instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,602
- 19,788
Ulishawahi fika kahama? Yaani inazidiwa na kahama .Kaskazini hakuna kitu kabisa Arusha yenyewe ni nusu ya mwanza mji mbovu kama nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulishawahi fika kahama? Yaani inazidiwa na kahama .Kaskazini hakuna kitu kabisa Arusha yenyewe ni nusu ya mwanza mji mbovu kama nini
Kuna nini hapo cha ajabu ? Halafu mliisema bukoba miti mbona mji huu umejaa miti kama nin?Mkuu umemaliza kila kitu..
Umeua, aya wailete Bukoba yao hapo kama inaingia..
Kingine cha kuongezea, mpaka 2025 nadhani mji wote wa Moshi utatawaliwa na maghorofa ya kisasa zaidi na uzuri ni kuwa hayo karibia 90pc yanamilikiwa na wazawa..
Sent using Jamii Forums mobile app
We kweli haunazo moshi IPO mbioni kuitwa jiji,kahama hata hadhi ya Manispaa hainaUlishawahi fika kahama? Yaani inazidiwa na kahama .Kaskazini hakuna kitu kabisa Arusha yenyewe ni nusu ya mwanza mji mbovu kama nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni miti iliyopandwa kitaalamu kwa ajili ya kivuli,sii ile yenu kule mnapasua mbao KATIKATI ya mjiKuna nini hapo cha ajabu ? Halafu mliisema bukoba miti mbona mji huu umejaa miti kama nin?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikusaidie.. Hapa ndio Bukoba bwana hahahahaha, kamji kamechakaaKuna nini hapo cha ajabu ? Halafu mliisema bukoba miti mbona mji huu umejaa miti kama nin?
Sent using Jamii Forums mobile app
We kweli haunazo moshi IPO mbioni kuitwa jiji,kahama hata hadhi ya Manispaa haina
Kahama imeizid bukoba sii Moshi kahama Kuna sehemu Kama hii?View attachment 1009596
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka picha za kahama tushindanishe hahaha unaota mchana wwUlishawahi fika kahama? Yaani inazidiwa na kahama .Kaskazini hakuna kitu kabisa Arusha yenyewe ni nusu ya mwanza mji mbovu kama nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mkuu utauaaaaa watu kwa presha hahaha yaan mabaiskeli ya fonex ya mwaka 1970 hadi Leo yapo mjin bukoba ? Hahaha nikishangaa nilikuta wanapasua mbao mjin bukoba kata ya rwamishenyeNgoja nikusaidie.. Hapa ndio Bukoba bwana hahahahaha, kamji kamechakaa
Alafu tofautisha miti na msitu.. Bukoba mna misitu mjini. Ukiangalia hizo picha utaona miti ni mingi kuliko nyumba hahahaView attachment 1009597View attachment 1009598View attachment 1009599
Sent using Jamii Forums mobile app
Bk kujilinganisha na Moshi ni matusi ya nguoni,level ya bk ni musomaMkuu umemaliza kila kitu..
Umeua, aya wailete Bukoba yao hapo kama inaingia..
Kingine cha kuongezea, mpaka 2025 nadhani mji wote wa Moshi utatawaliwa na maghorofa ya kisasa zaidi na uzuri ni kuwa hayo karibia 90pc yanamilikiwa na wazawa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kukarabati barabara zote za vijijin Jimbo Zima la vunjoBil Saba inajenga km 200 za barabara tena lami [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha zinajieleza zenyewe kemondo bay ndo unatuletea hapaNgoja nikusaidie.. Hapa ndio Bukoba bwana hahahahaha, kamji kamechakaa
Alafu tofautisha miti na msitu.. Bukoba mna misitu mjini. Ukiangalia hizo picha utaona miti ni mingi kuliko nyumba hahahaView attachment 1009597View attachment 1009598View attachment 1009599
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaa yaani thread inatambaa kumbe ni ushindani unaendelea..Ngoja nikusaidie.. Hapa ndio Bukoba bwana hahahahaha, kamji kamechakaa
Alafu tofautisha miti na msitu.. Bukoba mna misitu mjini. Ukiangalia hizo picha utaona miti ni mingi kuliko nyumba hahahaView attachment 1009597View attachment 1009598View attachment 1009599
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali wewe ni mwelewa unaongea uhalisia,Hawa washaija wenzio kina instanbul kazi yao ubishi tu nimewaletea mapicha ya Moshi nadhan watalala na viatuHahaaaaa yaani thread inatambaa kumbe ni ushindani unaendelea..
Muleba is my hometown
Ok kilimanjaro ni kama wilaya kwa Kagera plus ilipata miundombinu mingi mapema, hali ya hewa,elimu, rasilimali za kutosha na utulivu miaka yote toka uhuru..Haijawahi pata majanga kama ilivyopata Kagera na sidhani nchi hii kuna mkoa uliopata majanga kama kagera. Kulinganisha kagera na kilimanjaro kwangu bado naona Kagera inapiga steps..
Nimetembea nchi hii sana lakini mpinzani wa Kagera katika maendeleo ya vijijini ni Kilimanjaro pekee..
So league hii ni valid
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nikusahihishe,hawana hela hao wanaojiita wasomi, manake ma richest tz ukitoa wahindi mabilionea wazawa tz nzima ni wachaga wanaongoza, wao héla Zao zoote hawamfikii hata robo bilionea ngaleku shirima wa precision airUkweli ni lazima tuukubali hata kama ni mchungu. Wenzetu wachagga wanajali sana kwao na wanawekeza kwao kwanza kabla ya kwingine. Vile vile ni watu wanaojituma sana katika kutafuta elimu. Wako kila mahali kutokana na elimu waliyo nayo Kuna kabila fulani hivi nao ni wasomi na wana hela lakini hawawekezi kwao na hawaendi mara kwa mara kama wachagga wao wakifika Dar ni majigambo na kujenga mijumba mikuuubwa lakini kwao hohe hahe ndio kwakuwa kwao kuko hovyo hata wakifa wanataka wazikwe Kinondoni badala ya kupelekwa kwao na familia inaona aibu kusafirisha kutokana na mazingira yasiyokuwa rafiki huko kijijini kwao hivyo kuepuka aibu kutoka kwa waombolezaji wageni watakaokwenda huko kuzika
Yaah mji wa Moshi 99.99% ya investers wake ni wazawa,wenzetu bk kamji kao kamejifia wamekuja warundi na wanyarwanda ndio wamefungua fungua viduka,wachaga não wamewapiga tafu kule kata ya kashai wachaga wamejenga Sana lodge na hotel hotelMkuu umemaliza kila kitu..
Umeua, aya wailete Bukoba yao hapo kama inaingia..
Kingine cha kuongezea, mpaka 2025 nadhani mji wote wa Moshi utatawaliwa na maghorofa ya kisasa zaidi na uzuri ni kuwa hayo karibia 90pc yanamilikiwa na wazawa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nakupinga unaposema uhayani vijijini kuna umaskini wa kupindukia ndo maana nipo hapa .wakati wilaya inaoufanya mkoa wa kagera uonekane maskini inajulikanaAfadhali wewe ni mwelewa unaongea uhalisia,Hawa washaija wenzio kina instanbul kazi yao ubishi tu nimewaletea mapicha ya Moshi nadhan watalala na viatu
Muleba naifahamu yote mkuu kwanzia nyakabango,kimwani(kule zamani walikuwa wachawi mno),ngote,runazi,rulanda, kasharunga, katunguru,magata, nshamba, kamachumu,mayondwe,izigo,muhutwe,ngenge, naifahamu vyema waitu nyegera marangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri useme mpinzani wa Kilimanjaro kwa maendeleo vijijini ni Kagera.Hahaaaaa yaani thread inatambaa kumbe ni ushindani unaendelea..
Muleba is my hometown
Ok kilimanjaro ni kama wilaya kwa Kagera plus ilipata miundombinu mingi mapema, hali ya hewa,elimu, rasilimali za kutosha na utulivu miaka yote toka uhuru..Haijawahi pata majanga kama ilivyopata Kagera na sidhani nchi hii kuna mkoa uliopata majanga kama kagera. Kulinganisha kagera na kilimanjaro kwangu bado naona Kagera inapiga steps..
Nimetembea nchi hii sana lakini mpinzani wa Kagera katika maendeleo ya vijijini ni Kilimanjaro pekee..
So league hii ni valid
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia wanajichanga wanunue ndege yao hahahahahaYaah mji wa Moshi 99.99% ya investers wake ni wazawa,wenzetu bk kamji kao kamejifia wamekuja warundi na wanyarwanda ndio wamefungua fungua viduka,wachaga não wamewapiga tafu kule kata ya kashai wachaga wamejenga Sana lodge na hotel hotel
Ukija kwenye usafir wachaga wamewasaidia maana mabasi ya dar _ bk ya wachaga zipo kampuni 3
Muro,Arusha exp,Osaka yaan hawana ubunifu kabisa watu Hawa ni mbwembwe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sii kweli mkuu,uhayan vijii vingi vipo duni nimekupa mfano wa muleba,vijiji 35% havina umeme sasa ikiwa hata umeme bdo kuna kipi kipya?Mi nakupinga unaposema uhayani vijijini kuna umaskini wa kupindukia ndo maana nipo hapa .wakati wilaya inaoufanya mkoa wa kagera uonekane maskini inajulikana
Sent using Jamii Forums mobile app