Ajiandae kwa kesi za mashamba/viwanja endapo atatia mguu kwenye kuvinunuaKilimanjaro
A-Town
Arusha
Geneva ya Afrika
Njoo haraka
katavi ndo mwisho wa maneno, katavi anaweza kueleza zaidi.
Mimi nafikiri mkoa wa Morogoro ndio rahisi kwa kila kitu- unakula nguruka 1 wa kuchoma na dona lako siku imepita; viwanja na mashamba bwerereee, K za kumwaga, maji bure. Tatizo vumbi
Njoo Chugga mwana.....full kipupwe......bata ndio mahala pake......hakuna mawazo.....
Tanga ni mkuoa wenye rutuba sana, gharama za chakula zipo chini.
huku ndio kwenyewe, hakuna mfanowe...Kama ni unafuu wa maisha nenda katavi au Rukwa.