Mkoa gani ni mzuri kuishi?

Mkoa gani ni mzuri kuishi?

Njoo Chugga mwana.....full kipupwe......bata ndio mahala pake......hakuna mawazo.....

jumamosi nimeingia pale milestone park kwa mara ya kwanza, okay ni pazuri ila nyomi haswaaaa, wakaka/wababa/wadada wa mawe wote wapo pale, agrr full kujaa, huku birthday, huku huyu anaruka manyoka, huku vile! aisee, umeshaingia pale? umepapenda?
 
Lazima uweke wazi uzuri wa maisha na u ahueni ni kivipi kwani yana aspects nyingi. Unavyochukulia wewe vigezo vyake siyo sawa na wengine. Vinginevyo swali halijakamilika.
 
CHUAKACHARA karibu kwetu MARA wilaya TARIME ni sehemu nzuri sana vitu nafuu tunatoa KENYA tu. Nairobi ni karibu kuliko kwenda DAR, samaki wapo wa Ziwa Victoria na Mto Mara, pia kuna ndizi nyingi, Inshort kuna vitu vingi tu vya kupendeza watu wa huko ni wakarimu sana.

Hii ni kanda maarum, wenyewe mnasemaga mapanga shaa...! Naogopa mie
 
jumamosi nimeingia pale milestone park kwa mara ya kwanza, okay ni pazuri ila nyomi haswaaaa, wakaka/wababa/wadada wa mawe wote wapo pale, agrr full kujaa, huku birthday, huku huyu anaruka manyoka, huku vile! aisee, umeshaingia pale? umepapenda?

bado mwaya......waziri wa mambo ya ndani ananiletea kauzibe......wacha apate uzuru kwanza.....lazima niende........
 
bado mwaya......waziri wa mambo ya ndani ananiletea kauzibe......wacha apate uzuru kwanza.....lazima niende........

kwa uzuri ni pazuri sana, nimependa plan yao,ishu nyomiiiii, ulihisi umempoteza mtu muda mrefu labda kafariki utamkuta kule, ile nyomi ote ndao, halafu kingine ni kusumbuliwa hovyo na vijana/wababa wa mawe, mxsiii, ile sehemu inanukia pesa pesa but hako kausumbufu kameniboa kabisa.
 
Napendekeza Singida:

75824508.jpg

4331140700_07ed9dae86_b.jpg

Singida Regional Referral Hospital

The first two buildings of this project are currently under construction!
Phase I Master Plan
Singida, Tanzania

Shekha faizaEee mchana mwema nina suali ukhti yangu... Hiyo picha inaonesha ziwa au mto au bwawa la maji ni wapi hapo na jina lake? tafadhali nijuze sina info. za Singhida.
shukraani
 
Jamani mimi natafuta mkoa mzuri wa kuishi ambako maisha ni ahueni! Nijuzeni waungwani!
Hamia Tanga,jiji tulivu,vitu bei nzuri,mazao yote yanapatikana,hakuna shida ya maji,hakuna foleni za magari,ujambazi si sana.Sehemu za kutembea na zilizo na usalama ni nyingi,barabara nzuri.Biashara nzuri.Makabila ya mji huu ni watu wazuri.
 
Tanga njaa tu, kila mwaka mahindi ya msaada, ladba matunda tu hasa msimu wa machungwa.
wewe unaongelea wilaya ya Handeni,ambyo ni wilaya kubwa sana katika mkoa wa Tanga,na ni wilaya yenye wakazi wachache.Ukisikia Tanga,njoo Tanga city centre,nikimaanisha wilaya ya Tanga.Tanga jiji ni raha kwenda mbele.
 
Wagu wake wamebweteka/wavivu.., hence hakuna maendleo
Aliyekudanganya nani Tanga hakuna maendeleleo?Tanga ni manispaa ya Kwanza Tanzania,na sasa ni jiji,Ni ya pili kwa kulipa kodi Tanzania,baada ya Dar.
 
Kwa walio sema morogoro nawaunga mkono nimeizunguka tz nikiwa mzaliwa wa dar asili ya wazazi kilimanjaro ila naishi moro kwanza kwanini moro ...mashamba bei poa viwanja bei poa vyakula tele nyumba za kupanga bei nzr kaz ni kwako pia foleni hakuna weather nzr tu .karibu mazimbu
Nitakutafuta mkuu, nna mpango wa kurudi Tz within 5 years to come, lakini nikiangalia Dar, nitakuwa siiwezi tena kwa sasa. Full stress
 
duh,yaani kitakuwa kikubwa kuliko SUA?,nchi hii bwana ndo maana haiendelei kwa sababu mipango mingi hupangwa na wanasiasa badala ya wataalam,kuna ubaya gani kama wasingekiimarisha SUA?



Mkuu kama nimemuelewa vizuri huyo mtu, amesema kitakuwa kikubwa kwa nyanda za juu kusini yaani kwasasa labda ukijumuisha na vile vyuo vya diploma vya kilimo kama uyole basi hicho kitakuwa kikubwa kuliko hivyo,so haiwezekani kiwe kikubwa zaidi ya SUA. Lakini naungana na wewe kuwa kuna umuhimu gani wa chuo hicho badala ya kukiboresha chuo kikuu cha SUA au kukifanya hicho chuo cha KATAVI kuwa college ya SUA.
 
shikamoo WiFi, kwa picha hizi inabidi kijana aje A-Town japo kutembea ashangae vizuri

Marhabaah, Nafikiri picha zinaongea kuliko maneno, mimi niko Dar kwa sasa lakini napa-miss sana home..
 
Back
Top Bottom