Bigjahman
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 911
- 524
ndo madhara ya haki sawa kwa wote wanayopigania siku zote naamini ata ndo maana Mungu anacha iwe ivyo sababu ni kinyume na laana yake kwa adam.Mwanamke atatawaliwa na mme wake!asante kwa taarifa deo, kwahiyo sasa hivi upo wp nikapige cha mwisho kisha nikimbie nirudi lindi, teh teh. siku hizi mapenzi nouma mbona miaka ya nyuma haikuwa hivi?