Upungufu wa umeme waongezeka, wateja kukosa umeme zaidi

LUS0MYA

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
862
1,097
Bila kutaja upungufu zaidi wa umeme unatokana na chanzo kipi Tanesco wameomba radhi kwa kukatika kwa umeme maeneo ambayo hayapo kwenye mgao siku ya leo na kubainisha tu kuwa umeme utarejea pale hali ya upungufu itakaporekebishika.

Hali ya upatikanaji wa umeme imezidi kuwa mbaya kuliko wakati wowote na sasa watu wanahoji tamko la mkuu wa Tanesco kuwa maji ya mvua hayaingii kwenye mabwawa. IPO HAJA SASA KWA SERIKALI KUPITIA TANESCO KUSEMA KWÈLI KUHUSU UPUNGUFU HUU MKUBWA WA UMEME.

Screenshot_20240123-103955_WhatsAppBusiness.jpg

Attachments

  • Screenshot_20240123-103955_WhatsAppBusiness.jpg
    Screenshot_20240123-103955_WhatsAppBusiness.jpg
    35.7 KB · Views: 2
Bila kutaja upungufu zaidi wa umeme unatokana na chanzo kipi Tanesco wameomba radhi kwa kukatika kwa umeme maeneo ambayo hayapo kwenye mgao siku ya leo na kubainisha tu kuwa umeme utarejea pale hali ya upungufu itakaporekebishika.

Hali ya upatikanaji wa umeme imezidi kuwa mbaya kuliko wakati wowote na sasa watu wanahoji tamko la mkuu wa Tanesco kuwa maji ya mvua hayaingii kwenye mabwawa. IPO HAJA SASA KWA SERIKALI KUPITIA TANESCO KUSEMA KWÈLI KUHUSU UPUNGUFU HUU MKUBWA WA UMEME.

View attachment 2880281View attachment 2880282
uchaguzi mkuu ujao una mambo!!!!mama anasema"jeshi kaeni tayari kwa uchaguzi"..jeshi nalo linasema"viongozi wengi serikalini ni wakimbizi",,,da!!!! kunawa2 wanataka kufanya yao,mama kawastukia!!!so ndo kiini cha figisu ili wananchi wamchukie maza!!
 
Umechelewa kujua.

NCHI HII HAKUNA SHIRIKA LA SERIKALI LILILO SERIOUS.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
uchaguzi mkuu ujao una mambo!!!!mama anasema"jeshi kaeni tayari kwa uchaguzi"..jeshi nalo linasema"viongozi wengi serikalini ni wakimbizi",,,da!!!! kunawa2 wanataka kufanya yao,mama kawastukia!!!so ndo kiini cha figisu ili wananchi wamchukie maza!!
Huyu mama ameshindwa kabisa kuongoza inchi lakini bado unang'ang'ania. Kwa mtu anayetaka kuwatumikia wananchi, ikulu siyo pakukimbilia. Nashari apumzike, wenye uwezo wa kupambana na mafisi, Wala rushwa,wazembe kazini waingie ikulu.
 
Back
Top Bottom