ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,042
- 49,726
Kwa mujibu wa taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa 2022 kutoka NBS, Mkoa wa Pwani ndio unaongoza kwa kuwa na viwanda vingi Tanzania.
Lakini licha kuwa na viwanda vingi, Pwani ni kati ya Mikoa 10 maskini Tanzania, yaani yenye Pato dogo zaidi (top 10 Lowest Regional GDP). Haya ndio madhara ya viwanda vinavyolipa watu elfu 7 kwa siku.
Orodha ya Mikoa Maskini kwa Pato (Regional Growth Domestic Product 2022) ni kama ifuatavyo;
1. Katavi - 2.297
2. Simiyu - 3.076
3. Songwe - 3.087
4. Njombe - 3.093
5. Singida - 3.190
6. Lindi - 3.384
7. Pwani - 3.429
8. Rukwa - 3.588
9. Kagera - 4.352
10. Mtwara - 4.686
Credit NBS, Tanzania in Figures 2022
My Take
Hongera Mkoa wa Kigoma kwa kujikwamua kutoka mkiani.