Mkoa upi wa Tanzania wenye wasichana wazuri?

Nyinyi watu hata Yesu akirudi na nyie bado mpo atakuwacheni hapa hapa , katika zama hizi za ukimwi,bado mnafikra za papo kwa papo za kizinifu zinifu

Siku zote watu wakikosa hoja basi wankimbilia kumtaja Yesu...!watu wanaelezea uzri wa binadamu kama alivyoumbwa na Mungu,sasa kama we unaona huu ni uzinzi basi ndugu sina la kukwambia.dawa pekee ya kupambana na ukimwi ni kuwa wawazi katika swala zima la mahusiano na ngono,na sio kuwa wasirisiri.tujifunze kutofautisha mahusiano na ngono.....!
 
Mimi Sio mzinifu ila napenda Kusema Wasichana wa kichaga Wengi ni warembo tena saana Saaaaana kabisa Hata wapare...Ila SASA TATIZO ni Hakuna Raha Kabisa Hapo mnapokuwa Katika Kukamilisha mambo.Kwi kwi Kwi Kwi....Haalafu Huko Mkoani kagera karibia Na Kuvuka nchi Jirani Kwa Mheshimiwa Kagame kuna Wahagaza Kule unaweza usipate Chaguo lako halisi maana Binti Miaka 14-16 Usiseme kaenda Hewani kisha Miguu Ni general tyre Upepo 100-100 kakatika Kisawa sawa Kuanzia katika ya nyonga na kushuka chini Naweza kumalizia tanga Ndio Kwenye Katika masuala yote ya Ndani faragha Huombi Kila kitu Mzuka ama huko Viswani Kuna mchanganyiko wa aina ya kibrazili Hivi, Tabora ni Kila kitu Funika kombe mwaharamu apite nawazimia saana kwa uwezo wao wa shughuli watoto Wa kinyamwezi Hakika Dodoma na Manyara hata Singida Wamejaaliwa urembo Ule wa asili natural beauty ila sasa wabadilike yale machale na ile tabia ya kukeketa Mwisho nasema wachaga wazuri ila hawajui Game Wahangaza Wahaya wanaukamilifu katika Uzuri na Game ila tabia Zinavuka mipaka kwaheri
Huwezi kuisifia sigara usiyoivuta shekhe.

Ila naweza kusema kwamba kwenye GAME usiombe kukutana na toto la kimakonde. kama huna pumzi unafia kifuani. Mie huwa napima BP yangu kwa kubinjuka na binti wa kimakonde
 
......Kwenye hii thread naona kila mtu anasifia mkoa wake, mwamba ngoma huvutia kwake daima.
Kila mkoa una msichana/mwanamke mzuri, inategemea tu jinsi Mungu alivyoumba.
 
Rafiki yangu amenidokeza kuwa katika Tanzania mkoa ambao wasichana wanakuwa wanavutia ni Bukoba eti alisema karibuni kila utakaemuona ana figure 8 na huchoki kumtazama ,kwa kweli alikuwa na fikra tofauti na za kwangu mimi nilifikiria ni Kondoa Irangi ,ambapo kuna wasichana waliochanganya asili na wajerumani.

Tanga "mapenzi yalipo zaliwa". Utakuta kila aina ya warembo huko.
 
Sikilizeni niwafundishe nyie watoto...
Uzuri wa mwanamke sio sura, figure, guu, jicho, ****, wala the way anavyoongea.

Uzuri wa mwanamke ni wa ajabu sana, coz mimi naujua uzuri wa mke wangu mpendwa, na wewe unaujua uzuri wa demu wako.
So mnavyokaa na kusema kuwa mkoa wa bukoba una wanawake wazuri, basi matangazo ya ndoa kanisani na misikitini yangekuwa yanatoka ktk familia za rwehumbiza, rweichungura, rwemanyizi, rwekama, nk nk nk nk...

Hivyo basi mnatakiwa kuelewa kila mkoa una wanawake wazuri, na mwanamke atakayekuwa mzuri kwako ni yule utakayempenda na kuridhika nae.
So hata akitoka Brazil kama hukuridhika nae na kumpenda ni sawa na kupiga tizi ili uuhamishe mlima
 
Swali je!
Hilo jike lako la kihaya lililokamilika kila idara unalioa na kuliweka ndani halafu linakuwa halizai...

Then mimi nilieopoa chuma cha kichaga unatuona tunapanda kwenye gari tunampeleka baby boy clinic, mamaa kambeba mtoto na mimi nimemsaidia kubeba pochi lenye mazagazaga ya mtoto huku tunaongea na kucheka...je utajisikiaje?
 
Rafiki yangu amenidokeza kuwa katika Tanzania mkoa ambao wasichana wanakuwa wanavutia ni Bukoba eti alisema karibuni kila utakaemuona ana figure 8 na huchoki kumtazama ,kwa kweli alikuwa na fikra tofauti na za kwangu mimi nilifikiria ni Kondoa Irangi ,ambapo kuna wasichana waliochanganya asili na wajerumani.

niliwahi kuishi manyara mbulu, binti utamkuta mchafu chafu kwa sababu ya shughuli za
shamba ila nywele,rangi,umbo mpaka sauti iko bomba sana, msubiri atoke kuoga mtoni
mabinti ni natural utakubali hapa dar hamna kitu ni make up tu.
 
Hamna kama tanga jamani, kwanza mwendo wa kanga moja mchana asubuhi au ucku, au dila bila ki2 ama baibui laini, halafu ki2 tepetepe, ukitaka kufaidi, tukutane ucku kwenye baikoko
 
Hamna kama tanga jamani, kwanza mwendo wa kanga moja mchana asubuhi au ucku, au dila bila ki2 ama baibui laini, halafu ki2 tepetepe, ukitaka kufaidi, tukutane ucku kwenye baikoko

point five ya kichaga na kihaya ni soo wakuu.... hapo sura fulani ya kichaga then umbo na mguu wa kihaya
 
Belinda, nasikia siku hizi 'wameimprove' (binafsi sijawahi 'kutembea' na mchaga) so ukijumlisha hilo na hizo sifa nyingine utakuta overall wapo juu ya wengine au?

sio wanawake tu hata wanaume wa kichaga kwenye kitanda ni zero...........mi nilichoka mwenzenu kama una du na sanamu!
 
Rafiki yangu amenidokeza kuwa katika Tanzania mkoa ambao wasichana wanakuwa wanavutia ni Bukoba eti alisema karibuni kila utakaemuona ana figure 8 na huchoki kumtazama ,kwa kweli alikuwa na fikra tofauti na za kwangu mimi nilifikiria ni Kondoa Irangi ,ambapo kuna wasichana waliochanganya asili na wajerumani.
Kwa maumbile figer 8 kagera, mbeya, kwa wamanyema acha kabisa. Kwa sure kilimanjaro, Tanga, urangi, kwa wahangaza nimewakubalia
 
Back
Top Bottom