Mkoa gani unaongoza kwa mbu Tanzania?

Mkoa gani unaongoza kwa mbu Tanzania?

Wadau, tunaomba kujua ni Mikoa ipi Inaongoza Kwa Mbu wengi TANZANIA. Mtu wangu wa Karibu AMECHOKA na MBU WA DAR, anataka Kuhama, sasa ili asije ruka Mkojo akakanyaga mavi, hebu changia Mikoa Mitatu hadi Mitano ili aiepuke.

Asanteni wadau.
Nenda mto ws mbu
 
Mbu wa Dodoma hawaenezi malaria mkuu.
Namaanisha huku hakuna female anofeles, mtu akisema kapatikana na malaria vipimo vya hospital jua ametoa mkoa mwingine
So tuseme wao wapo kitengo cha kukufanya usilale kwa amani, mambo ya Malaria sio issue yao
 
Wilaya ya monduli kuna sehemu inaitwa Mto wa Mbu kule ndo headquarter ya mbu wote Tanzania, Ukiona upo Lindi mbu anakuja kukunyonya damu ujue katumwa kazi kutoka huko makao makuu yao
 
Nakumbuka nilivopelekwa advance moshi mzee akamuuliza HM vipi mbu huku HM akasema ss huku hatutumii neti kabisaa na hakuna mbu

Na kweli mpk namaliza advance ple sijaugua malaria
Arusha mbu wapo , moshi ni maeneo ya mlimani tu ndio hakuna hawa mbu wa malaria ila kuna wale weusi wenye madoa doa ambao hawaambuki malaria
 
Back
Top Bottom