Mkoa gani ni mzuri kuishi?

Mkoa gani ni mzuri kuishi?

Aahahahahahhh, ule upepo wa ziwa kindai utauvumilia mamii? Na hii baridi ya kiangazi utaiweza, mie nilienda mwezi wa sita baridi ilinishinda kama sio kwetu lol!

Ahsante sana, nnapajuwa vizuri sana, mume wangu yuko kwenye mradi fulani huko na mimi huwa nakuja mara kwa mara. Kwenu kuzuri na nnadhani ntahamia huko panapo uhai na majaaliwa, nimependa sana nipate nyumba karibu ya Kindai.
 
Aahahahahahhh, ule upepo wa ziwa kindai utauvumilia mamii? Na hii baridi ya kiangazi utaiweza, mie nilienda mwezi wa sita baridi ilinishinda kama sio kwetu lol!

Pale ni pazuri sana tena sena, sijaona mji katika Tanzania ambao watu wema zaidi ya Singida, wanapenda wageni, wacheshi, mji mzuri, pasafi na siku hizi lami barabara zote za muhimu mpaka za sokoni.

Unajuwa Singida kwa sasa kunatoa Strawberries nyingi kuliko sehemu yoyote Tanzania? nilishangaa sana nilizikuta sokoni mwaka jana zimejaa, nikauliza zinatoka wapi hizi, nikaambiwa zinalimwa pale-pale kuna sehemu inaitwa Mkiwa, karibu ya Manyoni.

Halaf nikalishwa matunda aina mbili tatu ambayo sijawahi kuyaona kwingine duniani, yanaitwa siunga na mingine sasati na mingine yanaitwa lade.

Aaah umenikumbusha a home away from home. Singida sikujihisi kama ni mgeni kwenda kwangu kote.
 
We Faiza umenikumbusha mbali. Unazijua hadi lade? Vipi yale matogo ushawahi kuyala? That place is awesome aisee.
 
For me naipenda Mwanza then Morogoro aisee
We afadhali umejitahidi, kule Mwanza kuna bahari ya victoria na Morogoro kuna bahari ya mindu. Mambo bahari bwana, mito mafuriko tu
 
Nenda Kigoma. Vyakula vyote unapata, bei chini na hakuna foleni barabarani
 
Jamani mimi natafuta mkoa mzuri wa kuishi ambako maisha ni ahueni! Nijuzeni waungwani!

Nenda kijijini Gezaulole kuna ndizi,matikiti,maembe,kisamvu,mihogo na madafu kwa bei poa! Ukitaka kuoga unaenda mtoni, kujisaidia unaenda porini. Pombe zilizohalalishwa na kuuzwa kwa bei poa au hata kwa mkopo mpaka wakati wa mavuno ni gongo,mnazi,kangara na ulanzi! Huko ndiko kuna maisha ahueni unayoyatafuta.
 
mwingiro wilaya mpya ya nyang'wale pazuri aisee.karibu na machimbo ya bulyanhulu,ukiamka siku zingine unakutana na vipande vya dhahabu
 
Wilaya za Handeni na Lushoto ziko mkoa gani? Au unajua Tanga mjinj tu?
Shekhe zipo mkoa huo huo, nimezaliwa Tanga (M) nyumba ya pili kutoka klabu ya Coastal Union, wilaya zote hizo ndizo zilikuwa sehemu ya maisha yetu ya kila siku katika kutafuta maisha kabla ya kuhamishia makazi Jiji la Makamba.
 
Wee kweli mkale, umekula hadi sasati na lade, hapo ni singida mjini hujaenda iramba ukalishwa karanga zilizopikwa then zikakushwa hutatamani kuacha kuzila.

Singida ni pazuri sana sema serikali kidogo ilipasahau japo saa hizi kidogo wameanza kutukumbuka, manake mji ni msafi pale mjini pote pana lami, watu wanajenga nyumba zenye akili

Back
Top Bottom