Mkoa upi wa Tanzania wenye wasichana wazuri?

Mzee kuna mkoa unaitwa Manyara...kuleeee ilipo Karatu...asikwambie mtu huko kuna totoz balaa.....zimekamilika kila idara!

Marekebisho Kidogo:- Karatu iko Arusha "Mbulu girls" balaa. wenyewe wanajiita wairaq ati wanaasili ya kiajemi
 
kama hamjafika Mtwara pale masasi mkaona totoz za kimakua na wayao basi mekosa uhondo,kwani hamuoni mfano tulionao hivi sasa? mahali panapendeza
Hapa mkuu tupo pamoja, totoz za huko ni noma!
 
Ebwana ee! Nao ni wazuri sana japo wafupi lakini huwa wamefunga sanaa! Chasis zao hudumu muda mrefu hata akizaa yaani huwa bado wamo, full mauno out of control, kama una mwili wa kizee ka wangu halahala usije oa hao watajilia vijana wakware, mshawasha wao si rahisi kupotea ni hadi miaka 65,
Unaongelea akina nani, sijakupata mkuu.
 
Mimi kabla sijafanya tendo hilo huwa naulilza mtu anapenda vitu gani, ili kama sijui nipate shule kidogo then nifanye vile unavyopenda. Si wote tunajua haya mambo, tunatofautina. Na kutokuwa wawazi ukataka kufikiri najua ndiyo maana hata ladha haipo. Tuelimishane na kufundishana kabla ya game ili turidhike, usibwete eti najua.
Duh! So inamaana wewe unagawa tunda kwa kila mtu ili hali tu akueleze anachopendelea? Hii nimeikubali...
 
aiseee sijui nisemeje kwani inaonekana walio wengi wanabashiri tu hawana ukweli wa mambo mabinti walio wazuri ni watoto wa ngara hawa mabinte wamechanganya asili ya kinyarwanda hibu niambieni sio tu tanzania bali east Africa ni nchi gani wanawazidi Rwanda kwa mabinti sio tena wazuri ila wakali wamekamilika sectar zote asikwambie mtu
 
beauty is in the eyes of the beholder
kipimo cha urembo ni kipi?this is relative and always kinategemeana na vigezo VYAKO WEWE ambavyo vyaweza kuwa tofauti na mimi,mmetaja tanga,manyara,kondoa lakini huko wapo wasichana wenye weupe je vigezo vyenu vyaegemea weupe?mbona kote huko hao watu wana miguu mibovu na wengine wana mpangilio mbaya wa meno?
uzuri mliotaja ni outer beauty vipi kuhusu inner beauty?mbona mikoa hiyo ina watu wengi wenye tabia mbovu za kijamii?
nyie mwapenda vidada vilivyokondeana visivyo na nyama sie twapenda mapaja yaliyoshiba ya truly african women exemplified by women from Iringa and Mbeya
 
Back
Top Bottom