Mkoa gani ni mzuri kuishi?

Mkoa gani ni mzuri kuishi?

Shekha faizaEee mchana mwema nina suali ukhti yangu... Hiyo picha inaonesha ziwa au mto au bwawa la maji ni wapi hapo na jina lake? tafadhali nijuze sina info. za Singhida.
shukraani

Singida kuna Maziwa (mabwawa) ya asili makubwa mawili yako kila kando ya mji (mji uko kati), moja linaitwa Singidani na moja linaitwa Kindai. Pazuri sana kwa mwenye kuelewa.
 
CHUAKACHARA karibu kwetu MARA wilaya TARIME ni sehemu nzuri sana vitu nafuu tunatoa KENYA tu. Nairobi ni karibu kuliko kwenda DAR, samaki wapo wa Ziwa Victoria na Mto Mara, pia kuna ndizi nyingi, Inshort kuna vitu vingi tu vya kupendeza watu wa huko ni wakarimu sana.
MARA, TARIME?? ajiandae kupigwa mapanga na mishale
 
Ila ki ukweli tarime isingekuwa mapanga, ni wilaya ambayo maisha yake ni very simple, vyakula bei rahisi, madukani vitu bei rahisi, shida ni kugechana tu

Dar salam mjomba kia kitu unapata, si unaona hata Obama aliishia dar.
Mi naishi Mwanza kikazi tu ila mishemishe zangu nyingi dsm, nilipozaliwa.
Ila na kijijini kwetu Rombo Mashati never miss every chance i get. there

We sio Chadema kweli?
 
Njoo arusha..
Ungemuuliza kwanza kama yeye ni KE au ME,maana kama ni ME itakua tabu kwake ku survivor,maana hapa Arusha kupata 'K'mpaka uwe na japo buku10 kwa bao moja,wakate Dar ukitembelea pande za 'Sewa-Buguruni'unapata 'K'kwa jero na unaichapa mpaka bujee!!
 
Singida kuna Maziwa (mabwawa) ya asili makubwa mawili yako kila kando ya mji (mji uko kati), moja linaitwa Singidani na moja linaitwa Kindai. Pazuri sana kwa mwenye kuelewa.

Mkuu linawezaje kunisaidia mimi ninayeingiza si zaidi ya 120,000/= Tsh kwa mwezi?
 
Ila ki ukweli tarime isingekuwa mapanga, ni wilaya ambayo maisha yake ni very simple, vyakula bei rahisi, madukani vitu bei rahisi, shida ni kugechana tu

Ha ha ha ha Machete,Machete,Macheteeeeeeee.
 
Singida kuna Maziwa (mabwawa) ya asili makubwa mawili yako kila kando ya mji (mji uko kati), moja linaitwa Singidani na moja linaitwa Kindai. Pazuri sana kwa mwenye kuelewa.
Shukraan, Nimebahatika kutembea mikoa kadhaa lakini kwa bahati ndogo tu siku wahi kufika Singhida ispokuwa kupitiliza !! Lakini nimeshaweka note na schdl. za kutemblea mustakabalin....Kabla ya Maji hayo kutoweka au kukauka maana naona Yamepungua vibaya sana. Tuombe mungu atuongezee mvua.kila la kheiri.
 
InshaAllah.
 
Back
Top Bottom