Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

The best feeling ever.. Yaani foleni inaanzia Dar mpaka Korogwe..View attachment 1008235View attachment 1008236View attachment 1008237

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajisifia nini wakati mnadandia vidadala na kukaa stendi siku tatu ndo mlinganishe na wahaya wanaopanda ndege tena route ndefu hivyo
Screenshot_20190129-233204.jpeg
Screenshot_20190129-233117.jpeg
Screenshot_20190129-233103.jpeg
Screenshot_20190129-233047.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina haja ya kutaja sijui matajiri nimeshakudhihirishia Kwa kutumia fact ya ndege .sidhani kama mtu anayeishi chini ya Dola moja na maskini anaweza kuaford nauli ya kutoka dar bukoba kila mara yaani laki Saba this means Asilimia kubwa ya wahaya ni matajiri .nyie mnakaa stendi siku tatu ndo mnasema matajiri? Kudandia vidaladala na kubanana kama kuku ndo utajiri huo? Uhayani ndege ndo zinaaminika sio kwamba mabasi hayapo no Bali ni hela Tu ndo zinaongea.View attachment 1008233

Sent using Jamii Forums mobile app
Twende kwa facts zinazotelewa na Forbes sio bla bla au assumptions zako za ndege..

Mhaya gani ana utajiri wa $100m?

Nitajie hata mmoja ..nijitoe JF sasa hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mchagga mmoja ana utajiri kushinda wahaya wote duniani, mbinguni na ahera....($560 million)

Kama unabisha njoo na facts kutoka taasisi inayoaminika kama forbes uonyeshe hata mhaya mmoja tuu mwenye net worth ya $100 million[emoji23]..

Tatizo mhaya akiwa hata na milioni 5 anajiona tajiri..
Screenshot_20190129-234248.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajisifia nini wakati mnadandia vidadala na kukaa stendi siku tatu ndo mlinganishe na wahaya wanaopanda ndege tena route ndefu hivyoView attachment 1008241View attachment 1008242View attachment 1008243View attachment 1008244

Sent using Jamii Forums mobile app
This shows how illiterate you are.. Unafikiri kila mchaga anaafford kupanda ndege au kuweka gari mafuta ya laki 5 just kwenda tu Moshi na kurudi?

Hivi kila muhaya akienda Bukoba anapanda ndege? Wewe ni mpuuzi kiasi gani kudhani hivyo? Wale Malaya wenye mtaa unaitwa kwa wahaya kule Temeke wanaouza uchi wa kihaya kwa buku nao wanapanda ndege?

And FYI tiketi za ndege zote zinazoenda Moshi zilikuwa sold out kuanzia tarehe 15 December mpaka 3 January. Ndio maana mpaka Rais wenu alivyopokea Airbus tarehe 26 sharp ikaanza safari ya Kilimanjaro before anywhere.

Are u a fool?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mchagga mmoja ana utajiri kushinda wahaya wote duniani, mbinguni na ahera....($560 million)

Kama unabisha njoo na facts kutoka taasisi inayoaminika kama forbes uonyeshe hata mhaya mmoja tuu mwenye net worth ya $100 million[emoji23]..

Tatizo mhaya akiwa hata na milioni 5 anajiona tajiri..View attachment 1008246

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya kuongea uwe unafanya research sio kukurupuka nitakuletea wengine pia wahaya
Screenshot_20190129-234723.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This shows how illiterate you are.. Unafikiri kila mchaga anaafford kupanda ndege au kuweka gari mafuta ya laki 5 just kwenda tu Moshi na kurudi?

Hivi kila muhaya akienda Bukoba anapanda ndege? Wewe ni mpuuzi kiasi gani kudhani hivyo? Wale Malaya wenye mtaa unaitwa kwa wahaya kule Temeke wanaouza uchi wa kihaya kwa buku nao wanapanda ndege?

And FYI tiketi za ndege zote zinazoenda Moshi zilikuwa sold out kuanzia tarehe 15 December mpaka 3 January. Ndio maana mpaka Rais wenu alivyopokea Airbus tarehe 26 sharp ikaanza safari ya Kilimanjaro before anywhere.

Are u a fool?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mAtusi na povu kubwa hilo kupita maelezo .hii inaonesha unavyoluck fact na ni upuuzi na sio ugreat thinker kabisa.nyie si mnasema wachaga Wana hela hakuna maskini sijui nini.muhaya Tu anayeishi dar kwenda bukoba Tu Kwa bus na kurudi ni mtaji kabisa wa kuanzisha biashara lakini mabasi hayakosagi hela.nyie mkishindwaga hoja mnaongelea sijui Malaya je bukoba hayo madanguro ya Malaya mbona hayapo yapo dar Tu this means ni propaganda inayoenezwa kuwachafua wahaya na chuki Tu .makabila mangap yanajiuza halafu hiyo ni tabia ya mtu wala sio kabira.pooor thinker kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu una matatizo...

Haujui hata mimi naweza kuedit hapo wikipedia sahizi!!

Hivi mtu mwenye akili timamu ukiambiwa ucite source unaweza kucite wikipedia kama source kweli!!!![emoji45]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kagoogle mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

hahaha, mkuu najua umegoogle umekosa...

sasa hapo mwenyewe ujipe jibu uone tofauti, kama kuna mchagga mwenye net worth $ 560 million halafu hakuna mhaya mwenye hata $100 million ujue kuwa wachagga sio size yenu.
 
Mbona mAtusi na povu kubwa hilo kupita maelezo .hii inaonesha unavyoluck fact na ni upuuzi na sio ugreat thinker kabisa.nyie si mnasema wachaga Wana hela hakuna maskini sijui nini.muhaya Tu anayeishi dar kwenda bukoba Tu Kwa bus na kurudi ni mtaji kabisa wa kuanzisha biashara lakini mabasi hayakosagi hela.nyie mkishindwaga hoja mnaongelea sijui Malaya je bukoba hayo madanguro ya Malaya mbona hayapo yapo dar Tu this means ni propaganda inayoenezwa kuwachafua wahaya na chuki Tu .makabila mangap yanajiuza halafu hiyo ni tabia ya mtu wala sio kabira.pooor thinker kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza jifunze kuandika, unachanganya herufi kubwa na ndogo katikati ya sentensi.

Hujui kuweka alama za vituo na paragraph unavuoandika ili usiwasumbue wasomaji. Hujui kuweka space kati ya neno na neno.

Wewe ndio mhaya tajiri msomi? Hahahaha.. Alafu unaulizwa source unaleta Wikipedia hujui hiyo Wikipedia hata huyo Ali anaweza akawa kajiandikia tu?

Unaona kupanda ndege ni big deal wakati hata hiyo ndege iliyokuwa unawaokoa miaka yote ni ya mchaga..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom