Mandingo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 5,877
- 7,698
Kmmk nikipita Ile mbuga ya Sativa aisee Kuna ma mbu kama nnzi nimakubwa sijawahi ona!Kilimanjaro, himo na boma ng'ombe , kuna mbu wakubwa kama nyuki🤣
Kmmk nikipita Ile mbuga ya Sativa aisee Kuna ma mbu kama nnzi nimakubwa sijawahi ona!Kilimanjaro, himo na boma ng'ombe , kuna mbu wakubwa kama nyuki🤣
Arusha mbu wapo , moshi ni maeneo ya mlimani tu ndio hakuna hawa mbu wa malaria ila kuna wale weusi wenye madoa doa ambao hawaambuki malaria
Wadau, tunaomba kujua ni Mikoa ipi Inaongoza Kwa Mbu wengi TANZANIA. Mtu wangu wa Karibu AMECHOKA na MBU WA DAR, anataka Kuhama, sasa ili asije ruka Mkojo akakanyaga mavi, hebu changia Mikoa Mitatu hadi Mitano ili aiepuke.
Asanteni wadau.
Hizi sehemu labda Mimi sizijui,Kilimanjaro, himo na boma ng'ombe , kuna mbu wakubwa kama nyuki🤣
Kilimanjaro, ni RwandaHizi sehemu labda Mimi sizijui,
Kilimanjaro ni wapi
Himo ni wapi
Na boma ni wapi
Nimegombea ubunge wa kuteuliwa na mh Rais, sasa nipo nawaza nikiwa Dodoma kwa shughuli za Bunge hali itakuwaje ?Sijajua mkuu
Kushindikana nako ndio unajua🙆♂️Kilimanjaro, ni Rwanda
Himo ni goma
Na boma ikwiriri
ViasinaArusha mbu wapo , moshi ni maeneo ya mlimani tu ndio hakuna hawa mbu wa malaria ila kuna wale weusi wenye madoa doa ambao hawaambuki malaria
Ifakara ipiIfakara jamani🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Kule kuna kilimo cha mbu.
Hata kikuyu 😄😄 kuna mbu kama vitaAjichanganye aende Nzuguni- Dodoma,nadhani pale ndo makao mkuu ya mbu!
Unaijua rombo madam kalpana 🤔Rombo tuu hapo net huwa hazipo...labda Moshi mjini
oNjombe mbu walipiga hesabu wakasema wahame wasije kufa na baridi wakahamia mafinga mbu kufika mafinga wakasema mbona balaaa lile lile wakasema wakajaribu kuishi mbeya nako baridi kali ,,,,,baridi kali linaua mbu pamoja na mayai ya mbu
Kikao kikuu kikafanyika cha mbu wa nyanda za juu kusini ... rais wa mbu akasema mikoa hiyo ni marufuku kwa mbu yeyote kukaa awe anofelex au mbu wa kawaida na jeshi la polisi la mbu litawachukulia hatua mbu yeyote atae kiuka agizo hilo na raisi akasema mbu wote wahamie dar es salaam maana damu za dar ni tamu za moto zimejaa chips mayai tu na alkasusu
Kuanzia hapo mikoa nyanda za juu kusini hiyo haina mbu bahati mbaya ukimkuta mbu nae anatetemeka baridi kachoka balaaa amekosa tu nauli ya kuja dar ila huko mbu sio kwakoView attachment 3448877
Halafu wanag'ata Hao balaa🤓🤓🤓🤓🤓Hata kikuyu 😄😄 kuna mbo kam vita
Mbu wa Dodoma hawaenezi malaria mkuu.Vip rate ya wagonjwa wa Malaria kwa Dodoma Jiji ipoje kwa sasa ukilinganisha na mkoa kama wa Morogoro au Pwani ?
Hata Butimba mkuu🙌🙌Funga kazi ya mbu ni Mwanza Nyashishi,pale kuna mbu kama wanafuga,niliwasha mashine ambayo nasafiri nayo,kwa ajili ya kufukuza mbu bado wakagoma,nikaweka dawa mara tatu wakapungua kidogo.Kesho yake nilihama mwenye ile lodge nikaenda Buhongwa.