dracular untold
New Member
- Apr 4, 2019
- 1
- 0
Kuna wizara nyingine unajiuliza ni za kazi gani....Kweli aisee , nami nimeona hilo. Nawaza kama kuna lolote linalofanyika kuongeza thamani...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo swali gumu sana,hata mazao ya matunda tunayaangalia tu yanaharibika na thamani hakuna.Kweli aisee , nami nimeona hilo. Nawaza kama kuna lolote linalofanyika kuongeza thamani...
Sent using Jamii Forums mobile app
MayoweeeKuna wizara nyingine unajiuliza ni za kazi gani....
Mkuu hivi unajua kama Tanzania ni ya 11, kwa uzalishaji wa Nazi duniani na ya kwanza Africa kwa uzalishaji wa Nazi, lakini tunaangiza tani kwa tani za Nazi kutoka Kenya..... Yaaani kuna viongozi wa hii nchi ni mizingo
ni kweli mkuu, na kwa wale wanaochunga mifugo ndo wanapata pigo kubwa zaidiNaomba kuuliza kwa wafugaji miliko kuanzia kibaha mpaka mlandizi nasikia kunamajani Ngombe Mbuzi wakiyala wanakufa ghafla, hiichqngamoto nasikia ni kubwa mnakabiliana nayo vipi?. Ninashamba kongowe soga nataka nianze ufugaji wa ngombe wa maziwa na mbuzi. Naomba ushauri tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ujamlaumu yoyote je unafanya wajibu wako wa kunywa lita 0.6...au lita 200 kwa mwaka as recommended by WHO????????Kuna wizara nyingine unajiuliza ni za kazi gani....
Mkuu hivi unajua kama Tanzania ni ya 11, kwa uzalishaji wa Nazi duniani na ya kwanza Africa kwa uzalishaji wa Nazi, lakini tunaangiza tani kwa tani za Nazi kutoka Kenya..... Yaaani kuna viongozi wa hii nchi ni mizingo
Mim ni mfungaji ndugu yangu..Kabla ujamlaumu yoyote je unafanya wajibu wako wa kunywa lita 0.6...au lita 200 kwa mwaka as recommended by WHO????????
Tafuta mtaalamu wa mifugo akusaidie kuya identify hayo majani kwenye eneo lako na namna ya kuyatokomeza, pia kama uwezo unaruhusu pandikiza majani lishe (feed)Naomba kuuliza kwa wafugaji miliko kuanzia kibaha mpaka mlandizi nasikia kunamajani Ngombe Mbuzi wakiyala wanakufa ghafla, hiichqngamoto nasikia ni kubwa mnakabiliana nayo vipi?. Ninashamba kongowe soga nataka nianze ufugaji wa ngombe wa maziwa na mbuzi. Naomba ushauri tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru kwa ushauri, karibu na shamba langu kuna lile shamba la malisho ya Ngombe la serekali nitapita hapo kuomba mwongozo. Barikiwa sanaTafuta mtaalamu wa mifugo akusaidie kuya identify hayo majani kwenye eneo lako na namna ya kuyatokomeza, pia kama uwezo unaruhusu pandikiza majani lishe (feed)
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hii ndio fursa nzuri tatizo capital
Mkuu hayo majani yapo.Naomba kuuliza kwa wafugaji miliko kuanzia kibaha mpaka mlandizi nasikia kunamajani Ngombe Mbuzi wakiyala wanakufa ghafla, hiichqngamoto nasikia ni kubwa mnakabiliana nayo vipi?. Ninashamba kongowe soga nataka nianze ufugaji wa ngombe wa maziwa na mbuzi. Naomba ushauri tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jirani yangu walikufa ngombe 10 kwa kula hayo majani ,waliyafata huko mlandiziNaomba kuuliza kwa wafugaji miliko kuanzia kibaha mpaka mlandizi nasikia kunamajani Ngombe Mbuzi wakiyala wanakufa ghafla, hiichqngamoto nasikia ni kubwa mnakabiliana nayo vipi?. Ninashamba kongowe soga nataka nianze ufugaji wa ngombe wa maziwa na mbuzi. Naomba ushauri tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maziwa yapo mengi sana, tembelea Pingo, Mbala, Msoga, Enaboishu, Chalinze nk utapata maziwa ya kutosha, inabidi ufungue kituo cha kupokelea maziwa uwe na tank la kupokelea lenye ujazo walita walao 800 na lina weza kupoozaHabari zenu wana hili jukwaa?
Mimi nipo Dar nilikua natafuta mahala au mkoa ambao uko karibu na Dar ambapo nitaweza kupata wafugaji wa ng'ombe kwa wingi ili niweze kununua maziwa mazuri ya ng'ombe hasa kuanzia lita 500 nakuendelea, naomba mnisaidie kwa wanaojua hata ikiwezekana contacts za wafugaji. Ahsanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hayo majani yapo.
Ni majani fulani yanafanana na mtama... Yaani kwanzia uotaji wake hadi yanapokomaa ni kama mtama na yenyewe yanachanua kama mtama.
Majani haya hudhuru mifugo endapo wakila yakiwa bado hayajakomaa ila yakikomaa hadi stage ya shina lake kupata pingili au kuchanua hayadhuru.
Kinachodhuru yakiwa malaini (hayajakomaa) ni kwamba kati kati ndani kuna maji maji fulan ambayo ndio sumu.
Akila hasa haichukui hata dakik nyingi ng'ombe anajaa gesi tumboni hapo hapo hufa.
Majani haya huota hasa sehemu za mabonde.
Njoo Shinyanga maziwa utayakimbia nduguHabari zenu wana hili jukwaa?
Mimi nipo Dar nilikua natafuta mahala au mkoa ambao uko karibu na Dar ambapo nitaweza kupata wafugaji wa ng'ombe kwa wingi ili niweze kununua maziwa mazuri ya ng'ombe hasa kuanzia lita 500 nakuendelea, naomba mnisaidie kwa wanaojua hata ikiwezekana contacts za wafugaji. Ahsanteni
Sent using Jamii Forums mobile app