Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Mbona hata bukoba coster zipo tena za wilayani mfano kutoka bukoba Hadi mtukula, bukoba kayanga,na bukoba biharamulo,na nyakanazi,.ingawa na daladala zipo bado tena nyingi . imagine kamachumu Tu bukoba kuna Zaid ya daladala 50

Sent using Jamii Forums mobile app

Hongeren sana ,usafiri wa umma ni kitu cha mhimu sana kwenye kuchochea uchumi wa taifa na mtu mmoja mmoja,,
Lakini Mbeya bado wako vizuri mjini sana namba ya kosta inakaribia kufika 1000 mjini achana na kosta za Tunduma ,Kyela na Mbaruku

Pia huko Mbeya kuna bajaji nyingi sana za mjini zinakaribia 3000

Vizur tupongeze vibaya tukoseo .
Natamani sana Moshi na kwenyewe kuwa na usafiri wa Costa maana haice zimekuwa nyingi sana .Na pia usafiri wa Costa ni wa-Comfortable tofauti na haice
 
Mwaka huu mkoa umekuwa wa nane,lakini wilaya ya bukoba imekuwa ya pili kitaifa,zero ni chache kulinganisha na Kilimanjaro na pia teni best wahaya ni watano.haya the most intelligent people in Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
1_ zero za kagera lazma ziwe chache kulinganisha na Kilimanjaro kwakuwa kagera Ina shule 242 wakati Kilimanjaro Ina shule 316 hii Wala haiihitaji ubishi
2_kati ya wanafunzi 10 mhaya ni mmoja na mchaga mmoja tu sii kweli wahaya 5 ni uongo wa mchana majina yapo wazi kabisa wengi wa ma top Ten ni wa mbeya acha kick
3_kilimanjaro sii tu inaongoza kielimu Bali kiuchumi, kimaendeleo ni elimu manake ni maendeleo huwez kusema una elimu wakati ww ni maskini, Kilimandjaro inaonyesha kweli wameelimika maana wana maendeleo,kagera wanasoma ila Hawa maana mkoa wa 3 kwa umaskini sasa elimu inawasaidiaje?
 
instanbul tunazungumzia daladala ndani ya mji sio za nje ya mji bukoba muleba,bukoba omulushaka nk hizo ni nje ya mji
tunataka kwa mfano (bukoba kitendaguro,bukoba kashai,bukoba rwamishenye)
alafu asilimia kubwa ya daladala za bukoba kwenda wilaya zingine ni vi haice bukoba muleba,bk kamachumu,bk nshamba, zote ni haice
hata bk biharamulo ni vihaice kosta ni chache
 
Sijawahi ona hiace ya bukoba_ biharamulo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamko peke yenu mkoa wa kagera hasa uhayani kuna hospital zifuatazo
1.Ndolage hospital kamachumu
2.Rubya hospital Rubya
3.kagondo hospital kagondo bukoba vijijini
4.Mugana hospital misenyi
5.kajunguti hospital misenyi
6.izimbya hospital bukoba vijijini
7.Government hospital bukoba mjini
8.Nshambya hospital bukoba mjini
9.Rulenge ngara hospital
10. Biharamulo hospital
11.karagwe hospital na nyingine nyingi
Ni kawaida pia mkoa wa kagera kukuta wilaya moja ina hospital tatu mfano muleba 3, bukoba 4,misenyi 2 nk

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongeren Mkuu,,

Kilimanjaro lakini bado kuna hospital nyingi sijazitaja ,nmetaja zenye kufahamika sana kwa huduma bora .Mkoa wangu pendwa wa Kilimanjaro kuna shule na hospital nyingi sana kuliko kagera (ntakuletea data hapa )
 
utaionea wapi wakati huishi huko? mm juz juz January hii nilikuwa kagera wakati wa likizo baada ya kula xmass Moshi,nilifka hadi biharamulo lushahunga na vidaladala vimeandikwa bukoba mlb bimulo
costa za bk _bmulo zipo 3 tu
Afadhali magufuli anatengeneza mkoa mpya wa Rubondo utakaozitoa wilaya za ngara na biharamulo ndani ya mkoa wa kagera.maana ndo maskini zaidi mkoani kagera na ni kubwa na zifanya mkoa huu mkubwa huonekane maskini.kagera ikibaki na wilaya za muleba, bukoba vijijini, bukoba mjini,misenyi,karagwe,kyerwa utakuwa wa Kwanza tena kimaendeleo tena kama ulivyokuwa zamani .maana wilaya hizo vijiji vyake huwezi vikuta popote tz Kwa majumba na maendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1_ zero za kagera lazma ziwe chache kulinganisha na Kilimanjaro kwakuwa kagera Ina shule 242 wakati Kilimanjaro Ina shule 316 hii Wala haiihitaji ubishi
2_kati ya wanafunzi 10 mhaya ni mmoja na mchaga mmoja tu sii kweli wahaya 5 ni uongo wa mchana majina yapo wazi kabisa wengi wa ma top Ten ni wa mbeya acha kick
3_kilimanjaro sii tu inaongoza kielimu Bali kiuchumi, kimaendeleo ni elimu manake ni maendeleo huwez kusema una elimu wakati ww ni maskini, Kilimandjaro inaonyesha kweli wameelimika maana wana maendeleo,kagera wanasoma ila Hawa maana mkoa wa 3 kwa umaskini sasa elimu inawasaidiaje?
Kwa hiyo byarasobile,kibani, kagemulo,karugwa ni WA mbeya ? Majina ya bukoba kabisa .Haya the most intelligent people in Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ingekuwa inatisha kura za maoni kuhusu makao makuu ningependelea yawe Moshi kwa heshima ya ule mlima, infact hata EAC na AU headquarters should have been built in this Region, ila ipo siku tu mantiki hii itajijenga kwenye vichwa vya viongozi wetu na watatimiza japo watakuwa wamechelewa.
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Afadhali magufuli anatengeneza mkoa mpya wa Rubondo utakaozitoa wilaya za ngara na biharamulo ndani ya mkoa wa kagera.maana ndo maskini zaidi mkoani kagera na ni kubwa na zifanya mkoa huu mkubwa huonekane maskini.kagera ikibaki na wilaya za muleba, bukoba vijijini, bukoba mjini,misenyi,karagwe,kyerwa utakuwa wa Kwanza tena kimaendeleo tena kama ulivyokuwa zamani .maana wilaya hizo vijiji vyake huwezi vikuta popote tz Kwa majumba na maendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app

Unanichekesha sana Mkuu

Kwahyo Biharamulo na ngara ndo wanawaharibia ,huenda unajisemea pia sio kabila lako pendwa wengi ni wazinza Kwa Biharamulo na waangaza kwa ngara kama sijakosea

Nimekumbuka kitabu cha darasa la kwanza kuna sentence ilikuwa inasema

"Ukifika Biharamulo utamkuta Mjomba "

Usiwatenge Wajomba zako ili uonekane bora ,tafuteni njia bora za kuinuana na kusaidiana
 
Kijiografia ni Mkoa mdogo sana kwa Tanzania bara, ndio unaofutia kuwa na eneo dogo baada ya Dar Es Salaam huu mkoa una Wilaya Saba(regardless eneo lake).

Kingine huu mkoa mdogo una shule za Secondary 316 hakuna mkoa mwingine wenye Shule nyingi hivi, mingine hata ukiinganisha huu mkoa ndio unaongoza kwa ufaulu. 2017/2018.

Huu mkoa Makao makuu yote ya wilaya zake yameunganishwa kwa barabara za lami na barabara nyingi za kitarafa pia zina lami
barabara za kwenda wilaya ya Rombo ambayo iko pembezoni kidogo ni mbili na zote zina lami.

Naona kuna mengi yakujifunza Kilimanjaro vijiji vya mkoa wa Kilimanjaro vina maendeleo kuliko vijiji vya mikoa mingine.

CCM na Serikali yake wanapaswa kuwekeza zaidi ndani ya Kilimanjaro, kwasababu ukiwekeza Kilimanjaro unaendeleza Tanzania.

Huu mkoa Ndio Lango la Tanzania Nawasilisha
Wachaga waliopata fursa serikalin waliipa kipaumbele ndio maana kunaonekana kuna maendeleo, isingekuwa hivyo ingekuwa kama mikoa mingine tu
 
Unanichekesha sana Mkuu

Kwahyo Biharamulo na ngara ndo wanawaharibia ,huenda unajisemea pia sio kabila lako pendwa wengi ni wazinza Kwa Biharamulo na waangaza kwa ngara kama sijakosea

Nimekumbuka kitabu cha darasa la kwanza kuna sentence ilikuwa inasema

"Ukifika Biharamulo utamkuta Mjomba "

Usiwatenge Wajomba zako ili uonekane bora ,tafuteni njia bora za kuinuana na kusaidiana
Ila biharamulo na ngara zipo mbali Sana na makao makuu ya mkoa wa kagera bukoba mfano kutoka bukoba Hadi ngara km 350 Sawa na umbali dar morogoro huku bukoba biharamulo km 250. Ndo maana kunatengenrzwa mkoa mpya Rubondo utakaounganisha biharamulo,ngara,chato na sehemu ya shinyanga na makao yake yatakuwa chato center.kimsingi biharamulo ndo wilaya ya pili Kwa umaskini nchini baada ya kakonko .na Kwa kuwa ipo kagera hivyo average ikipigwa mkoa wa kagera inaonekana maskini.ingawa unasehemu zilizoendelea Sana kama misenyi na muleba.pia ni vigumu kuwainua Kwa sababu ya difference kubwa iliyopo Kati ya watu wa bukoba na huko . hata Kilimanjaro huoni same na mwanga zilivyoachwa nyuma

Nmekusoma Mkuu,,

Pia inaweza kufanya wilaya za Biharamulo na Ngara kupata huduma za ofisi ya mkuu wa mkoa Kwa urahisi zaid .Maana kutoka Ngara au Biharamulo pana safari ya kutosha na garama kubwa pia
 
Ila biharamulo na ngara zipo mbali Sana na makao makuu ya mkoa wa kagera bukoba mfano kutoka bukoba Hadi ngara km 350 Sawa na umbali dar morogoro huku bukoba biharamulo km 250. Ndo maana kunatengenrzwa mkoa mpya Rubondo utakaounganisha biharamulo,ngara,chato na sehemu ya shinyanga na makao yake yatakuwa chato center.kimsingi biharamulo ndo wilaya ya pili Kwa umaskini nchini baada ya kakonko .na Kwa kuwa ipo kagera hivyo average ikipigwa mkoa wa kagera inaonekana maskini.ingawa unasehemu zilizoendelea Sana kama misenyi na muleba.pia ni vigumu kuwainua Kwa sababu ya difference kubwa iliyopo Kati ya watu wa bukoba na huko . hata Kilimanjaro huoni same na mwanga zilivyoachwa nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha hiyo sio solution mbona wilaya zingine kama kyerwa,karagwe ndio Bush haswa? Pia muleba ni maeneo machache yamechangamka mengi ni maskini wa kutupwa,mfano muleba maeneo mazuri n nshamba,kamachumu,angalau maeneo mengine ni bush hatari Hakuna hata barabara Kuna kata inaitwa ngenge utadhan upo Sudan kusini limkoa limekaa hovyo hovyo ma milima,mapori ni mengi kuliko makaz,same na mwanga zimeizidi Mara 400 kyerwa na karagwe
 
Back
Top Bottom