Mkoa gani ni mzuri kuishi?

Mkoa gani ni mzuri kuishi?

Mkuu, Tabora nyoka wamepungua siku hizi? Nakumbuka Cheyo A, kulikuwa kuna nyoka wana speed ya ajabu.


Mkuu siku hizi Cheyo A ndiyo kwa vibopa wa mji, nyumba zimejengwa yaani mji umetanuka mpaka Cheyo na Ipuli zimeungana zinatenganishwa na reli ya kati tu. Cheyo imefika mpaka uwanja wa ndege siku hizi mkuu.
 
BUKOBA ndo mambo yote,maji ni wewe tu,chakula bwelele,hakuna joto wala baridi,hakuna matope kama Arusha,Watu ni waelewa sana.Kama wewe ni mlaji wa ndizi hapo ndo usiseme,hata vyakula vya aina nyingine bei yake ni rahisi kuliko pengine.
 
me naona kama unataka mkoa wenye unafuu sana hakuna, kama vp nenda jela. mf. nackia kingurwila au karanga mosh wako pwa sana, chakula bure.... kama hutak fanya kaz kwa bidii utaish popote!
 
kna sehemu inaitw holili ipo k'njaro in border ya KE n TZ ni place safi kw kuish coz kun kila social service ajira za kutosha instead of za serkali pia kuna usalama wa ktosha hakuna uhalifu.wa2 wa hapa washasahau kama wanlive ktk poor state like Tz.
 
popote pale, maisha ni wewe utakae amua kulingana na kpato chako na bidii ya kutafuta.
 
Back
Top Bottom