Njombe mbu walipiga hesabu wakasema wahame wasije kufa na baridi wakahamia mafinga mbu kufika mafinga wakasema mbona balaaa lile lile wakasema wakajaribu kuishi mbeya nako baridi kali ,,,,,baridi kali linaua mbu pamoja na mayai ya mbu
Kikao kikuu kikafanyika cha mbu wa nyanda za juu kusini ... rais wa mbu akasema mikoa hiyo ni marufuku kwa mbu yeyote kukaa awe anofelex au mbu wa kawaida na jeshi la polisi la mbu litawachukulia hatua mbu yeyote atae kiuka agizo hilo na raisi akasema mbu wote wahamie dar es salaam maana damu za dar ni tamu za moto zimejaa chips mayai tu na alkasusu
Kuanzia hapo mikoa nyanda za juu kusini hiyo haina mbu bahati mbaya ukimkuta mbu nae anatetemeka baridi kachoka balaaa amekosa tu nauli ya kuja dar ila huko mbu sio kwako
View attachment 3448877