitoa hizo wilaya bado mtabk maskini wilaya ya muleba ni maeneo machache tu n mazur mengi ni bush hatar
Pia kuzaliana kwa wingi kunawasababishia umaskini kwahiyo usijidanganye
 
hahaha huyu mhaya kwakweli bhuwa ananichekesha
 
Tena wilaya ya karagwe sio ya kusema kabisa wanyambo ndo kabila pekee nchini linaloweza kushindana na wahaya kujenga vijijini sio nyie.ni sehemu pekee kagera inayozalisha kahawA Kwa wingi .kyerwa ina madini ya Bati ambapo tz yanapatikana huko pekeeee.muleba ina maeneo mengi yaliyoendelea mfano kagondo,kishanda,rubya huko ndo mpaka basi kama ulaya vile .wilaya ina hospital 5 huku tatu zikiwa za binafsi ndolage, rubya , kagondo,ndo wilaya yenye wanafunzi wengi mashuleni tazama matokeo ulinganishe.ndo wilaya yenye shule nyingi za msingi nchini mfano kijiji cha Rutabo kamachumu kina shule Tisa tena zote zipo sehemu moja kama rutabo A,b,mseto ,ibuga, nk kijiji cha rubya kina shule za msingi Saba na secondary 4 za kata

Sent using Jamii Forums mobile app

muleba iizidi kahawa Kilimandjaro ? unachekesha Kilimandjaro ndio ngome ya kahawa ndio maana soko la kimataifa la kahawa lipo Moshi hata vikahawa vya kagera vinaletwaga Moshi kwenye soko
2_wilaya ya kwanza tz kuwa na shule nyingi za msingi ni moshi vijijin (268) muleba 202 sasa ni shule zipi umeipita? hahaha
3 hospital wilaya ya Moshi Ina hospitali 6
kcmc,kibosho,mawenzi, marangu,kilema na minja ,rombo ina hospital 3 huruma ,karume(ya wilaya) na ngoyoni,siha zipo 2 kibongoto na siha hospital,hai 2
 
Kijiografia ni Mkoa mdogo sana kwa Tanzania bara, ndio unaofutia kuwa na eneo dogo baada ya Dar Es Salaam huu mkoa una Wilaya Saba(regardless eneo lake).

Kingine huu mkoa mdogo una shule za Secondary 316 hakuna mkoa mwingine wenye Shule nyingi hivi, mingine hata ukiinganisha huu mkoa ndio unaongoza kwa ufaulu. 2017/2018.

Huu mkoa Makao makuu yote ya wilaya zake yameunganishwa kwa barabara za lami na barabara nyingi za kitarafa pia zina lami
barabara za kwenda wilaya ya Rombo ambayo iko pembezoni kidogo ni mbili na zote zina lami.

Naona kuna mengi yakujifunza Kilimanjaro vijiji vya mkoa wa Kilimanjaro vina maendeleo kuliko vijiji vya mikoa mingine.

CCM na Serikali yake wanapaswa kuwekeza zaidi ndani ya Kilimanjaro, kwasababu ukiwekeza Kilimanjaro unaendeleza Tanzania.

Huu mkoa Ndio Lango la Tanzania Nawasilisha
Kwa suala la barabara Hayo yalifanyika hapo kabla na watu waliokuwa wanajali walikota bila kuzingatia mahitaji ya maeneo mengine ya nchi
 
hata wakizitoa hizo wilaya bado mtabk maskini wilaya ya muleba ni maeneo machache tu n mazur mengi ni bush hatar
Pia kuzaliana kwa wingi kunawasababishia umaskini kwahiyo usijidanganye
Nyie ndo mnazaliana kama nini cheki population density ya mkoa wa Kilimanjaro ndo ya pili baada ya dar.kagera ni wengi lakini pia na mkoa wao ni mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ndo mnazaliana kama nini cheki population density ya mkoa wa Kilimanjaro ndo ya pili baada ya dar.kagera ni wengi lakini pia na mkoa wao ni mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
kwakweli unatia huruma,ingekuwa hivyo Kilimanjaro ingekuwa ya 2 watu wake kuwa na individual's income kubwa?
nyie wahaya unakuta mtu Ana watoto 10 uchagani mtu mwenye watoto wengi wastan ni 5 tu
elimu yetu tuna i aply nyie elimu haiwanufaish mnazaliana kama kumbikumbu umaskini utawaandama hadi kiama
ripoti ya wizara ya afya inaonyesha kagera n mkoa wa nne kwa udumavu wa watoto ikiwa na 41% mikoa mingine yenye udumavu ni geita,iringa,Njombe
 
muleba iizidi kahawa Kilimandjaro ? unachekesha Kilimandjaro ndio ngome ya kahawa ndio maana soko la kimataifa la kahawa lipo Moshi hata vikahawa vya kagera vinaletwaga Moshi kwenye soko
2_wilaya ya kwanza tz kuwa na shule nyingi za msingi ni moshi vijijin (268) muleba 202 sasa ni shule zipi umeipita? hahaha
3 hospital wilaya ya Moshi Ina hospitali 6
kcmc,kibosho,mawenzi, marangu,kilema na minja ,rombo ina hospital 3 huruma ,karume(ya wilaya) na ngoyoni,siha zipo 2 kibongoto na siha hospital,hai 2
Hiyo ilikuwa zamani ndo maana mlikuwa mnaiba mapato yetu kahawA ya kagera ilikuwa inahesabika kama kodi ya Kilimanjaro ndo maana siku hiz kahawA inauziwa bukoba .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom