Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Kwanza jifunze kuandika, unachanganya herufi kubwa na ndogo katikati ya sentensi.

Hujui kuweka alama za vituo na paragraph unavuoandika ili usiwasumbue wasomaji. Hujui kuweka space kati ya neno na neno.

Wewe ndio mhaya tajiri msomi? Hahahaha.. Alafu unaulizwa source unaleta Wikipedia hujui hiyo Wikipedia hata huyo Ali anaweza akawa kajiandikia tu?

Unaona kupanda ndege ni big deal wakati hata hiyo ndege iliyokuwa unawaokoa miaka yote ni ya mchaga..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpe dozi mpaka imuingie huyuuuuu hahahaha
 
Hahahaha jamaa wanafurahisha sana ila ukweli kwao hali ni ngumu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kuwapostia tembelea hata huku ventures nenda mpaka forbes
Screenshot_20190130-000725.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza jifunze kuandika, unachanganya herufi kubwa na ndogo katikati ya sentensi.

Hujui kuweka alama za vituo na paragraph unavuoandika ili usiwasumbue wasomaji. Hujui kuweka space kati ya neno na neno.

Wewe ndio mhaya tajiri msomi? Hahahaha.. Alafu unaulizwa source unaleta Wikipedia hujui hiyo Wikipedia hata huyo Ali anaweza akawa kajiandikia tu?

Unaona kupanda ndege ni big deal wakati hata hiyo ndege iliyokuwa unawaokoa miaka yote ni ya mchaga..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuandika ni makosa sawa lakini naongea Kwa fact . Bus kama precision ndo ilikuwa inatuokoa wahaya basi washukuruni maana ingeshafungwa kitambo Kwa kukosa wateja maana bila wahaya na ingekosa wateja kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu vijiji vya mkoa wa kilimanjaro vinazidi mikoa mingine sio kweli,itakuwa bado hujatembea tz nenda mkoa wa njombe japo hawajasoma but vijiji vyao vipo sawa na kilimanjaro
 
hhahaha... anataka kubishana na serikali iliyosema mkoa wa kagera ni wa 2 kwa umaskini hahahahahah

kweli hawa ni mayatima wa maendeleo
Jamaa kalewa senene na ndizi Bukoba.. Anabishana na facts kwa kisingizio eti wahaya wanapanda ndege hahaha..

Hizo ndege wanapanda wakati Mjini tu Bukoba vumbi tupu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom