Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,750
- 37,397
Bora ungeuliza Mikoa inayotoa wajinga sampuli kama za kina chiembe Tlaatlaah ChoiceVariable MamaSamia2025 na Lucas Mwashambwa
Nikiwa dodoma , kipindi nasoma , nilishawahi leta ubahili wa kulala kwenye gari , ili kesho yake niwahi likizo moshi , hapo karakana kulikua na madimbwi ya maji , usiku kucha ndani ya gari peke angu niling'atwa mpaka nikavua shati kupepeaAjichanganye aende Nzuguni- Dodoma,nadhani pale ndo makao mkuu ya mbu!
Mbu hakai kwenye baridi ata siku moja. Na siyo Mbu tu wadudu wengi hawakai kwenye BaridiMikoa yenye baridi yote unayoijua
Mkoa wa Bukoba una mbu wanauma kama umbwa.Wadau, tunaomba kujua ni Mikoa ipi Inaongoza Kwa Mbu wengi TANZANIA. Mtu wangu wa Karibu AMECHOKA na MBU WA DAR, anataka Kuhama, sasa ili asije ruka Mkojo akakanyaga mavi, hebu changia Mikoa Mitatu hadi Mitano ili aiepuke.
Asanteni wadau.
Unakua umevaa msuli chukuchuku?Mbu wana ng'ata Hadi makende Tena mchana
Vip rate ya wagonjwa wa Malaria kwa Dodoma Jiji ipoje kwa sasa ukilinganisha na mkoa kama wa Morogoro au Pwani ?Nikiwa dodoma , kipindi nasoma , nilishawahi leta ubahili wa kulala kwenye gari , ili kesho yake niwahi likizo moshi , hapo karakana kulikua na madimbwi ya maji , usiku kucha ndani ya gari peke angu niling'atwa mpaka nikavua shati kupepea
Hata uvae jinzi.Unakua umevaa msuli chukuchuku?
Sijajua mkuuVip rate ya wagonjwa wa Malaria kwa Dodoma Jiji ipoje kwa sasa ukilinganisha na mkoa kama wa Morogoro au Pwani ?
Arusha hakuna mbu kihivyo na unaweza usiwaone . Hata ugonjwa wa malaria haupo sana, na mara nyingi ukiupata inakuwa ulitoka safari mkoa nwingibe umeupatia huko
Arusha nakataa....Mbu ni mmoja mmoja...Duh- Mbona Arusha/Moshi Kuna Baridi na Hakuna Mbu wengi kama Dar na Dar Kuna Joto ?
Umesahau Sanya JuuKilimanjaro, himo na boma ng'ombe , kuna mbu wakubwa kama nyuki🤣
Nimetoka Ars juzi....Hamna mbu kabisa...usiku wala hutumii neti...Je Arusha Mbu wa Maralia wapo ?