Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,587
- 7,968
Dar, Kigoma, Tanga, na PwaniWadau, tunaomba kujua ni Mikoa ipi Inaongoza Kwa Mbu wengi TANZANIA. Mtu wangu wa Karibu AMECHOKA na MBU WA DAR, anataka Kuhama, sasa ili asije ruka Mkojo akakanyaga mavi, hebu changia Mikoa Mitatu hadi Mitano ili aiepuke.
Asanteni wadau.