Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

WE JAMAA VIPI?

TATIZO NYIE NGOZI NYEUSI MNAPENDA KUSIFIWA TU, HAMTAKI KUAMBIWA WEEKNESS ZENU, MBONA NIMEPOST TANGU JANA HAKUNA MTU ALIYE PANIC ISIOOKUWA WEWE TU.

KILIMANJARO IPO TZ, SIWEZI KUUCHAFUA HUO MKOA, ISITOSHE KILA MTZ ANAISHI ANAPOTAKA.......

ACHA MAHABA , PENDA UKWELI BRO
Sijapanick ila nimekushauri. Nikikwabia uliete hizo tafiti hapa unazo? Au uliandika kishabiki?

Ukweli na upenda ndio.. lakin sipendi uwongo unaochanywa na upumbav.

Leta hizo tafiti zako hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ngoja niwape sir moja. kabla hata hawajaja wazungu wale wazee walikuwa washajitambua kias flan. kwa mfano haya mambo ya kugawa viwanja kwa raman kule moshi ipo miaka mingi mno kabla mzungu hajafika. kila mtu alipewa shamba na sehem ya barabara iliachwa mifereji ya maji ilichimbwa ikapitishwa kila shamba. walipokuja wazungu ndio wakawaelekeza sehem ya shule na makanisa. wajeruman walipowaletea ile kahawa ndio wakawasaidia zaid wale wazee. sasa mfumo uliowasaidia zaid wale wazee ni kule kuweza kuwaaminisha watoto kuwa kule moshi ndio nyumban kwahiyo hata kama upo new york wao wanaita ni porin. na wanaamin usipojenga kwenu hata uwe bilionea wewe ni fala sana watakudharau kijiji kizima. kule moshi mtu bora anapimwa kwa utendaji wa kazi. yaan hata ukitaka kuoa utasikia tu wale wazee wanakwambia hiyo nyumba sio ya kuoa ni wavivu. kingine naweza kusema wazungu walipoleta tena na dini na wale wazee wakaikumbatia ni kama iliwaongezea zaid maendeleo. so unakuta padre kwa mfano kupitia zile jumuiya anapita kila nyumba anachukua namba ya kila mtoto wa kila mwenye mji aliyeko nje ya moshi anakupigia sim anakupa maelezo ya kuchangia maendeleo ya mradi au shule kijijin huchomoi. chrismas unakutana na wazaz wanakupa muktasar wa vitu wanachotaka kifanyike. kuna ndugu labda hayuko vizur au watoto wake hawako vizur mnamchangia ada. nk. ngoja niwape kisa kimoja kilinikuta nikiwa kijana mdogo. ikiwa primary nilikuwa nanunua ndiz matunda nauza pale kcmc cku za jmos so mpaka namaliza darasa la saba nina milion kama 3 na hakuna aliyekuwa anajua. nikatoka mosh by then nikajichanganya mjin sasa. baadae nina miaka 17 nina hela kabisa. nikawa nimenunua kiwanja huku bahar beach. nikiwa naendelea na inshu zangu nikaenda nbc benk kuomba mkopo by then china ishaiva mbaya kabisa. nimefika kuonana na meneja wa tawi ananiashangaa. napeleka wapi milion 45 akaniambia nikamleta baba yangu hawawez kunipa mkopo coz mimi ni mdogo. jamaa moja kkoo ndio akawaambia huyu dogo mpen hela achanen nae. so ninawaambia tu moshi wale watu ni by nature ni watu wa maendeleo sema kwasasa nchii huwez kuzungumzia kabila flan coz tumekuwa machotara sana so kikubwa ni kujifunza kila cku hasa kwa waliokutangulia.
 
Mkuu umenena mambo niliyokuwa najiuliza Sema nilipuuzia kuuliza wazee. Mimi nilizaliwa arusha nyumban kwa wazazi ni machame.. Mzee alijenga miaka hiyo nyumba ya block kijijini sasa likizo alikuwa anatupeleka kijijin kwa bibi miaka ya 2000 mwanzo nilipenda Sana mazingira ya bushi kwa sababu huduma zote zilikuwepo maji Safi, umeme na Barabara ya lami kwa sababu nyumban ni karibu na mkwarungo hospital. Kunakipindi nilidhani vijiji ndio maisha yalivyo mzuri vile kwa Tanzania yote kumbe ni tofauti kabisa. Nilipo jiunga tanga tech form 1 ndio nilianza kuona uhalisia wa maisha ya mtanzania.....wazee wetu walijitahidi Sana kutengeneza maisha ya kijijin hadi Leo panavutia kwenda kuishi

Sent using Jamii Forums mobile app

Uko kama mimi nilidhani lami zilivo Kilimanjaro na sehemu nyngne ni hivo hivo, ,hospital za ubora kama ya marangu na kilema nilijua ziko kila sehemu ,nilipo safiri nikienda Shinyanga ,nilishangaa Sana Watu wanapakia na kulipia bus linalopita kwenye vumbi .Dah!

Niliumuuliza bibi yangu Mzaa baba aliye zaliwa 1932 lami ya Moshi mjini hadi marangu ilijengwa lini akaniambia yeye hajui maana tangia anajitambua na hajaolewa aliikuta, ,na mtoto wake wa kwanza alimzaa 1949,, just imagine .Lakini hyo barabara ilikuja kufanyiwa marekebisho maana ilikuwa nyembamba sana ,alinena hivo
 
ngoja niwape sir moja. kabla hata hawajaja wazungu wale wazee walikuwa washajitambua kias flan. kwa mfano haya mambo ya kugawa viwanja kwa raman kule moshi ipo miaka mingi mno kabla mzungu hajafika. kila mtu alipewa shamba na sehem ya barabara iliachwa mifereji ya maji ilichimbwa ikapitishwa kila shamba. walipokuja wazungu ndio wakawaelekeza sehem ya shule na makanisa. wajeruman walipowaletea ile kahawa ndio wakawasaidia zaid wale wazee. sasa mfumo uliowasaidia zaid wale wazee ni kule kuweza kuwaaminisha watoto kuwa kule moshi ndio nyumban kwahiyo hata kama upo new york wao wanaita ni porin. na wanaamin usipojenga kwenu hata uwe bilionea wewe ni fala sana watakudharau kijiji kizima. kule moshi mtu bora anapimwa kwa utendaji wa kazi. yaan hata ukitaka kuoa utasikia tu wale wazee wanakwambia hiyo nyumba sio ya kuoa ni wavivu. kingine naweza kusema wazungu walipoleta tena na dini na wale wazee wakaikumbatia ni kama iliwaongezea zaid maendeleo. so unakuta padre kwa mfano kupitia zile jumuiya anapita kila nyumba anachukua namba ya kila mtoto wa kila mwenye mji aliyeko nje ya moshi anakupigia sim anakupa maelezo ya kuchangia maendeleo ya mradi au shule kijijin huchomoi. chrismas unakutana na wazaz wanakupa muktasar wa vitu wanachotaka kifanyike. kuna ndugu labda hayuko vizur au watoto wake hawako vizur mnamchangia ada. nk. ngoja niwape kisa kimoja kilinikuta nikiwa kijana mdogo. ikiwa primary nilikuwa nanunua ndiz matunda nauza pale kcmc cku za jmos so mpaka namaliza darasa la saba nina milion kama 3 na hakuna aliyekuwa anajua. nikatoka mosh by then nikajichanganya mjin sasa. baadae nina miaka 17 nina hela kabisa. nikawa nimenunua kiwanja huku bahar beach. nikiwa naendelea na inshu zangu nikaenda nbc benk kuomba mkopo by then china ishaiva mbaya kabisa. nimefika kuonana na meneja wa tawi ananiashangaa. napeleka wapi milion 45 akaniambia nikamleta baba yangu hawawez kunipa mkopo coz mimi ni mdogo. jamaa moja kkoo ndio akawaambia huyu dogo mpen hela achanen nae. so ninawaambia tu moshi wale watu ni by nature ni watu wa maendeleo sema kwasasa nchii huwez kuzungumzia kabila flan coz tumekuwa machotara sana so kikubwa ni kujifunza kila cku hasa kwa waliokutangulia.
asanteee kwa kutoa ushuhuda wengi wana wivu wenyewe kwa wenyewe ndio maana wanazidi kubaki maskini
instanbul
 
Uko kama mimi nilidhani lami zilivo Kilimanjaro na sehemu nyngne ni hivo hivo, ,hospital za ubora kama ya marangu na kilema nilijua ziko kila sehemu ,nilipo safiri nikienda Shinyanga ,nilishangaa Sana Watu wanapakia na kulipia bus linalopita kwenye vumbi .Dah!

Niliumuuliza bibi yangu Mzaa baba aliye zaliwa 1932 lami ya Moshi mjini hadi marangu ilijengwa lini akaniambia yeye hajui maana tangia anajitambua na hajaolewa aliikuta, ,na mtoto wake wa kwanza alimzaa 1949,, just imagine .Lakini hyo barabara ilikuja kufanyiwa marekebisho maana ilikuwa nyembamba sana ,alinena hivo
hakika Kilimanjaro ni ulaya ndogo
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Mwanga imeendelea kuliko Chato.
Unafahamu kuwa ukitoka Mwanga kwenda Usangi barabara yake ni ya Lami? Ndani ya wilaya...
Na Mkoa wa Mwanza na Geita bado hazijaunganishwa kwa Lami.
Kwahiyo lami ndio maendeleo.. Mkuu kubali mji duni sana ule
 
Wenzetu miaka 50 ya uhuru wamehamishia rasilimali za nchi kwao leo wanajisifia, fyeka magufuli, fyeeeka!

Sent using Jamii Forums mobile app
wakati wakihamisha nyie c mlikuwa mkicheza baikoko mkakimbia shule?
dadadeki aliyefanikiwa kafanikiwa tu hamuwez kutukuta ktk idara yoyote mtazd kupasuka wivu tu huku tukiendelea kupeta hatuangalii na vijitu vishamba
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Kwahiyo lami ndio maendeleo.. Mkuu kubali mji duni sana ule
mwanga imechangamka lami ,shule ,zahanati,makaz mazuri nk Sasa uduni wa mwanga upo wapi? crdb kila mahali vijijin huko mwanga IPO unasemaje duni? kungekuwa duni wangeweka hayo mabenk kila Kona ktk wilaya hiyo?
 
Hizi lami zilitiwa kwa fedha za serikali au wananchi walichanga?

Sent using Jamii Forums mobile app
NYINGINE serikali, NYINGINE wananchi(machame) hata sasa hivi Kuna mradi wa kukarabati barabara zote za vijijin Jimbo la vunjo ambapo wananchi walichanga bilion 7.2
Kilimanjaro wananchi huchangia maendeleo tangu zamn
ndio maana Hakuna shida ya shule,Wala zahanati almost mkoa mzma
pmj na udogo wa Kilimanjaro inaongoza kuwa na secondary nyingi tz nzma nyingi zimejengwa kwa nguvu za wananchi
 
Kijiografia ni Mkoa mdogo sana kwa Tanzania bara, ndio unaofutia kuwa na eneo dogo baada ya Dar Es Salaam huu mkoa una Wilaya Saba(regardless eneo lake).

Kingine huu mkoa mdogo una shule za Secondary 316 hakuna mkoa mwingine wenye Shule nyingi hivi, mingine hata ukiinganisha huu mkoa ndio unaongoza kwa ufaulu. 2017/2018.

Huu mkoa Makao makuu yote ya wilaya zake yameunganishwa kwa barabara za lami na barabara nyingi za kitarafa pia zina lami
barabara za kwenda wilaya ya Rombo ambayo iko pembezoni kidogo ni mbili na zote zina lami.

Naona kuna mengi yakujifunza Kilimanjaro vijiji vya mkoa wa Kilimanjaro vina maendeleo kuliko vijiji vya mikoa mingine.

CCM na Serikali yake wanapaswa kuwekeza zaidi ndani ya Kilimanjaro, kwasababu ukiwekeza Kilimanjaro unaendeleza Tanzania.

Huu mkoa Ndio Lango la Tanzania Nawasilisha
umedai K/njaro ndio mkoa wenye maendeleo arafu tena serikali ikawekeze huko huko, unataka kusema wa Tz wa mikoa mingine hatutaki maendeleo, achana na dhima ya selfish..[emoji43][emoji43][emoji43]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani vipo ,chuo cha ushirika Moshi na kile cha Kcmc sina uhakika kivile embu chunguza ulete jibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kilimandjaro ina vyuo vikuu kamili vitatu
kcmc University
Moshi cooperative University
mwenge Catholic University (Mwecau)
matawi ya vyuo na vyuo vikuu vishiriki ni vingi havihesabiki mfano tumaini,semuco,st Joseph,nk
 
Indeed walahi
Kila mahali pana baraka zake, haswa JIJI KUU DAR ES SALAAM, HEAVEN OF PEACE WALAHI
Since when tunaoigwa virungu kila siku fain za magari kama yote Kili Ho hereni sana naona kila mtaa una shule
 
Back
Top Bottom