Mkoa gani ni mzuri kuishi?

Mkoa gani ni mzuri kuishi?

Kwa walio sema morogoro nawaunga mkono nimeizunguka tz nikiwa mzaliwa wa dar asili ya wazazi kilimanjaro ila naishi moro kwanza kwanini moro ...mashamba bei poa viwanja bei poa vyakula tele nyumba za kupanga bei nzr kaz ni kwako pia foleni hakuna weather nzr tu .karibu mazimbu
 
Maisha popote na sanasana ugenini, utafanikiwa...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Njoo singida, wilaya ya Iramba.Kuna ardhi nzuri ya kilimo na hali nzuri ya hewa, baridi kama ulaya.
 
Marketing in action. Ishi hapa hapa Dar

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nenda ule mkoa wa mkuu "wapigwe tu" ili uwe na uzoefu wa kupigwa na kupiga.
 
Back
Top Bottom