Mkoa upi wa Tanzania wenye wasichana wazuri?

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Rafiki yangu amenidokeza kuwa katika Tanzania mkoa ambao wasichana wanakuwa wanavutia ni Bukoba eti alisema karibuni kila utakaemuona ana figure 8 na huchoki kumtazama ,kwa kweli alikuwa na fikra tofauti na za kwangu mimi nilifikiria ni Kondoa Irangi ,ambapo kuna wasichana waliochanganya asili na wajerumani.
 
Mzee kuna mkoa unaitwa Manyara...kuleeee ilipo Karatu...asikwambie mtu huko kuna totoz balaa.....zimekamilika kila idara!
 
No dought umetoka visiwani.......
 
Nyinyi watu hata Yesu akirudi na nyie bado mpo atakuwacheni hapa hapa , katika zama hizi za ukimwi,bado mnafikra za papo kwa papo za kizinifu zinifu
 
Rafiki yangu amenidokeza kuwa katika Tanzania mkoa ambao wasichana wanakuwa wanavutia ni Bukoba eti alisema karibuni kila utakaemuona ana figure 8 na huchoki kumtazama ...

...wahangaza hao babu :D!

Mzee kuna mkoa unaitwa Manyara...kuleeee ilipo Karatu...asikwambie mtu huko kuna totoz balaa.....zimekamilika kila idara!

...mkoa wa manyara vimwana manywele, tatizo zile chale mashavuni!

All in all, kipenda roho tu, maana kuna wengine bila binti wa kingazija hujamwambia kitu...:D
 
Junius umefika mbali sana. Mbona unawaelewa vibaya wenzetu?

Nadhani wanatafuta warembo ili wawaoe si kiusherati.
 
Nasikia TANGA kuna vibini vizuri sasa sijui kama ni ukweli au vipi maana sijawahi kufika huko!!
 
Rafiki yangu amenidokeza kuwa katika Tanzania mkoa ambao wasichana wanakuwa wanavutia ni Bukoba eti alisema karibuni kila utakaemuona ana figure 8 na huchoki kumtazama ,kwa kweli alikuwa na fikra tofauti na za kwangu mimi nilifikiria ni Kondoa Irangi ,ambapo kuna wasichana waliochanganya asili na wajerumani.
Ni wazuri wa umbo lakini kutoka shingoni kwenda juu wanachekesha sana utadhani midori na tatizo kubwa wana maji sana.
 
Ni kweli lakini wanaliafuta kundu kwa nguvu kwani huvalia makaptula mengi ama taulo kwa ndani and then wanaweka jinzi kwa juu wanamalizia kwa hijabu akipita utadhani ana kundu kweli kumbe wapi.

Mikalio mikubwa ni mambo yenu wabara, sisi huku aku..
 
We Dageuche 2008 wasichana wa wapi wana maji, maana hapo kuna warangi na wahaya mbona hujataja ni kina nani?
 
Jamani kuna wanyamwezi kutoka Tabora, hawa usiwapimie ni wazuri wa sura,warefu wa kutosha wanamaumbo ya kufa mtu. Kwa makea ndio usiseme
 
There is a proverb that says: Beauty is in the eye of the beholder. I think it is true. This means that something or someone is beautiful, depending on the person who is looking. (mi napenda Wanyaki waliochanganyika na Wahaya)!
 
Back
Top Bottom